fadhilipaulo.com

  • Makala
  • Vifaa
  • Vitabu
  • Kuhusu Mimi
  • Night Mode

Matatizo ya Ngozi

Bawasiri

Jitibu aleji kwa kutumia maji ya kunywa

Jitibu Aleji (Allergy) kwa kutumia Maji ya Kunywa Katika makala hii tutajifunza mengi kuhusu Aleji au mzio kwa Kiswahili zaidi. Tutaona uhusiano uliopo baina ya upungufu wa maji mwilini na ugonjwa wa aleji na ikiwa utanielewa basi utakuwa umeelewa namna ya kujikinga au kujitibu na ugonjwa huu ambao unasumbua watu Read more…

By Fadhili Paulo, 1 month3 weeks ago
faida za mafuta ya nazi
Kinga ya mwili

Faida 39 zitakazokushangaza za mafuta ya Nazi kiafya

FAIDA 39 ZITAKAZOKUSHANGAZA ZA MAFUTA YA NAZI KIAFYA Zaidi ya tafiti 1500 zimethibitisha kuwa mafuta ya nazi ndiyo mafuta bora zaidi chini ya jua. Hili halishangazi sababu karibu kila mtu anajua mafuta ya nazi ni dhahabu kwa afya ya mwili na ngozi kwa ujumla. Bidhaa nyingi za vipodozi ukizichunguza utagundua Read more…

By Fadhili Paulo, 5 months5 months ago
maumivu wakati wa hedhi
Matatizo ya Ngozi

Vyakula vinavyoondoa maumivu wakati wa hedhi kwa wanawake

VYAKULA VINAVYOONDOA MAUMIVU WAKATI WA HEDHI KWA WANAWAKE KILA mwanamke hupitia hatua ya kupatwa na hedhi mara moja kwa mwezi, ikiwa ni maumbile ya kawaida waliyoumbwa nayo. Lakini wanawake wengi husumbuliwa na matatizo kadhaa siku chache kabla au wakati wa siku zao, matatizo hayo hutofautiana kati ya mtu na mtu Read more…

By Fadhili Paulo, 6 months6 months ago
Matatizo ya Ngozi

Dawa ya fangasi, mba, chunusi, upele na ngozi kavu

DAWA YA FANGASI, MBA, CHUNUSI, UPELE NA NGOZI KAVU Kama hujawahi kuisikia hii dawa kongwe ya mafuta ya mbegu za mwarobaini, basi ni wakati muafaka sasa upate kufahamu habari zake hasa kwa matatizo ya ngozi Mwarobaini ni mti wenye asili ya India hujulikana pia kama Indian lilac, Azadirachta Indica, au Read more…

By Fadhili Paulo, 1 year1 year ago
Bonyeza kitufe ili kubadili rangi ya blog

Yaliyomo
  • Afya ya Nywele
  • Afya ya Wanaune
  • Bawasiri
  • Kinga ya mwili
  • Kisukari
  • Matatizo ya Ngozi
  • Matatizo ya Uzazi
  • P.I.D
  • Pumu
  • Shinikizo la damu
  • TeziDume
  • U.T.I
  • Uzito na Unene
  • Vidonda vya tumbo
Siku ya kupata Ujauzito

Tafuta siku zako za hatari

Siku ya kwanza uliopoona hedhi ya mwisho

Mzunguko wako ni wa siku ngapi

POKEA DONDOO ZA AFYA

WhatsApp Messenger - Apps on Google Play

Pokea dondoo na makala mbalimbali kuhusu afya hususani zinazohusu tiba asili kupitia WhatsApp BURE

Jiunge na Group langu la AFYA KILA SIKU WhatsApp kwa kubonyeza hapa

Karibu

  • Makala
  • Vifaa
  • Vitabu
  • Kuhusu Mimi
  • Night Mode
Copyright © 2021 fadhilipaulo.com | * *