dawa ya gauti

Dawa mbadala 14 zinazotibu maumivu ya gauti

Dawa mbadala 14 zinazotibu maumivu ya gauti Gout au maumivu ya jongo kwa Kiswahili ni aina mojawapo ya maumivu ya mishipa na yanaweza kuleta maumivu makubwa katika maungio hasa katika kidole gumba cha mguu. Ishara kubwa za maumivu ya jongo ni maumivu ya uvimbe nyakati za usiku, kupatwa na hasira, na maumivu katika kidole kikubwa cha mguu. Unaweza pia kujisikia… Soma zaidi »

faida za siagi ya karanga

Faida 12 za Siagi ya Karanga

Faida 12 za Siagi ya Karanga Siagi ya Karanga ni moja ya vitu mhimu jikoni katika nyumba nyingi siku hizi, inapendwa na kila mtu watoto na watu wazima. Mimi napenda zaidi kuitumia kwenye mkate lakini pia unaweza kuongeza siagi ya karanga kwenye karibu kila mboga ya majani, samaki na kadharika. Ukiacha radha yake nzuri na tamu, siagi ya karanga ni… Soma zaidi »

Magonjwa hatari 18 yanayotibika kwa kutumia mbegu za maboga

Magonjwa hatari 18 yanayotibika kwa kutumia mbegu za maboga

MAGONJWA HATARI 18 YANAYOTIBIKA KWA KUTUMIA MBEGU ZA MABOGA Mbegu za maboga zina protini na madini ya kutosha na ya mhimu zaidi mwilini kama madini ya zinki, kopa, maginizia, manganizi na chuma. Mbegu za maboga ni tamu na zinaweza kutafunwa nyakati zozote na mahali popote hasa kwa wapenda kutafuna-tafuna kama mimi. Tafiti mbalimbali zimethibitisha pasipo na shaka kuwa mbegu za… Soma zaidi »

Dawa mbadala 11 zinazotibu kufunga choo au choo kigumu

Dawa mbadala 11 zinazotibu kufunga choo au choo kigumu

DAWA MBADALA 11 ZINAZOTIBU KUFUNGA CHOO AU CHOO KIGUMU Tatizo la kufunga choo au kupata choo kigumu ni jambo tunalolikwepa kwenye mazungumzo yetu ya kila siku. Hata hivyo ni tatizo kubwa katika jamii na mbaya zaidi wengi hawajuwi madhara yake ni nini ya kuendelea kulivumilia tatizo hili. Kupata choo kigumu au kufunga choo ni ishara ya tatizo lingine baya zaidi… Soma zaidi »

faida za mayai kiafya

Faida 10 za mayai kiafya

FAIDA 10 ZA MAYAI KIAFYA Mayai ni moja ya vyakula vichache ambavyo naweza kuviweka katika kundi la vyakula ‘bora zaidi’ kuliko vyote. Mayai yamejaa viinilishe mhimu na vingi kati ya hivyo viinilishe havipatikani kirahisi katika vyakula vingi vya kisasa. Zifuatazo ni faida 10 za kiafya zitokanazo na kula mayai kama zilivyothibitishwa katika tafiti nyingi duniani: 1. Mayai yana virutubisho vya… Soma zaidi »

makosa wafanyayo wanawake kitandani

Makosa makubwa kabisa 6 wafanyayo wanawake kitandani

Makosa makubwa kabisa 6 wafanyayo wanawake kitandani   Nimewahi kuandika huko siku za nyuma makosa makubwa manne wafanyayo wanaume kitandani, ni makala ilipendwa sana na wote na unaweza kuiona na kuisoma wakati wowote kwa kubonyeza hapa. Baadhi ya watu walinitafuta na kunitaka niandike pia na makosa wafanyayo wanawake kitandani ili kupata balansi. Na leo nimeona niwatolee uvivu na kuwaletea hii… Soma zaidi »

Hii ndiyo tiba kwa kutumia masaji ambayo wengi hawaifahamu 2

Hii ndiyo tiba kwa kutumia masaji ambayo wengi hawaifahamu

HII NDIYO TIBA KWA KUTUMIA MASAJI AMBAYO WENGI HAWAIFAHAMU Wakati tunakabiliwa na mfadhaiko mkubwa kiakili na kimwili wa muda mrefu wengi wetu huwa tunatafuta msaada. Hata hivyo moja ya tiba ya matatizo haya ambayo wengi hawaijuwi ni tiba kwa kutumia masaji, tiba ambayo ina uhakika wa uponyaji kwa karibu ya asilimia 100 bila kutumia dawa yoyote na bila madhara yoyote…. Soma zaidi »

