fadhilipaulo.com

  • Makala
  • Tuwasiliane

Afya ya Wanaume

Afya ya Wanaume

Makosa mengine matatu wafanyayo wanaume kitandani

Makosa mengine matatu wafanyayo wanaume kitandani Kumekuwa na dhana nyingi hasa ambazo ni potofu kuhusu tendo la ndoa. Kumekuwa na mijadala mingi isiyo na mwisho kuhusu hili na wanaume wengi wanaonyesha hawana ufahamu juu ya wanawake juu ya nini hasa wanapenda au hawapendi linapokuja suala la tendo la ndoa. Na Read more…

By Fadhili Paulo, 2 weeks09/06/2022 ago
Afya ya Wanaume

Usifanye mambo haya 9 muda mchache kabla ya tendo la ndoa

Usifanye mambo haya 9 muda mchache kabla ya tendo la ndoa Tendo la ndoa ni moja ya jambo la starehe na lenye uwezo wa kukupa furaha kuliko kitu kingine chochote na mara nyingi halihitaji gharama yoyote. Ni moja ya tendo la watu wawili wa jinsia tofauti lenye uwezo wa kuunda Read more…

By Fadhili Paulo, 1 month20/05/2022 ago
Afya ya Wanaume

Ufahamu mti unaotumika kutengeneza dawa ya kuchelewa kufika kileleni vumbi la Congo

Vumbi hili lina majina mengi sana nayo ni Kasongo, Mundende, putururu, Mpesu, nk. Vumbi hili si vumbi kama vumbi la stoo, barabarani, shambani nk. Hili ni vumbi linalotokana mizizi au magome ya mti unaitwa MPESU au Violet tree (kitaalam unaitwa Securidaca Longipedunculata) Basi mti huo husagwa na kuwa unga yaani Read more…

By Fadhili Paulo, 2 months22/04/2022 ago
Afya ya Wanaume

Jinsi ya kuongeza nguvu za kiume bila kutumia dawa

Jinsi ya kuongeza nguvu za kiume bila kutumia dawa Kwenye makala hii nafundisha jinsi unavyoweza kuongeza na kuimarisha nguvu zako za kiume bila kutumia dawa. Ni kweli inawezekana kabisa kuimarisha nguvu zako za kiume bila kutumia dawa kama unafahamu ni vitu gani na gani hasa vinahitajika. Kabla ya yote unatakiwa Read more…

By Fadhili Paulo, 2 months21/04/2022 ago
Afya ya Wanaume

Jinsi kuchepuka kunavyoleta tatizo la upungufu wa nguvu za kiume

Jinsi kuchepuka kunavyoleta tatizo la upungufu wa nguvu za kiume Leo nitazungumzia namna kuchepuka kunavyoleta upungufu wa nguvu za kiume. Na hii ni pale mwanaume anapogundua mkewe anachepuka. Hapa unakuwa umefahamu na una uhakika kabisa mkeo amechepuka au anaendelea kuchepuka. Mke anauma sana asikuambie mtu. Ndiyo sababu ni rahisi kwa Read more…

By Fadhili Paulo, 2 months20/04/2022 ago
Afya ya Wanaume

Dalili kuu 5 zitakazokuonyesha unapungukiwa nguvu za kiume

Dalili kuu 5 zitakazokuonyesha unapungukiwa nguvu za kiume Unazifahamu dalili za kukuonyesha kuwa unapungukiwa au una tatizo la upungufu wa nguvu za kiume?. Kwenye mwili wa binadamu kuna mambo mengi ambayo hatuyaelewi na mara nyingi huwa hatuna muda wa kuyapeleleza. Kwahiyo unapojihisi huenda kuna kitu siyo sawa kwenye afya yako Read more…

By Fadhili Paulo, 3 months21/03/2022 ago
Afya ya Wanaume

Je punyeto inasababisha ugumba kwa wanaume?

Je punyeto inasababisha ugumba kwa wanaume? Nimeshaandika mengi sana kuhusu punyeto au kujichua kwenye hii blog. Mengi sana. Nimeshaandika madhara ya punyeto kwa jinsia zote mbili. Punyeto ni kitendo cha mtu akiwa peke yake kulazimisha hisia zake huku akitumia mkono na vifaa vingine kama sabuni, mafuta, picha, midori (toys) na Read more…

By Fadhili Paulo, 3 months12/03/2022 ago
Afya ya Wanaume

Sababu kuu 2 za wanawake kupenda kujichua

Sababu kuu 2 za wanawake kupenda kujichua Nitumie nafasi hii kutoa salamu kwa wanawake wote katika sikukuu hii yao ya leo, siku ya wanawake duniani tarehe 8 machi 2022. Mimi mpaka hapa nilipo nimefika kwanza kwa kuzaliwa na mwanamke lakini siyo hivyo tu bali nimeshasaidiwa mengi sana na wanawake kwa Read more…

By Fadhili Paulo, 4 months08/03/2022 ago
Afya ya Wanaume

Uhusiano wa kitambi na upungufu wa nguvu za kiume

Uhusiano wa kitambi na upungufu wa nguvu za kiume Wanaume wengi wanaopenda kufuatilia afya zao huwa hawapendi kuwa na kitambi na wanafanya kila wawezalo ili kukiepuka. Lakini wapo baadhi ya wanaume wachache ambao huhangaika kwa kila njia ili wapate kuwa na kitambi ili iwe rahisi waonekane ni mabosi na ni Read more…

