Afya ya Nywele
Dawa ya asili inayootesha nywele na kuzuia upara
Hakuna kitu kinavutia zaidi kama kuwa na nywele nzuri za kutosha na zenye afya yake ya asili. Hata hivyo tatizo la kupotea kwa nywele au upara ni tatizo kubwa linalowapata watu wengi kila pembe ya dunia. Nywele inawezekana ndiyo kitu cha kwanza hasa linapokuja suala la urembo hasa kwa wasichana, Read more…