Kitunguu swaumu

Kitunguu swaumu hutibu magonjwa 30

Mungu anaposema watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa hamaanishi maarifa ya kutengeneza au kuendesha ndege, ni maarifa ya kawaida tu katika maisha yetu ya kila siku ambayo yanaweza kubadilisha afya na ustawi wetu. Moja ya mmea ambao umependelewa sana na Mungu kwakuwa na viinilishe vingi na mhimu sana kwa ajili ya kuimarisha kinga ya mwili ni kitunguu swaumu. Kitunguu swaumu… Soma zaidi »

Aina 4 za wanawake ambao hawawezi kuolewa 3

Aina 4 za wanawake ambao hawawezi kuolewa

AINA 4 ZA WANAWAKE AMBAO HAWAWEZI KUOLEWA Makala hii inaeleza juu ya aina 4 za wanawake ambao hawawezi kuolewa au wanaolewa kwa kuchelewa sana. Vitu vingi ninavyojadili hapa ni tabia na zinaweza kurekebishika iwapo mhusika atakuwa tayari kubadilika. Kwenye maisha hakuna kitu kizuri au hakuna silaha kubwa unaweza kupata kama kupata ufahamu na uwezo wa kutambua udhaifu wako. Watu wengi… Soma zaidi »

Je wanawake huwa wanataka mwanaume adumu muda gani kitandani 5

Je wanawake huwa wanataka mwanaume adumu muda gani kitandani

Je wanawake huwa wanataka mwanaume adumu muda gani kitandani Watu wengi wamekuwa wakiamini kwamba mwanaume anapochelewa sana kufika kileleni basi ndiyo tendo la ndoa linakuwa tamu jambo ambalo si kweli. Umekuja hapa ukitafuta jibu la swali hili na usijifikirie upo peke yako ambaye umekuwa ukitaka kujuwa jibu la swali hili – ni wengi wamekuwa wakiniuliza mara kwa mara na leo… Soma zaidi »

Ulaji wa chipsi umetajwa kuwa hatari kwa afya ya binadamu 6

Ulaji wa chipsi umetajwa kuwa hatari kwa afya ya binadamu

ULAJI WA CHIPS umetajwa kuwa HATARI kwa afya ya Binadamu. ULAJI WA CHIPS umetajwa kuwa HATARI kwa afya ya Binadamu, kwani husababisha maradhi mengi yasiyo ya kuambukiza hasa FIGO, MOYO , SHINIKIZO LA DAMU,KISUKARI NA SARATANI za aina zote. SAHANI moja ya CHIPS kavu huwa na MAFUTA yanayokaribia NUSU kikombe cha CHAI ambayo ni sawa na ujazo wa mililita 250…. Soma zaidi »

Njia zingine mpya 8 za kuondoa tatizo la kuwahi kufika kileleni 8

Njia zingine mpya 8 za kuondoa tatizo la kuwahi kufika kileleni

NJIA ZINGINE MPYA 8 ZA KUONDOA TATIZO LA KUWAHI KUFIKA KILELENI Kati ya matatizo makubwa kabisa yanayowasumbuwa wanaume katika suala la kujamiiana ni kufika kileleni mapema. Takwimu zisizo rasmi zinasema kuwa, wanaume 7 kati ya 10 wanapatwa na tatizo hii. Malalamiko yanayotolewa na baadhi ya wanaume yanathibitisha kwamba, muda wa kumaliza tendo huwa kati ya nusu dakika na dakika mbili… Soma zaidi »

Tendo la ndoa hupunguza hatari ya kupata saratani ya tezi dume 10

Tendo la ndoa hupunguza hatari ya kupata saratani ya tezi dume

Tendo la ndoa hupunguza hatari ya kupata saratani ya tezi dume Katika hali ya kawaida inaelezwa kushiriki tendo la ndoa kuna faida nyingi kiafya, hata hivyo kushiriki tendo la ndoa mara nyingi kupita kiasi kunaweza kusababisha matatizo ya msingi ambayo huleta madhara kwa watu wanaoiendekeza. Mtu anaweza kuwa na mwenzi na kujikuta kila siku anatumia ‘chakula cha usiku’ kwa sababu… Soma zaidi »