By Fadhili Paulo, 4 months28/02/2022 ago
Afya ya Wanaume

Sababu zingine 6 za mke kupoteza hamu ya kutaka kushiriki tendo la ndoa

Sababu zingine 6 za mke kupoteza hamu ya kutaka kushiriki tendo la ndoa Kesi za wanawake kupoteza hamu ya tendo la ndoa zimezidi kuongezeka tangu mwanzoni mwa mapinduzi ya viwanda hapo mwanzoni mwa karne ya 19. Kila mtu ana sababu zake juu ya kuongezeka kwa tatizo hili. Mwanamke kukosa au Read more…

By Fadhili Paulo, 5 months23/01/2022 ago
Afya ya Wanaume

Dawa ya kuacha punyeto

Dawa ya kuacha punyeto Bila shaka umzima na unaendelea vizuri na mwaka mpya. Kwa sababu hii ni makala yangu ya kwanza tangu mwaka huu uanze basi napenda kutumia nafasi hii kumshukuru Mungu kwa kutuwezesha kuvuka salama na kuuona mwaka mwingine wa 2022. Napenda kukutia moyo na kukuombea yale yote uliyopanga Read more…

By Fadhili Paulo, 5 months19/01/2022 ago
Sababu za uume kusinyaa
Afya ya Wanaume

Namna punyeto inavyosababisha kusinyaa kwa uume

Namna punyeto inavyosababisha kusinyaa kwa uume Kudumaa, kusinyaa na kunywea au kurudi ndani kwa uume ni tatizo linalo wakabili wanaume wengi duniani. Dalili za tatizo hili ni pamoja na kuwa na uume mdogo sana na uliodumaa, sinyaa na kurudi ndani kiasi cha kuyafanya uonekane kama ni uume wa mtoto mdogo. Read more…

By Fadhili Paulo, 6 months12/12/2021 ago
uume kusinyaa na kurudi ndani
Afya ya Wanaume

Sababu kuu 10 za uume kusinyaa na kuwa mdogo

Sababu kuu 10 za uume kusinyaa na kuwa mdogo Kadri anavyoendelea kuishi kuna wakati utafika mwanaume ataanza kugundua uume wake umeanza kupungua na kuwa mdogo tofauti na alivyokuwa na miaka 20 mpaka 35 hivi.. Kusinyaa kwa uume ni jambo la kawaida ambalo hutokea katika umri mkubwa yaani kuanzia umri wa Read more…

By Fadhili Paulo, 7 months11/12/2021 ago
Afya ya Wanaume

Mabadiliko matano yanayotokea kwenye uume wako kadri unavyozidi kuwa mzee

Mabadiliko matano yanayotokea kwenye uume wako kadri unavyozidi kuwa mzee Kama vile ngozi yako inavyobadilika kadri unavyozidi kuwa mzee kadharika kuna mabadiliko pia yatatokea hata kwa upande wa mheshimiwa. Najua ungependa mheshimiwa aendelee kubaki kama ulivyokuwa na miaka 25 lakini kwa bahati mbaya hilo haliwezekani. Kwa hiyo, unavyoelekea kuwa mzee Read more…

By Fadhili Paulo, 7 months10/12/2021 ago
mwanamke kukosa hamu ya tendo la ndoa
Afya ya Wanaume

Hasara inayoweza kutokea mke anapoishiwa hamu ya tendo la ndoa mara kwa mara

Hasara inayoweza kutokea mke anapoishiwa hamu ya tendo la ndoa mara kwa mara Nakusalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania … Ni matumaini yangu umzima na unaendelea na kazi na majukumu yako ya kujenga maisha yako na taifa kwa ujumla. Leo tena nimepata muda na nimeona niliongelee hili Read more…

By Fadhili Paulo, 7 months29/11/2021 ago
siri za kuishi miaka mingi
Afya ya Wanaume

Siri 5 za watu wanaofanikiwa kuishi miaka mingi

Siri 5 za watu wanaofanikiwa kuishi miaka mingi Hakuna mtu asiyependa kuishi miaka mingi. Hakuna mtu anayependa kufa mapema. Kila mtu anapenda kuishi walau miaka 100. Anayepanga uishi miaka mingapi kwa sehemu kubwa ni Mungu peke yake. Kwenye suala la kuishi miaka mingapi mwenye uwezo wa kudhibiti hilo ni Mungu Read more…

By Fadhili Paulo, 7 months23/11/2021 ago
Afya ya Wanaume

Mtongoze mwanamke yoyote kwa kutumia mbinu hii

Mtongoze mwanamke yoyote kwa kutumia mbinu hii Kwa wale wenzangu na mimi a.k.a kina domo zege leo ni bahati yetu na hatimaye shida kubwa iliyokuwa ikitusumbua inaweza kuisha leo! Ndiyo kwa mwanaume ambaye ni muoga wa kutongoza mtaani tumezoea kumuita domo zege. Mara nyingi kuogopa kutongoza ni matokeo ya aibu Read more…

By Fadhili Paulo, 7 months12/11/2021 ago
Afya ya Wanaume

Je madhara ya punyeto hupotea baada ya muda gani

Je inachukua muda gani madhara ya punyeto kupotea OK ok Hili ni swali nimekuwa nikiulizwa mara kadhaa na wanaume huko WhatsApp Nafikiri leo utapata jibu sahihi na la kueleweka zaidi kuhusu swali hili. Moja ya tabia ya mtu anayependa kujichua au moja ya tabia ya mtu anayepiga punyeto mara nyingi Read more…

