Dawa mbadala 11 zinazotibu kufunga choo au choo kigumu

Dawa mbadala 11 zinazotibu kufunga choo au choo kigumu

DAWA MBADALA 11 ZINAZOTIBU KUFUNGA CHOO AU CHOO KIGUMU Tatizo la kufunga choo au kupata choo kigumu ni jambo tunalolikwepa kwenye mazungumzo yetu ya kila siku. Hata hivyo ni tatizo kubwa katika jamii na mbaya zaidi wengi hawajuwi madhara yake ni nini ya kuendelea kulivumilia tatizo hili. Kupata choo kigumu au kufunga choo ni ishara ya tatizo lingine baya zaidi… Soma zaidi »

Chanzo cha kufunga au kupata choo kigumu wakati wa ujauzito 1

Chanzo cha kufunga au kupata choo kigumu wakati wa ujauzito

CHANZO CHA KUFUNGA AU KUPATA CHOO KIGUMU WAKATI WA UJAUZITO Kipindi cha ujauzito ni kipindi cha furaha kubwa kwa mwanamke yoyote. Hata hivyo kuna baadhi ya mabadiliko ya kiafya yanayoweza kukutokea unapokuwa na ujauzito ambayo yanaweza kukuondolea furaha hiyo ikiwemo tatizo la kupata choo kigumu sana au kufunga choo kabisa na kupelekea tatizo la ugonjwa wa bawasiri. Kwa afya nzuri… Soma zaidi »

Jinsi ya kuimarisha afya ya mfumo wako wa mmeng’enyo wa chakula 2

Jinsi ya kuimarisha afya ya mfumo wako wa mmeng’enyo wa chakula

Jinsi ya kuimarisha afya ya mfumo wako wa mmeng’enyo wa chakula Ili kuimarisha mfumo wako wa mmeng’enyo wa chakula unahitaji kula zaidi vyakula vyenye bakteria wazuri. Tumboni kwako kuna bakteria wa aina mbili, bakteria wazuri na bakteria wabaya na kwa bahati mbaya mwili au tumbo lako linawahitaji bakteria wote wawili yaani bakteria wazuri na bakteria wabaya ili uendelee kuishi. Hata… Soma zaidi »

Bawasiri husababishwa na nini

Tabia 7 zinazokuchelewesha kupona bawasiri

Tabia 7 zinazokuchelewesha kupona bawasiri 1. Kutokunywa maji ya kutosha kila siku Tafiti zinasema kutokunywa maji ya kutosha kila siku kunaweza kukuletea ugonjwa wa bawasiri. Kama haunywi maji mengi ya kutosha kila siku ni rahisi sana wewe kupatwa na tatizo la kufunga choo au kupata choo kigumu kila mara na mwisho wake ni bawasiri. Maji ni maji. Juisi, chai, soda… Soma zaidi »

Uhusiano wa vidonda vya tumbo na saratani ya tumbo 3

Uhusiano wa vidonda vya tumbo na saratani ya tumbo

Uhusiano wa vidonda vya tumbo na saratani ya tumbo . Kwa kawaida vidonda vya tumbo husababishwa na bakteria aitwaye Helicobacter pylori au kwa kifupi H. pylori. Watu wawili katika kila watu watatu hapa duniani wana huyu bakteria tumboni mwao Na ingawa wengi wa watu hawa wenye huyu bakteria hawaonyeshi dalili yoyote ya kuumwa vidonda vya tumbo bado baadhi yao wanatokewa… Soma zaidi »

Hadithi 8 za uongo kuhusu bawasiri 4

Hadithi 8 za uongo kuhusu bawasiri

Hadithi 8 za uongo kuhusu bawasiri Hadithi namba 1: Ukiugua bawasiri hata ukipona utarudia kuugua tena na tena. Ukweli ni upi: Madai haya hayana ukweli wowote hasa kwa yule ambaye amepata ugonjwa huu kwa sababu za muda mfupi tu kama vile ujauzito.   Kwa kawaida ukitibiwa ugonjwa huu na ukapona kitakachosababisha upate tena ugonjwa huu ni kutokuzingatia masharti unayopewa juu ya… Soma zaidi »

Vitu vinavyosababisha Bawasiri

Vitu vikuu vitatu vinavyosababisha bawasiri

Bawasiri ni nini? Bawasiri au Kikundu au Puru ni hali ya kuvimba kwa mishipa ya damu katika njia ya haja kubwa. Kwa Kiingereza hujulikana kama Hemorrhoid au Piles. Katika hatua yake ya kuonekana wazi ugonjwa hujitokeza kama uvimbe au vivimbe kadhaa kwenye maeneo ya tundu la haja kubwa. Karibu katika kila watu wanne watu watatu kati yao wanasumbuliwa na ugonjwa huu. Ni ugonjwa wa… Soma zaidi »

Usile vyakula hivi kama unaumwa Bawasiri

Usile vyakula hivi kama unaumwa Bawasiri

Usile vyakula hivi kama unaumwa Bawasiri Wagonjwa wengi ninaokutana nao wakitafuta dawa ya bawasiri baadhi yao wamekuwa wakisema nahitaji dawa kwa ajili ya rafiki au ndugu yangu fulani na siyo kujisema wao moja kwa moja kwamba ndiyo wanaoumwa! Uwe na amani haijalishi ni bawasiri au U.T.I au vidonda vya tumbo au nguvu za kiume, chochote utakachowasiliana na mimi kinabaki kuwa… Soma zaidi »

madhara ya kukaa kwenye kiti masaa mengi

Kukaa muda mrefu kwenye kiti husababisha kufa mapema

Kukaa muda mrefu kwenye kiti husababisha kufa mapema Pengine tayari unafahamu kuwa kutokujishughulisha na mazoezi ya viungo mara kwa mara ni hatari kwa afya yako. Ndiyo hilo ni jambo ambalo kila mtu analijuwa (common sense). Vipi lakini ikiwa ni kweli unajitahidi kila siku kutimiza jukumu hilo la kufanya mazoezi dakika 30 hadi lisaa limoja na wakati huo huo unatumia masaa… Soma zaidi »

Tiba ya bawasiri bila upasuaji 5

Tiba ya bawasiri bila upasuaji

Tiba ya bawasiri bila upasuaji Bawasiri ni ugonjwa gani? Bawasiri ni nini? Bawasiri au Kikundu au Puru ni hali ya kuvimba kwa mishipa ya damu katika njia ya haja kubwa. Kwa Kiingereza hujulikana kama Hemorrhoid au Piles. Katika hatua yake ya kuonekana wazi ugonjwa hujitokeza kama uvimbe au vivimbe kadhaa kwenye maeneo ya tundu la haja kubwa. Karibu katika kila watu wanne watu watatu… Soma zaidi »