Dawa ya asili ya kutibu saratani ya tezi dume 11

Dawa ya asili ya kutibu saratani ya tezi dume

Dawa ya asili ya kutibu saratani ya tezi dume MAFUTA YA HABBAT SODA NI DAWA BORA YA SARATANI YA TEZI DUME Mafuta ya habbat soda yana sifa ya kudhibiti vivimbe na seli za kansa. Dawa hii ya asili imeshafanyiwa majaribio mengi na kila mara matokeo yake yamethibitika wazi kwamba ni dawa bora kwa kansa karibu zote. Ni dawa pia kwa… Soma zaidi »

Mambo 9 ya kushangaza na usiyoyajuwa kuhusu mbegu za kiume

Mambo 9 ya kushangaza na usiyoyajuwa kuhusu mbegu za kiume

Mambo 9 ya kushangaza na usiyoyajuwa kuhusu mbegu za kiume Una elimu au uelewa wa kiasi gani kuhusu mbegu za kiume yaani shahawa? Kuna uwezekano mkubwa hujawahi kuwa na muda wowote wa kupeleleza au kujifunza mengi kuhusu mbegu zako. Kama hujawahi kupata shida kutungisha mimba unaweza usiwaze lolote kuhusu mbegu zako na ukaendelea kuzichukulia poa kila siku. Soma hii pia… Soma zaidi »

Vyakula vitano vinavyoua nguvu zako za kiume bila wewe kujuwa 13

Vyakula vitano vinavyoua nguvu zako za kiume bila wewe kujuwa

VYAKULA VITANO VINAVYOUA NGUVU ZAKO ZA KIUME BILA WEWE KUJUWA Ulivyo ni kile unachokula na kunywa kila siku. You are what you eat. Kama unakula takataka utakuwa takataka na kama unakula vyakula vya afya basi utakuwa afya. Hakuna upendeleo katika hili! Kama hujuwi nguvu za kiume ni kitu gani hasa bonyeza kwanza hapa. Chakula unachokula kina uhusiano wa moja kwa… Soma zaidi »

Kukosa hamu ya tendo la ndoa

Sababu za wanaume kukosa hamu ya tendo la ndoa

SABABU ZA WANAUME KUKOSA HAMU YA KUFANYA TENDO LA NDOA Ni matumaini yangu umzima wa afya Leo katika mada yangu hii, nataka kuzungumzia zaidi sababu za wanaume wengi kukosa hamu ya tendo la ndoa. Kama ilivyo matatizo mengine, tatizo la kukosa hamu ya kushiriki tendo la ndoa huwakumba na wanaume vilevile ila siyo kwa kiwango kikubwa kama ilivyo kwa wanawake…. Soma zaidi »

Madhara ya Vidonda vya tumbo mwilini

Madhara 9 ya vidonda vya tumbo mwilini

Madhara 9 ya Vidonda vya tumbo mwilini Vidonda vya tumbo ni majeraha au vidonda ndani ya kuta za tumbo. Majeraha au vidonda hivyo huleta maumivu yanayokera na hutokea mara nyingi tumboni na yanaweza kutibika lakini kama hutachukuwa hatua mapema za kutibu yanaweza kukuletea majanga mengine mengi kiafya. Tumbo na utumbo mdogo vina kuta maalumu yenye ute ute wa ulinzi ambao… Soma zaidi »

uchovu unaleta upungufu wa nguvu za kiume

Jinsi uchovu sugu unavyoleta upungufu wa nguvu za kiume

Jinsi uchovu sugu unavyoleta upungufu wa nguvu za kiume Uchovu unaotokana na kazi ni zaidi ya kuchoka kwa kawaida, na unazidi uchovu unaosababishwa na shughuli za kila siku. Dalili za uchovu huo ni kuchoka kupita kiasi kwa muda mrefu na vilevile kuhisi umekata tamaa na kukosa nguvu. Watu wanaokabiliana na uchovu huo hawafurahii kufanya kazi zao, yaani, wanakosa hamasa ya… Soma zaidi »