By Fadhili Paulo, 8 months02/11/2021 ago
Afya ya Wanaume

Magonjwa 10 yanayosababisha upungufu wa nguvu za kiume

Magonjwa 10 yanayosababisha upungufu wa nguvu za kiume Kushuka kwa nguvu za kiume hakutokani tu na punyeto au vilevi au kutokushiriki mazoezi ya viungo kila mara Pia siyo jambo la kushindwa kufahamu ule nini au usile nini Wakati mwingine nguvu za kiume hushuka kama matokeo ya magonjwa mbalimbali yanayomkabili mwanaume Read more…

By Fadhili Paulo, 8 months01/11/2021 ago
faida za kushiriki tendo la ndoa
Afya ya Wanaume

Faida 15 za kushiriki tendo la ndoa mara kwa mara

Faida 15 za kushiriki tendo la ndoa mara kwa mara Utafiti mmoja wa mwaka 2015 ulihitimisha kwamba kushiriki tendo la ndoa mara kwa mara kuna uhusiano mkubwa na wa moja kwa moja wa ubora wa afya yako na maisha yako kwa ujumla. Kuridhika katika mahusiano kunaweza kuongezeka sana kutokana na Read more…

By Fadhili Paulo, 8 months17/10/2021 ago
Afya ya Wanaume

Mwanaume mwenye sifa hii anapendwa na wanawake wote

Mwanaume mwenye sifa hii anapendwa na wanawake wote.  Leo nitakueleza kwa undani kabisa ni nini hasa wanawake wanapenda kutoka kwa waume zao au wachumba zao. Wanaume karibu wote kote duniani wamekuwa na swali hili na kutaka KUFAHAMU ni nini hasa kinachowavutia wanawake kwao. Wanaume wengi wanatafuta KUFAHAMU ni tabia gani Read more…

By Fadhili Paulo, 9 months07/10/2021 ago
Homoni ya testerone
Afya ya Wanaume

Ukweli na uzushi kuhusu homoni ya testosterone

Ukweli na uzushi kuhusu homoni ya testosterone Kichocheo cha testosterone ni homoni ambayo hupatikana zaidi kwa upande wa mwanaume ni muhimu kwa afya ya pande zote mbili yaani mwanamke na mwanaume pia. Kadri umri unavyoenda mbele basi kiwango cha uzalishaji wa kichocheo cha testosterone kupungua, kupungua kwa kichocheo hiki kawaida Read more…

By Fadhili Paulo, 9 months30/09/2021 ago
Afya ya Wanaume

Maswali ninayoulizwa mara kwa mara na wanaume

Maswali ninayoulizwa mara kwa mara na wanaume Leo nimependa kuchukua nafasi na muda huu kujibu kwa kina baadhi ya maswali ambayo nimekuwa nikiulizwa mara kwa mara na wanaume huko WhatsApp. Aidha yapo pia maswali mengine ambayo nimekuwa nikiulizwa mara kwa mara na wavulana. Wavulana ni watu wa jinsia ya kiume Read more…

By Fadhili Paulo, 9 months24/09/2021 ago
Afya ya Wanaume

Utafiti: Saratani ya tezidume inawapata zaidi wanaume wagumba

Utafiti: Saratani ya tezidume inawapata zaidi wanaume wagumba Imethibitishwa saratani ya tezi dume inawapata zaidi wanaume wagumba. Saratani ya tezi dume na tatizo la mwanaume kutokuwa na uwezo wa kutungisha mimba yaani ugumba ni matatizo ya kawaida ya kiafya yanayowakumba asilimia 8 mpaka 10 ya wanaume. Wengi wetu tumekuwa tukijiuliza Read more…

By Fadhili Paulo, 9 months21/09/2021 ago
Afya ya Wanaume

Uvutaji bangi unaweza kukuletea saratani ya tezi dume

Uvutaji bangi unaweza kukuletea saratani ya tezi dume Mtanisamehe kidogo ndugu wajumbe kwa leo sitawaonea aibu. Baadhi ya tafiti zimeweza kuthibitisha juu ya uwepo wa uhusiano baina ya bangi na saratani ya tezi dume. Zaidi ya tafiti 25 zilizofanywa ndani ya miaka 40 iliyopita zimeendelea kuona uhusiano wa uvutaji bangi Read more…

By Fadhili Paulo, 10 months30/08/2021 ago
Afya ya Wanaume

Je kutopata mtoto kunakuondolea hamu ya tendo la ndoa?

Je kutopata mtoto kunakuondolea hamu ya tendo la ndoa? Nafahamu hilo na sidhani kama hilo ni swali la kuuliza. Sababu inajulikana wazi kwamba ikiwa umekaa miaka kadhaa na hupati mtoto basi ni jambo la kawaida kabisa kuishiwa hamu ya tendo la ndoa. Hata hivyo mechi lazima iendelee Inawezekana mama hatumii Read more…

By Fadhili Paulo, 10 months30/08/2021 ago
Afya ya Wanaume

Vyakula 6 vinavyoongeza uume

Vyakula 6 vinavyoongeza uume Afya nzuri kabisa ya tendo la ndoa ni jambo linalotamaniwa na watu karibu wote popote duniani Na katika juhudi zao za kutaka kuimarisha afya zao za kitandani watu wamekuwa wakitumia mbinu mbalimbali kuanzia kwenye kutumia dawa hadi kubadili tabia na aina ya maisha wanayoishi ikiwemo kuacha Read more…

By Fadhili Paulo, 10 months30/08/2021 ago
Dawa ya kuongeza nguvu za kiume, kuimarisha mbegu za kiume na kutibu saratani ya tezi dume
Afya ya Wanaume

Dawa ya kuongeza nguvu za kiume, kuimarisha mbegu za kiume na kutibu saratani ya tezi dume

Dawa ya kuongeza nguvu za kiume, kuimarisha mbegu za kiume na kutibu saratani ya tezi dume – Msamitu Msamitu ni mchanganyiko wa mimea na mitishamba mbalimbali ya asili. Ni dawa nzuri sana katika kutibu tatizo la nguvu za kiume na pia inasaidia sana kwa wanaume wenye tatizo la nguvu za Read more…

By Fadhili Paulo, 11 months01/08/2021 ago
Afya ya Wanaume

Je kushiriki tendo la ndoa mara nyingi kunaongeza furaha zaidi?

