Matatizo ya Uzazi

Je mwanaume anaweza kurithi ugumba kutoka kwa wazazi wake?

Je mwanaume anaweza kurithi ugumba kutoka kwa wazazi wake? Kama wewe ni mwanaume ambaye kwa miaka kadhaa umekuwa ukitafuta ujauzito bila mafanikio huenda ukawa unajiuliza kama tatizo hili limewahi kuwepo pia kwa wazazi wako. Unaweza kuwa unawaza huenda wazazi wako hasa baba yako anahusika kwa namna moja au nyingine na wewe kuwa na tatizo la […]

Dalili 9 za mwanaume mgumba

Dalili 9 za mwanaume mgumba Kama wewe ni mwanaume utajuwaje huna uwezo wa kumpa mwanamke ujauzito!? Kama na wewe ni mwanamke utajuwaje mmeo ni mgumba kwamba hana uwezo wa kukupa ujauzito? Namna rahisi kabisa ya kufahamu hilo ingekuwa ni kufanya vipimo. Kwa kawaida mbegu za mwanaume zingechukuliwa na kufanyiwa vipimo na uchunguzi zaidi (sperm analysis) […]

Kosa kubwa 1 wanalofanya wanaume wengi pale wake zao wanapochelewa kushika ujauzito

Kosa kubwa 1 wanalofanya wanaume wengi pale wake zao wanapochelewa kushika ujauzito Nipende kutumia nafasi hii kutoa pole kwenye ndoa yoyote ambayo wamekuwa wakipitia changamoto ya kutopata mtoto kwa kipindi kirefu. Ninafahamu ni kwa jinsi gani tatizo hili linavyosumbua kwenye nyumba nyingi hasa miaka ya karibuni. Nafahamu kabisa kama ningetangaza kwamba natoa bure dawa ya […]

Wanawake 500 wapata mimba kwa upandikizaji Arusha

Wanawake 500 wapata mimba kwa upandikizaji Arusha. Mwanamke mmoja (50), amefanikiwa kupata watoto mapacha kwa njia ya upandikizaji mimba jijini Arusha. Mwanamama huyo ni mmoja kati ya wanawake 500 waliofanikiwa kupata watoto kwa huduma hiyo inayotolewa na kituo cha Huduma ya Uzazi na Upandikizaji Mimba cha Avinta Care Medical kilichopo jijini humo. Akizungumza na waandishi […]

Sababu kuu 2 za wanawake kupenda kujichua

Sababu kuu 2 za wanawake kupenda kujichua Nitumie nafasi hii kutoa salamu kwa wanawake wote katika sikukuu hii yao ya leo, siku ya wanawake duniani tarehe 8 machi 2022. Mimi mpaka hapa nilipo nimefika kwanza kwa kuzaliwa na mwanamke lakini siyo hivyo tu bali nimeshasaidiwa mengi sana na wanawake kwa mengi wakiwemo wanawake ndugu zangu, […]

Namna ya kufahamu mzunguko wako wa hedhi ni wa siku ngapi

Namna ya kufahamu mzunguko wako wa hedhi ni wa siku ngapi Ili kufahamu vizuri ni siku zipi ni hatari kwa mwanamke kupata mimba, unahitaji kwanza kujifunza jinsi mzunguko wa hedhi (menstrual cycle) unavyofanya kazi. Mzunguko wa hedhi unaanza kuhesabiwa siku ya kwanza wakati mwanamke anaanza kuona siku zake (kublidi) na tunaiita ni siku ya Kwanza. […]

Nitajuaje kama ujauzito wangu umetoka?