madhara ya kukaa kwenye kiti masaa mengi

Kukaa muda mrefu kwenye kiti husababisha kufa mapema

Kukaa muda mrefu kwenye kiti husababisha kufa mapema Pengine tayari unafahamu kuwa kutokujishughulisha na mazoezi ya viungo mara kwa mara ni hatari kwa afya yako. Ndiyo hilo ni jambo ambalo kila mtu analijuwa (common sense). Vipi lakini ikiwa ni kweli unajitahidi kila siku kutimiza jukumu hilo la kufanya mazoezi dakika 30 hadi lisaa limoja na wakati huo huo unatumia masaa… Soma zaidi »

jinsi ya kutoa sumu mwilini

Dawa ya kutoa sumu mwilini

Dawa ya kutoa sumu mwilini SUMU ni kitu chochote ambacho kinaweza kuingia mwilini na kusababisha mifumo ya mwili ishindwe kufanya kazi ipasavyo. Unafikiria kuwa una afya njema, lakini haujisikii vyema. Unapuuza, unaona ni vitu vidogo vidogo. Hivyo, haushughuliki kwenda hospitali au kwa wataalamu wa afya kwa ajili ya uchunguzi na matibabu. Hatimaye tatizo linakuwa kubwa. Unafika hospitali unaambiwa una saratani,… Soma zaidi »

Usile vyakula hivi muda mchache kabla ya tendo la ndoa

Usile vyakula hivi muda mchache kabla ya tendo la ndoa

Usile vyakula hivi muda mchache kabla ya tendo la ndoa Ni usiku wa mahaba leo. Wakati hujajipanga juu ya mavazi utakayovaa bila shaka kunaweza kuwa na chakula cha pamoja kabla ya kwenda kulala ili kuongeza kidogo hali ya kuwa pamoja. Sasa kama hujuwi ni chakula kipi ule na kipi usile muda mchache kabla ya hiyo mechi unaweza kupata shida au… Soma zaidi »

Namna wanawake wanavyochangia upungufu wa nguvu za kiume kwa waume zao 15

Namna wanawake wanavyochangia upungufu wa nguvu za kiume kwa waume zao

Namna wanawake wanavyochangia upungufu wa nguvu za kiume kwa waume zao Wanawake wanahusika pia na upungufu wa nguvu za kiume Kesi ya wanaume kupungukiwa nguvu za kiume zimezidi kushika kasi, kiasi cha kufanya dawa za kuongeza nguvu hizo kuwa maarufu na zenye mahitaji makubwa katika jamii Waganga wa kienyeji wamekuwa wakitumia dawa hizo kama tiba ya msingi ya kuwavutia wateja… Soma zaidi »

Vidonda vya tumbo husababisha upungufu wa nguvu za kiume 16

Vidonda vya tumbo husababisha upungufu wa nguvu za kiume

Vidonda vya tumbo husababisha upungufu wa nguvu za kiume Hapo kabla tumejifunza mengi kuhusu ugonjwa wa VIDONDA VYA TUMBO. Baadaye tukajadili kwa kirefu juu ya DALILI 21 ZA VIDONDA VYA TUMBO. Kama hukubahatika kupata somo hili pia unaweza kulisoma kwa kubonyeza hapa Kisha tukaja tukasoma juu ya DAWA MBADALA INAYOTIBU VIDONDA VYA TUMBO. Kama hukubahatika kusoma makala hii pia unaweza… Soma zaidi »

Jinsi ya kuongeza uzito na unene bila kudhuru mwili wako 17

Jinsi ya kuongeza uzito na unene bila kudhuru mwili wako

JINSI YA KUONGEZA UZITO AU UNENE BILA KUDHURU MWILI WAKO Kuna wakati mtu unajiona wazi kuwa uzito wako upo chini na pengine ungehitaji ungeongezeka kidogo uzito na unene wako kwa ujumla. Tuachane na wale wanaotaka kuongeza sehemu za kukalia na mapaja kwanza, nitaleta dawa kwa ajili hiyo siku nyingine. Nazungumzia mtu anayetaka kuongezeka uzito na unene wa mwili kwa ujumla…. Soma zaidi »