Je kushiriki tendo la ndoa mara nyingi kunaongeza furaha zaidi? Je wanandoa wanatakiwa kushiriki tendo la ndoa mara ngapi kwa mwezi ili kujihakikishia uhusiano mzuri na wenye furaha? Utasoma hii pia 👇 Je ukubwa wa uume una umhimu wowote kwenye mahusiano? Sisi sote tunaweza kukubaliana kwamba tendo la ndoa ni Read more…

By Fadhili Paulo, 11 months30/07/2021 ago
kuongeza uume
Afya ya Wanaume

Je ukubwa wa uume una umhimu wowote kwenye mahusiano

Je ukubwa wa uume una umhimu wowote kwenye mahusiano? Wanaume nao hufuatilia fuatilia kuhusu miili yao kama vile wafanyavyo pia wanawake. Maswali kama je mimi ni mnene sana? ni mrefu? ni mwembamba? ni mfupi? je nikipita barabarani naonekana nimependeza na nadhifu? ni maswali ya kawaida kwa wanaume wengi. Ndiyo; wanaume Read more…

By Fadhili Paulo, 11 months19/07/2021 ago
kwanini wanawake wanachepuka
Afya ya Wanaume

Sababu kuu 7 kwanini wanawake wanachepuka

Sababu kuu 7 kwanini wanawake wanachepuka Asilimia mpaka 45 ya wanawake waliopo kwenye ndoa wanachepuka. Kumbuka sababu za mwanamke kuchepuka ni nyingi na hakuna namna wewe kama mwanaume unaweza kufanya ili kumzuia mkeo asichepuke. Haijalishi wewe mwanaume ni nani na una nini. Mkeo akiamua kuchepuka atachepuka tu, huwezi kumzuia. Kuna Read more…

By Fadhili Paulo, 12 months05/07/2021 ago
kwanini wanawake wanachepuka
Afya ya Wanaume

Mwanamke akikupenda sana anaweza kuchepuka

Mwanamke akikupenda sana anaweza kuchepuka Mkeo akikupenda SANA anaweza kuchepuka 😂😂😂 Huenda ulikuwa bado hujuwi kuhusu hili lakini moja kati ya sababu nyingi zinazoweza kumshawishi mkeo achepuke inaweza kuwa ametokea kukupenda sana kupita kiasi. Hiyo ni ngumu kuielewa lakini nitajaribu kukusaidia uweze kuelewa kwanini hilo linaweza kutokea. Kinachotokea ni kitu Read more…

By Fadhili Paulo, 12 months02/07/2021 ago
Afya ya Wanaume

Madhara 10 ya kupiga punyeto kwa mwanamke

Madhara 10 ya kupiga punyeto kwa wanawake Mara nyingi tumekuwa bize tukizungumzia madhara au athari za kujichua kwa wanaume bila kuwahi kuzungumzia madhara hayo kwa wanawake. Ukweli ni kuwa wanawake nao wanajichua au wanajipiga punyeto kama wanaume na kitendo hicho kina madhara kiafya kwao kama ilivyo kwa wanaume hivyo kukaa Read more…

By Fadhili Paulo, 1 year24/06/2021 ago
jinsi ya Kuongeza uume bila dawa
Afya ya Wanaume

Jinsi ya kuongeza uume bila dawa

Jinsi ya kuongeza uume bila dawa Ukubwa wa uume unategemea vitu kama kiwango cha mhemuko, muda, hali ya hewa na unashiriki tendo la ndoa mara ngapi. Si wanawake pekee ambao huwa bize kuona wanakuwa na maumbile mazuri na kwamba wanakuwa ni wenye kuvutia muda wote. Ni kawaida kukuta chumbani kwa Read more…

By Fadhili Paulo, 1 year01/06/2021 ago
Unaifahamu G-Spot, vipi kuhusu A-Spot?
Afya ya Wanaume

Unaifahamu G-Spot, vipi kuhusu A-Spot?

Unaifahamu G-Spot, vipi kuhusu A-Spot? Watu wengi au wanaume wengi wanafahamu kuhusu G-Spot lakini hawaifahamu A-Spot Ndiyo, nafahamu wapo wengine wengi hata hiyo G-Spot yenyewe hawajui inapatikana wapi kwenye mwili wa mwanamke Wataalamu wengi wa elimu ya tendo la ndoa wanasema kulisisimua hili eneo la A-Spot kunaweza kumsaidia mwanamke kuondokana Read more…

By Fadhili Paulo, 1 year25/05/2021 ago
Afya ya Wanaume

Sehemu kuu 8 zenye msisimko zaidi katika mwili wa mwanamke

Sehemu kuu 8 zenye msisimko zaidi katika mwili wa mwanamke ZIFUATAZO NI SEHEMU KUU 8 ZENYE MSISIMKO KATIKA MWILI WA MWANAMKE: 1. NYWELE Sehemu ya kwanza yenye msisimko katika mwili wa mwanamke ni kwenye nywele, katika sehemu hii huleta msisimko kwa pande zote mbili kwa mwanaume na kwa mwanamke. Walio Read more…

By Fadhili Paulo, 1 year29/04/2021 ago
Nguvu za kiume siyo idadi ya mabao.
Afya ya Wanaume

Nguvu za kiume siyo idadi ya mabao

Nguvu za kiume siyo idadi ya mabao. Nguvu za kiume siyo kurudia mara ya pili.

