Sababu kuu kwanini maziwa fresh ni hatari kwa mgonjwa wa vidonda vya tumbo

Sababu kuu kwanini maziwa fresh ni hatari kwa mgonjwa wa vidonda vya tumbo Kunywa Maziwa fresh hakuwezi kukusaidia kupona vidonda vya tumbo. Unaweza kupata nafuu kidogo baada ya kunywa maziwa lakini baadaye kidogo maziwa uliyokunywa yanakusababishia uundwaji zaidi wa asidi (tindikali) tumboni na kukuletea maumivu zaidi na ugonjwa kuongezeka. Kwa Read more…