Jinsi ya kuacha kujichua

Jinsi ya kuacha punyeto

JINSI YA KUACHA PUNYETO Punyeto ni tendo lolote la kujitafutia ashiki binafsi hasa kwa kuchochea viungo vya uzazi. Wanaochukua hatua hiyo ili wajipatie kionjo cha kuridhisha kinachofanana na kile cha tendo la ndoa kwa kawaida wanasukumwa na msisimko uliowapata, pamoja na aibu ya kujitafutia mtu na hofu ya kuambukizwa maradhi ya zinaa. Kufanya hivyo ni kupotosha maana ya jinsia kwa… Soma zaidi »

Namna msongo wa mawazo unavyoleta tatizo la kuwahi kufika kileleni 18

Namna msongo wa mawazo unavyoleta tatizo la kuwahi kufika kileleni

Namna msongo wa mawazo unavyoleta tatizo la kuwahi kufika kileleni Hali ya mfadhaiko inasemwa kutokea wakati ubongo unapokabiliana na tatizo la mvurugiko wa akili na kujikuta ukishindwa kuendana na hali zingine zinazohitaji umakini kwa wakati mmoja. Jambo hili linaweza kuuteka ubongo na kudhoofisha uwezo wake. Hatimaye hali hii ya ufadhaikaji katika ubongo inaweza kutengeneza dalili tofauti ambazo zimepachikwa majina mengi… Soma zaidi »

Vinavyoharibu nguvu za kiume

Kitu kingine kinachoharibu nguvu za kiume ambacho hujawahi kukifikiria

Pengine tayari unafahamu kuwa kutokujishughulisha na mazoezi ya viungo mara kwa mara ni hatari kwa afya yako ya nguvu za kiume. Ndiyo hilo ni jambo ambalo kila mtu analijuwa (common sense). Jina langu naitwa Fadhili Paulo. Endelea kusoma … Mara nyingi tunapozungumzia vitu vinavyoharibu au kushusha nguvu za kiume huwa tunakimbia kutaja vilevi, vyakula feki, kutokujishughulisha na mazoezi ya viungo… Soma zaidi »

Kwanini  mazoezi ya viungo ni mhimu sana kwa nguvu za kiume 19

Kwanini mazoezi ya viungo ni mhimu sana kwa nguvu za kiume

Kupitia makala hii nitakueleza kwanini mazoezi ya viungo ni mhimu sana kwa nguvu za kiume. Pia utapata kuona mazoezi manne maalumu kabisa kwa kazi hii. Zingatia sana umhimu wa mazoezi ya viungo. Bila kujishughulisha na mazoezi ya viungo kila siku itakuwa ni vigumu sana kwako kupona tatizo la upungufu wa nguvu za kiume. Kutengeneza mishipa na kupunguza uzito isiwe ndiyo… Soma zaidi »

vyakula vinavyoongeza nguvu za kiume kwa haraka zaidi

Vyakula 25 vinavyoongeza nguvu za kiume

Katika makala hii nitakueleza juu ya vyakula vinavyoongeza nguvu za kiume kwa haraka zaidi na nitakueleza chakula kimoja baada ya kingine kiundani zaidi. Jina langu naitwa Fadhili Paulo. Endelea kusoma … Unachotakiwa ni kujijengea mazoea ya kuhakikisha mlo wako kwa siku haukosi hivi vyakula. Ukiwa mbunifu kwenye kupika kuna uwezekano ukatumia vyote au nusu yake katika chakula chako cha kutwa… Soma zaidi »

Vyakula ambavyo mwanaume hatakiwi kula

Vyakula ambavyo mwanaume hatakiwi kula

Katika makala hii nitakueleza Vyakula ambavyo mwanaume hatakiwi kula ili kubaki na afya bora wakati wote. Kuna vingine unaweza kuwa unavitumia kila siku bila mwenyewe kujuwa. Awali ya yote elewa tu kuwa hii ni orodha ndogo sana katika vyakula ambavyo mwanaume hatakiwi kula. Ni sehemu ndogo na kwa hakika vinazidi zaidi ya vyakula 20 ambavyo hutakiwi kula. Jina langu naitwa… Soma zaidi »

Makosa wafanyayo wanaume wengi wakiwa kitandani

Makosa wafanyayo wanaume wengi wakiwa kitandani

Makosa wafanyayo wanaume wengi wakiwa kitandani 1.Kosa la kwanza : KUWA MBALI NA MWILI WA MWANAMKE Wakati unashiriki tendo la ndoa mwanamke anapata Raha zaidi Ikiwa mwanaume utamlalia mwili wako wote juu yake Wanaume wengi hawajuwi hili. Usiweke mikono yako Kama stendi na kubaki juu juu tu huku uko bize na shughuli yako. Mlalie kabisa mwili wako wote ausikie na… Soma zaidi »

Je Punyeto ni dhambi kwa mjibu wa Biblia

Je Punyeto ni dhambi kwa mjibu wa Biblia?