By Fadhili Paulo, 1 year18/03/2021 ago
Afya ya Wanaume

Vitu vitatu vinavyoharibu afya ya uume wako

Linapokuja suala la afya siamini kama tunahitaji mpaka mtu fulani aje kutuhimiza kuchunga afya zetu. Kuwa na hela nyingi hakuna maana yoyote kama una afya mbovu. Ni bora uwe na hela kidogo Lakini una afya nzuri kuliko uwe na pesa nyingi Lakini haipiti mwezi umelazwa hospitali au ufe kabla ya Read more…

By Fadhili Paulo, 1 year16/03/2021 ago
Afya ya Wanaume

Namna ya kuishinda tamaa ya kuangalia picha na video za ngono

PICHA NA VIDEO ZA UCHI NA NGONO, NAMNA YA KUSHINDA! [MUHIMU SANA KWA VIJANA] Nadhani Picha Za Akina Dada Wakiwa NUSU UCHI AU UCHI Zinawalenga Zaidi Akina Kaka… Picha Za Akina Dada Wenye NGUO ZA KULALIA TU, AMA NGUO ZA UFUKWENI, AU VITOVU WAZI, NGUO ZA KUBANA Nakadhalika Zinawalenga Akina Read more…

By Fadhili Paulo, 1 year16/03/2021 ago
Afya ya Wanaume

Dalili zitakazokuonyesha mkeo au mpenzi wako amefika kileleni

Dalili zitakazokuonyesha mkeo au mpenzi wako amefika kileleni Kufika kileleni ni hali ya mwanamke kufika mshindo baada ya kushiriki tendo la ndoa au kujichua mwenyewe, hali hii humfanya hamu ya ngono aliyekua nayo mwanzo kupungua sana. Katika 100% ya wanawake wanaojihusisha na tendo la ndoa, ni asilimia 57% tu ndio Read more…

By Fadhili Paulo, 1 year15/03/2021 ago
Afya ya Wanaume

Utafiti : wanaume maskini wana nguvu nyingi kitandani kuliko matajiri

UTAFITI : Wanaume maskini wana nguvu nyingi kitandani kuliko wanaume matajiri Tofauti na watu wengi tunavyojuwa na kufahamu na kuamini kuwa watu wenye hela watakuwa na nguvu za kiume za kutosha kitandani, utafiti wa hivi karibuni unatoa majibu tofauti na wengine wengi wanavyoamini Watu wengi hudhani mwanaume akiwa hana hela Read more…

By Fadhili Paulo, 1 year14/01/2021 ago
makosa wafanyayo wanawake kitandani
Afya ya Wanaume

Makosa makubwa kabisa 6 wafanyayo wanawake kitandani

Makosa makubwa kabisa 6 wafanyayo wanawake kitandani   Nimewahi kuandika huko siku za nyuma makosa makubwa manne wafanyayo wanaume kitandani, ni makala ilipendwa sana na wote na unaweza kuiona na kuisoma wakati wowote kwa kubonyeza hapa. Baadhi ya watu walinitafuta na kunitaka niandike pia na makosa wafanyayo wanawake kitandani ili Read more…

By Fadhili Paulo, 2 years22/09/2020 ago
Afya ya Wanaume

Aina 4 za wanawake ambao hawawezi kuolewa

AINA 4 ZA WANAWAKE AMBAO HAWAWEZI KUOLEWA Makala hii inaeleza juu ya aina 4 za wanawake ambao hawawezi kuolewa au wanaolewa kwa kuchelewa sana. Vitu vingi ninavyojadili hapa ni tabia na zinaweza kurekebishika iwapo mhusika atakuwa tayari kubadilika. Kwenye maisha hakuna kitu kizuri au hakuna silaha kubwa unaweza kupata kama Read more…

By Fadhili Paulo, 2 years25/08/2020 ago
Afya ya Wanaume

Je wanawake huwa wanataka mwanaume adumu muda gani kitandani

Je wanawake huwa wanataka mwanaume adumu muda gani kitandani Watu wengi wamekuwa wakiamini kwamba mwanaume anapochelewa sana kufika kileleni basi ndiyo tendo la ndoa linakuwa tamu jambo ambalo si kweli. Umekuja hapa ukitafuta jibu la swali hili na usijifikirie upo peke yako ambaye umekuwa ukitaka kujuwa jibu la swali hili Read more…

By Fadhili Paulo, 2 years06/08/2020 ago
Afya ya Wanaume

Njia zingine mpya 8 za kuondoa tatizo la kuwahi kufika kileleni

NJIA ZINGINE MPYA 8 ZA KUONDOA TATIZO LA KUWAHI KUFIKA KILELENI Kati ya matatizo makubwa kabisa yanayowasumbuwa wanaume katika suala la kujamiiana ni kufika kileleni mapema. Takwimu zisizo rasmi zinasema kuwa, wanaume 7 kati ya 10 wanapatwa na tatizo hii. Malalamiko yanayotolewa na baadhi ya wanaume yanathibitisha kwamba, muda wa Read more…