Nitajuaje kama ujauzito wangu umetoka? Kama unatafuta dawa ya asili ya kuzuia ujauzito usitoke wasiliana na mimi kwa kubonyeza hapa Dalili za wazi kabisa za ujauzito kukutoka ni damu kutoka na maumivu ya tumbo. Onana na daktari wako wa karibu kwa haraka endapo unahisi ujauzito wako umekutoka. Wakati mwingine unaweza usione dalili zozote za kutoka […]

Dodoma inavyomaliza mwaka na huduma ya kupandikiza mimba

Dodoma inavyomaliza mwaka na huduma ya kupandikiza mimba Dodoma. Zikiwa zimebaki siku chache kufunga mwaka wa 2021, ndoto ya Tanzania kuanza kutoa huduma ya kupandikiza mimba kwa wanawake wenye matatizo ya uzazi imeanza kuonekana kwenye Hospitali ya Benjamin Mkapa jijini Dodoma. Hospitali hiyo ilianzishwa 2015 kwa tamko la Rais wa nne, Jakaya Kikwete na ilizinduliwa […]

Hasara inayoweza kutokea mke anapoishiwa hamu ya tendo la ndoa mara kwa mara

Hasara inayoweza kutokea mke anapoishiwa hamu ya tendo la ndoa mara kwa mara Nakusalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania … Ni matumaini yangu umzima na unaendelea na kazi na majukumu yako ya kujenga maisha yako na taifa kwa ujumla. Leo tena nimepata muda na nimeona niliongelee hili nalo. Nataka upate kufahamu ni […]

Vyakula na vinywaji 11 ambavyo mama mjamzito hatakiwi kula

Vyakula na vinywaji 11 ambavyo mama mjamzito hatakiwi kula. Kitu cha kwanza kabisa unachotakiwa kujifunza mara tu unapopata ujauzito ni kufahamu vyakula na vinywaji ambavyo hutakiwi kula. Bila kuwa makini wakati huu unaweza kukutana na matatizo mengi yanayotokana na ujauzito ikiwemo ujauzito wenyewe kukutoka. Hakuna kitu kinaumiza kama mtu umehangaika kutafuta ujuauzito kwa miezi kadhaa […]

Sababu 4 kwanini hupati ute wako wa uzazi

Sababu 4 kwanini hupati ute wako wa uzazi Ute wa mimba ni ute unaovutika, ni ute muhimu sana linapokuja suala la kutungwa kwa ujauzito. Ute huu ambao huvutika mithili ya yai husaidia mbegu kuogelea na kupenya kwenye mlango wa kizazi na kwenda kulirutubisha yai kwenye mirija. Baadhi ya njia za uzazi wa mpango zinapelekea kukosa […]

Jinsi ya kuishi inapogundulika huna uwezo kabisa wa kupata mtoto

Jinsi ya kuishi inapogundulika huna uwezo kabisa wa kupata mtoto Umeshatafuta mtoto kwa miaka mitatu, kwa miaka mitano au hata miaka kumi na hakuna dalili zozote kama utakuja kumpata. Mmeshapima kila hospitali na imegundulika wazi hakuna uwezekano tena wa kupata ujauzito. Pengine mmeshatumia dawa mbalimbali toka hospitali mbalimbali na bado hampati ujauzito. Mmeshajaribu hata dawa […]

Mahari yangu ilirejeshwa kutokana na utasa

Roseline Orwa ni mama wa miaka 46, yeye ni mwanamke mjane ambaye hakufanikiwa kushika mimba wakati wa ndoa zake mbili , ila hilo halijamkosesha usingizi kwa kukubali hali yake. Baada ya yeye kuamua kuwa, licha ya changamoto ya kuwa hana uwezo wa kushika mimba basi amewarithi watoto mayatima na kuwalea kama Watoto wake. Kwa hivi […]

Ukweli na uzushi kuhusu homoni ya testosterone

Ukweli na uzushi kuhusu homoni ya testosterone Kichocheo cha testosterone ni homoni ambayo hupatikana zaidi kwa upande wa mwanaume ni muhimu kwa afya ya pande zote mbili yaani mwanamke na mwanaume pia. Kadri umri unavyoenda mbele basi kiwango cha uzalishaji wa kichocheo cha testosterone kupungua, kupungua kwa kichocheo hiki kawaida huanza baada ya miaka 30 […]