Swali: Je Punyeto ni dhambi kwa mjibu wa Biblia? JIBU: Biblia haisemi moja kwa moja wala kutaja punyeto kama ni dhambi. Aya ya kwenye Biblia ambayo mara nyingi huwa inanukuliwa ikihusishwa na punyeto ni habari ya Onan kwenye kitabu cha mwanzo 38 : 9 – 10. Wengine huutafsiri mstari huu kwa maana ya kwamba kumwaga mbegu zako nje ya uke… Soma zaidi »

Mazoezi yanayoongeza nguvu za kiume

Mazoezi yanayoongeza nguvu za kiume

MAZOEZI YANAYOONGEZA NGUVU ZA KIUME Zingatia sana umhimu wa mazoezi ya viungo. Bila kujishughulisha na mazoezi ya viungo kila siku itakuwa ni vigumu sana kwako kupona tatizo la upungufu wa nguvu za kiume. Kutengeneza mishipa na kupunguza uzito isiwe ndiyo sababu pekee ya kwenda gym. Kama unahitaji nguvu za kiume na uume wenye afya, unahitaji kujishughulisha na mazoezi ya viungo… Soma zaidi »

Kila kitu kuhusu nguvu za kiume

Kila kitu kuhusu nguvu za kiume

Hiki ni kitabu kinachoeleza kila unalohitaji kufahamu kuhusu nguvu za kiume Kwenye hiki kitabu utajifunza vitu vifuatavyo; Nguvu za kiume ni nini Nini kinasababisha kushuka au kupungua nguvu za kiume Vyakula vinavyoongeza nguvu za kiume Mazoezi ya viungo yanayoongeza nguvu za kiume Dalili na ishara za mwanamke anayefika kileleni (Utajuwaje kama mke au mpenzi wako amefika kileleni) Namna wanawake wanavyochangia… Soma zaidi »

Madhara ya punyeto kwa wanaume

Madhara ya punyeto kwa wanaume

Madhara ya kupiga punyeto kwa wanaume Tunahitaji mahusiano ili tuongezeke na hili haliwezi kufanikiwa bila kushiriki tendo la ndoa kati ya watu wa jinsia mbili tofauti. Hisia hizi huanza kujitokeza pale mtu anapofikia wakati wa kubarehe. Hapa ndiyo wakati mgumu na mbaya kwa kijana hasa kwa asiyejitambua na asiye na usimamizi wa karibu wa wazazi au walezi. Ni wakati huu… Soma zaidi »

Dawa ya kuongeza mbegu za kiume 20

Dawa ya kuongeza mbegu za kiume

Kwenye makala hii nitakueleza kwa kina juu ya dawa ya kuongeza mbegu za kiume rahisi na isiyo na gharama yoyote kubwa. Mwanaume mwenye uwezo wa kuzalisha anahitaji kuwa na mbegu zisizopungua milioni 20, chochote chini ya hapa kinaweza kuwa sababu ya kutokutungisha ujauzito. Ikitokea umegundulika kuwa na mbegu chache, ni nyepesi sana na hazina nguvu za kukimbia vya kutosha basi… Soma zaidi »

Dawa ya nguvu za kiume na maumbile madogo

Dawa ya kuongeza nguvu za kiume

Dawa ya kuongeza nguvu za kiume NGUVU ZA KIUME NI NINI? Nguvu za kiume ni neno linalotumika mara nyingi kumaanisha ‘Uwezo wa mwanaume kufanya tendo la ndoa’. Na inapokuwa tofauti na hivi, tunaita ni ‘kupungua au kukosa nguvu za kiume’. Kupungukiwa kwa nguvu za kiume hutofautiana toka mtu mmoja hadi mwingine. Inaweza kuwa ni hali ya kutokuwa na uwezo wa… Soma zaidi »