By Fadhili Paulo, 2 years21/06/2020 ago
Afya ya Wanaume

Tendo la ndoa hupunguza hatari ya kupata saratani ya tezi dume

Tendo la ndoa hupunguza hatari ya kupata saratani ya tezi dume Katika hali ya kawaida inaelezwa kushiriki tendo la ndoa kuna faida nyingi kiafya, hata hivyo kushiriki tendo la ndoa mara nyingi kupita kiasi kunaweza kusababisha matatizo ya msingi ambayo huleta madhara kwa watu wanaoiendekeza. Mtu anaweza kuwa na mwenzi Read more…

By Fadhili Paulo, 2 years09/06/2020 ago
Mambo 9 ya kushangaza na usiyoyajuwa kuhusu mbegu za kiume
Afya ya Wanaume

Mambo 9 ya kushangaza na usiyoyajuwa kuhusu mbegu za kiume

Mambo 9 ya kushangaza na usiyoyajuwa kuhusu mbegu za kiume Una elimu au uelewa wa kiasi gani kuhusu mbegu za kiume yaani shahawa? Kuna uwezekano mkubwa hujawahi kuwa na muda wowote wa kupeleleza au kujifunza mengi kuhusu mbegu zako. Kama hujawahi kupata shida kutungisha mimba unaweza usiwaze lolote kuhusu mbegu Read more…

By Fadhili Paulo, 2 years27/05/2020 ago
Afya ya Wanaume

Vyakula vitano vinavyoua nguvu zako za kiume bila wewe kujuwa

VYAKULA VITANO VINAVYOUA NGUVU ZAKO ZA KIUME BILA WEWE KUJUWA Ulivyo ni kile unachokula na kunywa kila siku. You are what you eat. Kama unakula takataka utakuwa takataka na kama unakula vyakula vya afya basi utakuwa afya. Hakuna upendeleo katika hili! Kama hujuwi nguvu za kiume ni kitu gani hasa Read more…

By Fadhili Paulo, 2 years26/05/2020 ago
Kukosa hamu ya tendo la ndoa
Afya ya Wanaume

Sababu za wanaume kukosa hamu ya tendo la ndoa

SABABU ZA WANAUME KUKOSA HAMU YA KUFANYA TENDO LA NDOA Ni matumaini yangu umzima wa afya Leo katika mada yangu hii, nataka kuzungumzia zaidi sababu za wanaume wengi kukosa hamu ya tendo la ndoa. Kama ilivyo matatizo mengine, tatizo la kukosa hamu ya kushiriki tendo la ndoa huwakumba na wanaume Read more…

By Fadhili Paulo, 2 years10/05/2020 ago
Madhara ya Vidonda vya tumbo mwilini
Afya ya Wanaume

Madhara 9 ya vidonda vya tumbo mwilini

Madhara 9 ya Vidonda vya tumbo mwilini Vidonda vya tumbo ni majeraha au vidonda ndani ya kuta za tumbo. Majeraha au vidonda hivyo huleta maumivu yanayokera na hutokea mara nyingi tumboni na yanaweza kutibika lakini kama hutachukuwa hatua mapema za kutibu yanaweza kukuletea majanga mengine mengi kiafya. Tumbo na utumbo Read more…

By Fadhili Paulo, 2 years23/04/2020 ago
uchovu unaleta upungufu wa nguvu za kiume
Afya ya Wanaume

Jinsi uchovu sugu unavyoleta upungufu wa nguvu za kiume

Jinsi uchovu sugu unavyoleta upungufu wa nguvu za kiume Uchovu unaotokana na kazi ni zaidi ya kuchoka kwa kawaida, na unazidi uchovu unaosababishwa na shughuli za kila siku. Dalili za uchovu huo ni kuchoka kupita kiasi kwa muda mrefu na vilevile kuhisi umekata tamaa na kukosa nguvu. Watu wanaokabiliana na Read more…

By Fadhili Paulo, 2 years26/02/2020 ago
Usile vyakula hivi muda mchache kabla ya tendo la ndoa
Afya ya Wanaume

Usile vyakula hivi muda mchache kabla ya tendo la ndoa

Usile vyakula hivi muda mchache kabla ya tendo la ndoa Ni usiku wa mahaba leo. Wakati unajipanga juu ya mavazi utakayovaa bila shaka kunaweza kuwa na chakula cha pamoja kabla ya kwenda kulala ili kuongeza kidogo hali ya kuwa pamoja. Sasa kama hujuwi ni chakula kipi ule na kipi usile Read more…

By Fadhili Paulo, 3 years03/12/2019 ago
Afya ya Wanaume

Namna wanawake wanavyochangia upungufu wa nguvu za kiume kwa waume zao

Namna wanawake wanavyochangia upungufu wa nguvu za kiume kwa waume zao Wanawake wanahusika pia na upungufu wa nguvu za kiume Kesi ya wanaume kupungukiwa nguvu za kiume zimezidi kushika kasi, kiasi cha kufanya dawa za kuongeza nguvu hizo kuwa maarufu na zenye mahitaji makubwa katika jamii Waganga wa kienyeji wamekuwa Read more…

By Fadhili Paulo, 3 years11/10/2019 ago
Afya ya Wanaume

Vidonda vya tumbo husababisha upungufu wa nguvu za kiume

Vidonda vya tumbo husababisha upungufu wa nguvu za kiume Hapo kabla tumejifunza mengi kuhusu ugonjwa wa VIDONDA VYA TUMBO. Baadaye tukajadili kwa kirefu juu ya DALILI 21 ZA VIDONDA VYA TUMBO. Kama hukubahatika kupata somo hili pia unaweza kulisoma kwa kubonyeza hapa Kisha tukaja tukasoma juu ya DAWA MBADALA INAYOTIBU Read more…