Utafiti: Saratani ya tezidume inawapata zaidi wanaume wagumba

Utafiti: Saratani ya tezidume inawapata zaidi wanaume wagumba Imethibitishwa saratani ya tezi dume inawapata zaidi wanaume wagumba. Saratani ya tezi dume na tatizo la mwanaume kutokuwa na uwezo wa kutungisha mimba yaani ugumba ni matatizo ya kawaida ya kiafya yanayowakumba asilimia 8 mpaka 10 ya wanaume. Wengi wetu tumekuwa tukijiuliza juu ya sababu ya kuongezeka […]

Uvutaji bangi unaweza kukuletea saratani ya tezi dume

Uvutaji bangi unaweza kukuletea saratani ya tezi dume Mtanisamehe kidogo ndugu wajumbe kwa leo sitawaonea aibu. Baadhi ya tafiti zimeweza kuthibitisha juu ya uwepo wa uhusiano baina ya bangi na saratani ya tezi dume. Zaidi ya tafiti 25 zilizofanywa ndani ya miaka 40 iliyopita zimeendelea kuona uhusiano wa uvutaji bangi na kuongezeka kwa wagonjwa wa […]

Je kutopata mtoto kunakuondolea hamu ya tendo la ndoa?

Je kutopata mtoto kunakuondolea hamu ya tendo la ndoa? Nafahamu hilo na sidhani kama hilo ni swali la kuuliza. Sababu inajulikana wazi kwamba ikiwa umekaa miaka kadhaa na hupati mtoto basi ni jambo la kawaida kabisa kuishiwa hamu ya tendo la ndoa. Hata hivyo mechi lazima iendelee Inawezekana mama hatumii tena uzazi wa mpango, inawezekana […]

Dawa ya kupata ute wa mimba

Dawa ya kupata ute wa mimba Ute wa uzazi anaoupata mwanamke pale anapokuwa katika kipindi cha upevushaji mayai ndiyo unaosaidia mbegu za kiume ziweze kusafiri hadi katika yai lililopevuka katika mrija wa uzazi. Kwa kawaida ute wa uzazi ni mwepesi na unavutika au unakuwa na mnato. Matatizo ya uzazi yanayomfanya mwanamke asipate ujauzito husababishwa na […]

Je unaweza kupata ujauzito wakati unaendelea kutumia dawa za uzazi wa mpango?

Je unaweza kupata ujauzito wakati unaendelea kutumia dawa za uzazi wa mpango? Dawa karibu zote za uzazi wa mpango zile za kizungu na hata za asili zote zina asilimia mpaka 99 tu za kufanya kazi ya kuzuia usipate ujauzito hasa kama zinatumika vizuri na kama inayopaswa. Ninaposema zinapaswa kutumika vizuri na kama inavyopaswa namaanisha kwamba […]

Mbinu nyingine zaidi ya kupata ujauzito wa watoto mapacha

Mbinu nyingine zaidi ya kupata ujauzito wa watoto mapacha Leo nimependa nikuletee elimu mpya kabisa ya uzazi ambapo mwanamke yeyote anaweza kupata ujauzito wenye watoto mapacha hata kama si asili ya ukoo wake. Baadhi ya mila na desturi, hasa katika nchi za Kiafrika zinaamini kwamba, mwanamke kupata watoto mapacha kunatokana na urithi wa kizazi chake, […]

Vyakula 7 vinavyoongeza uwezekano wa kupata watoto mapacha

Vyakula 7 vinavyoongeza uwezekano wa kupata watoto mapacha Nakumbuka siku mke wangu alipojifungua mtoto wa kiume nilienda kununua kuku mzima wa kienyeji akabanikwa nikachukua na mvinyo mwekundu (red wine) nikatafuta sehemu nikasherekea kwa furaha kuu. Ilikuwa ni siku ya furaha kubwa maishani mwangu na sikuamini kama kweli Mungu amenipa mtoto wa kiume. Sasa nipo nasubiri […]

