Kinga ya mwili
Dalili na ishara 50 zinazoonyesha una msongo wa mawazo (stress)
Dalili na ishara 50 zinazoonyesha una msongo wa mawazo (stress) Hali ya mfadhaiko inasemwa kutokea wakati ubongo unapokabiliana na tatizo la mvurugiko wa akili na kujikuta ukishindwa kuendana na hali zingine zinazohitaji umakini kwa wakati mmoja. Jambo hili linaweza kuuteka ubongo na kudhoofisha uwezo wake. Hatimaye hali hii ya ufadhaikaji Read more…