By Fadhili Paulo, 3 years09/10/2019 ago
Jinsi ya kuacha kujichua
Afya ya Wanaume

Jinsi ya kuacha punyeto

JINSI YA KUACHA PUNYETO Punyeto ni tendo lolote la kujitafutia ashiki binafsi hasa kwa kuchochea viungo vya uzazi. Wanaochukua hatua hiyo ili wajipatie kionjo cha kuridhisha kinachofanana na kile cha tendo la ndoa kwa kawaida wanasukumwa na msisimko uliowapata, pamoja na aibu ya kujitafutia mtu na hofu ya kuambukizwa maradhi Read more…

By Fadhili Paulo, 3 years29/06/2019 ago
Afya ya Wanaume

Namna msongo wa mawazo unavyoleta tatizo la kuwahi kufika kileleni

Namna msongo wa mawazo unavyoleta tatizo la kuwahi kufika kileleni Hali ya mfadhaiko inasemwa kutokea wakati ubongo unapokabiliana na tatizo la mvurugiko wa akili na kujikuta ukishindwa kuendana na hali zingine zinazohitaji umakini kwa wakati mmoja. Jambo hili linaweza kuuteka ubongo na kudhoofisha uwezo wake. Hatimaye hali hii ya ufadhaikaji Read more…

By Fadhili Paulo, 3 years02/06/2019 ago
Vinavyoharibu nguvu za kiume
Afya ya Wanaume

Kitu kingine kinachoharibu nguvu za kiume ambacho hujawahi kukifikiria

Pengine tayari unafahamu kuwa kutokujishughulisha na mazoezi ya viungo mara kwa mara ni hatari kwa afya yako ya nguvu za kiume. Ndiyo hilo ni jambo ambalo kila mtu analijuwa (common sense). Jina langu naitwa Fadhili Paulo. Endelea kusoma … Mara nyingi tunapozungumzia vitu vinavyoharibu au kushusha nguvu za kiume huwa Read more…

By Fadhili Paulo, 3 years31/05/2019 ago
Afya ya Wanaume

Kwanini mazoezi ya viungo ni mhimu sana kwa nguvu za kiume

Kupitia makala hii nitakueleza kwanini mazoezi ya viungo ni mhimu sana kwa nguvu za kiume. Pia utapata kuona mazoezi manne maalumu kabisa kwa kazi hii. Zingatia sana umhimu wa mazoezi ya viungo. Bila kujishughulisha na mazoezi ya viungo kila siku itakuwa ni vigumu sana kwako kupona tatizo la upungufu wa Read more…

By Fadhili Paulo, 3 years28/05/2019 ago
vyakula vinavyoongeza nguvu za kiume kwa haraka zaidi
Afya ya Wanaume

Vyakula 25 vinavyoongeza nguvu za kiume

Katika makala hii nitakueleza juu ya vyakula vinavyoongeza nguvu za kiume kwa haraka zaidi na nitakueleza chakula kimoja baada ya kingine kiundani zaidi. Jina langu naitwa Fadhili Paulo. Endelea kusoma … Unachotakiwa ni kujijengea mazoea ya kuhakikisha mlo wako kwa siku haukosi hivi vyakula. Ukiwa mbunifu kwenye kupika kuna uwezekano Read more…

By Fadhili Paulo, 3 years20/05/2019 ago
Vyakula ambavyo mwanaume hatakiwi kula
Afya ya Wanaume

Vyakula ambavyo mwanaume hatakiwi kula

Katika makala hii nitakueleza Vyakula ambavyo mwanaume hatakiwi kula ili kubaki na afya bora wakati wote. Kuna vingine unaweza kuwa unavitumia kila siku bila mwenyewe kujuwa. Awali ya yote elewa tu kuwa hii ni orodha ndogo sana katika vyakula ambavyo mwanaume hatakiwi kula. Ni sehemu ndogo na kwa hakika vinazidi Read more…

By Fadhili Paulo, 3 years27/04/2019 ago
Makosa wafanyayo wanaume wengi wakiwa kitandani
Afya ya Wanaume

Makosa wafanyayo wanaume wengi wakiwa kitandani

Makosa wafanyayo wanaume wengi wakiwa kitandani 1.Kosa la kwanza : KUWA MBALI NA MWILI WA MWANAMKE Wakati unashiriki tendo la ndoa mwanamke anapata Raha zaidi Ikiwa mwanaume utamlalia mwili wako wote juu yake Wanaume wengi hawajuwi hili. Usiweke mikono yako Kama stendi na kubaki juu juu tu huku uko bize Read more…

By Fadhili Paulo, 3 years22/04/2019 ago
Je Punyeto ni dhambi kwa mjibu wa Biblia
Afya ya Wanaume

Je Punyeto ni dhambi kwa mjibu wa Biblia?

Swali: Je Punyeto ni dhambi kwa mjibu wa Biblia? JIBU: Biblia haisemi moja kwa moja wala kutaja punyeto kama ni dhambi. Aya ya kwenye Biblia ambayo mara nyingi huwa inanukuliwa ikihusishwa na punyeto ni habari ya Onan kwenye kitabu cha mwanzo 38 : 9 – 10. Wengine huutafsiri mstari huu Read more…

By Fadhili Paulo, 3 years13/04/2019 ago
Mazoezi yanayoongeza nguvu za kiume
Afya ya Wanaume

Mazoezi yanayoongeza nguvu za kiume

MAZOEZI YANAYOONGEZA NGUVU ZA KIUME Zingatia sana umhimu wa mazoezi ya viungo. Bila kujishughulisha na mazoezi ya viungo kila siku itakuwa ni vigumu sana kwako kupona tatizo la upungufu wa nguvu za kiume. Kutengeneza mishipa na kupunguza uzito isiwe ndiyo sababu pekee ya kwenda gym. Kama unahitaji nguvu za kiume Read more…