Dawa ya kuongeza nguvu za kiume, kuimarisha mbegu za kiume na kutibu saratani ya tezi dume

Dawa ya kuongeza nguvu za kiume, kuimarisha mbegu za kiume na kutibu saratani ya tezi dume – Msamitu Msamitu ni mchanganyiko wa mimea na mitishamba mbalimbali ya asili. Ni dawa nzuri sana katika kutibu tatizo la nguvu za kiume na pia inasaidia sana kwa wanaume wenye tatizo la nguvu za kiume hasa lililosababishwa na kujichua […]

Vitu 10 vinavyoweza kusababisha upate watoto mapacha

Vitu 10 vinavyoweza kusababisha upate watoto mapacha Tafiti zinaonyesha kwamba uwezekano wa mwanamke mmoja kubeba mimba ya mapacha ni aslimia 3 na kuna njia mbalimbali zinaweza kuongeza uwezekano huu mpaka asilimia tano au kumi na tutaziona hapo chini. Kwenye ulimwengu huu wa maisha magumu wanawake wengi hupenda kuzaa mapacha mara moja tu wa jinsia tofauti […]

Sababu kuu 7 kwanini wanawake wanachepuka

Sababu kuu 7 kwanini wanawake wanachepuka Asilimia mpaka 45 ya wanawake waliopo kwenye ndoa wanachepuka. Kumbuka sababu za mwanamke kuchepuka ni nyingi na hakuna namna wewe kama mwanaume unaweza kufanya ili kumzuia mkeo asichepuke. Haijalishi wewe mwanaume ni nani na una nini. Mkeo akiamua kuchepuka atachepuka tu, huwezi kumzuia. Kuna vitu unaweza kufanya kama mme […]

Mwanamke akikupenda sana anaweza kuchepuka

Mwanamke akikupenda sana anaweza kuchepuka Mkeo akikupenda SANA anaweza kuchepuka 😂😂😂 Huenda ulikuwa bado hujuwi kuhusu hili lakini moja kati ya sababu nyingi zinazoweza kumshawishi mkeo achepuke inaweza kuwa ametokea kukupenda sana kupita kiasi. Hiyo ni ngumu kuielewa lakini nitajaribu kukusaidia uweze kuelewa kwanini hilo linaweza kutokea. Kinachotokea ni kitu ambacho kwa lugha ya kiingereza […]

Je unaweza kupata ujauzito ukiwa kwenye siku zako?

Je unaweza kupata ujauzito ukiwa kwenye siku zako? Hili ni moja ya swali kongwe sana kwenye mada zinazohusu uzazi. Ni swali ambalo linaulizwa sana hasa na wanafunzi au na watu wasio tayari kupata ujauzito. Swali hili huulizwa pia na watu wazima walio kwenye ndoa ambao wameshatafuta ujauzito kwa muda mrefu bila mafanikio. Kwenye majibu yangu […]

Madhara 10 ya kupiga punyeto kwa mwanamke

Madhara 10 ya kupiga punyeto kwa wanawake Mara nyingi tumekuwa bize tukizungumzia madhara au athari za kujichua kwa wanaume bila kuwahi kuzungumzia madhara hayo kwa wanawake. Ukweli ni kuwa wanawake nao wanajichua au wanajipiga punyeto kama wanaume na kitendo hicho kina madhara kiafya kwao kama ilivyo kwa wanaume hivyo kukaa kimya bila kulizungumzia hilo ni […]

Kikokotoo cha siku ya kupata ujauzito

. Siku ya hatari kupata ujauzito: Je unahitaji au unataka kujuwa siku yako ya hatari kupata ujauzito? Unataka kujuwa ni zipi hasa au siku ipi hasa unayoweza kupata ujauzito? Tumia calculator hiyo hapo juu kufahamu hilo a)Andika tarehe ya siku ya kwanza ulipoanza kuona siku zako katika hedhi yako ya mwisho b)Andika mzunguko wako ni […]