By Fadhili Paulo, 3 years25/03/2019 ago
Kila kitu kuhusu nguvu za kiume
Afya ya Wanaume

Kila kitu kuhusu nguvu za kiume

Hiki ni kitabu kinachoeleza kila unalohitaji kufahamu kuhusu nguvu za kiume Kwenye hiki kitabu utajifunza vitu vifuatavyo; Nguvu za kiume ni nini Nini kinasababisha kushuka au kupungua nguvu za kiume Vyakula vinavyoongeza nguvu za kiume Mazoezi ya viungo yanayoongeza nguvu za kiume Dalili na ishara za mwanamke anayefika kileleni (Utajuwaje Read more…

By Fadhili Paulo, 3 years17/03/2019 ago
Afya ya Wanaume

Chakula cha mwanaume anayetafuta ujauzito

Chakula cha mwanaume anayetafuta ujauzito Wakati uliopita tulisoma vyakula hivyo upande wa mwanamke na msisitizo ilikuwa ni vyakula vyenye folate au folic acid. Kumbe kwa upande wa mwanaume msisitizo ni vyakula vinavyotoa sumu mwilini. Tutaona vyanzo vya sumu kwenye miili yetu wanaume na namna ya kuidhibiti. Hakuna namna unaweza kuepuka Read more…

By Fadhili Paulo, 3 years06/03/2019 ago
Madhara ya punyeto kwa wanaume
Afya ya Wanaume

Madhara ya punyeto kwa wanaume

Madhara ya kupiga punyeto kwa wanaume Tunahitaji mahusiano ili tuongezeke na hili haliwezi kufanikiwa bila kushiriki tendo la ndoa kati ya watu wa jinsia mbili tofauti. Hisia hizi huanza kujitokeza pale mtu anapofikia wakati wa kubarehe. Hapa ndiyo wakati mgumu na mbaya kwa kijana hasa kwa asiyejitambua na asiye na Read more…

By Fadhili Paulo, 4 years10/12/2018 ago
Afya ya Wanaume

Dawa ya kuongeza mbegu za kiume

Dawa ya kuongeza mbegu za kiume Mwanaume mwenye uwezo wa kuzalisha anahitaji kuwa na mbegu zisizopungua milioni 20, chochote chini ya hapa kinaweza kuwa sababu ya kutokutungisha ujauzito. Ikitokea umegundulika kuwa na mbegu chache, ni nyepesi sana na hazina nguvu za kukimbia vya kutosha basi dawa hii itaweza kukusaidia kuongeza Read more…

By Fadhili Paulo, 4 years09/12/2018 ago
Afya ya Wanaume

Dawa ya saratani ya tezidume

Dawa ya saratani ya tezidume Tezi ya prostate ni tezi yenye umbile la donati, iliyoko chini ya kibofu cha mkojo. Tezi hii huzungukwa na  mirija  ya mkojo na  uhusika uzalishaji wa maji maji yanayohusika na urutubishaji na usafirishaji wa mbegu za kiume (semen). Mabadiliko ya kimaumbile katika tezi dume kama; Read more…

By Fadhili Paulo, 4 years09/12/2018 ago
Dawa ya nguvu za kiume na maumbile madogo
Afya ya Wanaume

Dawa ya kuongeza nguvu za kiume

Dawa ya kuongeza nguvu za kiume NGUVU ZA KIUME NI NINI? Nguvu za kiume ni neno linalotumika mara nyingi kumaanisha ‘Uwezo wa mwanaume kufanya tendo la ndoa’. Na inapokuwa tofauti na hivi, tunaita ni ‘kupungua au kukosa nguvu za kiume’. Kupungukiwa kwa nguvu za kiume hutofautiana toka mtu mmoja hadi Read more…

By Fadhili Paulo, 4 years08/12/2018 ago
Naitwa Fadhili Paulo

Naitwa Fadhili Paulo, ni Tabibu wa Tiba asili.

Ninayo ofisi yangu binafsi Jijini Dar Es Salaam Tanzania.

Lakini nafanya pia kazi kwa njia ya mtandao.

Ofisi yangu inaitwa TUMAINI HERBAL LIFE, Ipo Kibugumo Mji Mwema Kigamboni.

Kama unahitaji kuonana na mimi uso kwa uso weka kwanza miadi (appointment) kupitia WhatsApp +255714800175

Muda wa kazi : Saa tatu asubuhi mpaka saa kumi na mbili kamili jioni, jtatu – ijumaa.

Pia nakujulisha kuwa sina wakala wala tawi popote duniani..

 

Yaliyomo
  • Afya ya Wanaume
  • Bawasiri na Vidonda vya tumbo
  • Kinga ya mwili
  • Matatizo ya Uzazi
Makala Mpya
  • Makosa mengine matatu wafanyayo wanaume kitandani 09/06/2022
  • Kosa kubwa 1 wanalofanya wanaume wengi pale wake zao wanapochelewa kushika ujauzito 23/05/2022
  • Usifanye mambo haya 9 muda mchache kabla ya tendo la ndoa 20/05/2022
  • Ufahamu mti unaotumika kutengeneza dawa ya kuchelewa kufika kileleni vumbi la Congo 22/04/2022
  • Jinsi ya kuongeza nguvu za kiume bila kutumia dawa 21/04/2022
Badili rangi 👇

  • Makala
  • Tuwasiliane
Copyright © 2022 fadhilipaulo.com | Fadhili