Dalili zitakazokuonyesha mkeo au mpenzi wako amefika kileleni

Dalili zitakazokuonyesha mkeo au mpenzi wako amefika kileleni Kufika kileleni ni hali ya mwanamke kufika mshindo baada ya kushiriki tendo la ndoa au kujichua mwenyewe, hali hii humfanya hamu ya ngono aliyekua nayo mwanzo kupungua sana. Katika 100% ya wanawake wanaojihusisha na tendo la ndoa, ni asilimia 57% tu ndio wanaofanikiwa kufika kileleni.. Hii ni […]

Makosa makubwa kabisa 6 wafanyayo wanawake kitandani

Makosa makubwa kabisa 6 wafanyayo wanawake kitandani   Nimewahi kuandika huko siku za nyuma makosa makubwa manne wafanyayo wanaume kitandani, ni makala ilipendwa sana na wote na unaweza kuiona na kuisoma wakati wowote kwa kubonyeza hapa. Baadhi ya watu walinitafuta na kunitaka niandike pia na makosa wafanyayo wanawake kitandani ili kupata balansi. Na leo nimeona […]

Sababu 9 zinazosababisha ukose au uchelewe kuona siku zako

Sababu 9 zinazosababisha ukose au uchelewe kuona siku zako Kwa mwanamke kuchelewa kupata hedhi huwa hakushitui iwapo mwanamke anajua ni nini tatizo au sababu iliyopelekea yeye kukosa hedhi. Na majibu ya kuchelewa kwa hedhi hupatikana pindi hedhi hiyo inapochelewa. Mfano kama ulikua unategemea kupata mimba, ikichelewa inakua ni dalili ya kwanza ya wewe kuanza kufikiria […]

Aina 4 za wanawake ambao hawawezi kuolewa

AINA 4 ZA WANAWAKE AMBAO HAWAWEZI KUOLEWA Makala hii inaeleza juu ya aina 4 za wanawake ambao hawawezi kuolewa au wanaolewa kwa kuchelewa sana. Vitu vingi ninavyojadili hapa ni tabia na zinaweza kurekebishika iwapo mhusika atakuwa tayari kubadilika. Kwenye maisha hakuna kitu kizuri au hakuna silaha kubwa unaweza kupata kama kupata ufahamu na uwezo wa […]

Vitu 6 wanawake wanatakiwa kufanya ili kujikinga na uvimbe kwenye kizazi

Vitu 6 wanawake wanatakiwa kufanya ili kujikinga na uvimbe kwenye kizazi Inakadiriwa asilimia 70 mpaka 80 ya wanawake wanaweza kupatwa na ugonjwa huu katika safari yao ya kuishi. Hata hivyo si wanawake wote wenye uvimbe kwenye kizazi wanaweza kuonyesha dalili kwamba wanao au wanahitaji matibabu. Uvimbe katika mfuko wa kizazi wa mwanamke hujulikana kama ‘uterine […]

Chanzo cha kufunga au kupata choo kigumu wakati wa ujauzito

CHANZO CHA KUFUNGA AU KUPATA CHOO KIGUMU WAKATI WA UJAUZITO Kipindi cha ujauzito ni kipindi cha furaha kubwa kwa mwanamke yoyote. Hata hivyo kuna baadhi ya mabadiliko ya kiafya yanayoweza kukutokea unapokuwa na ujauzito ambayo yanaweza kukuondolea furaha hiyo ikiwemo tatizo la kupata choo kigumu sana au kufunga choo kabisa na kupelekea tatizo la ugonjwa […]

Tendo la ndoa hupunguza hatari ya kupata saratani ya tezi dume

Tendo la ndoa hupunguza hatari ya kupata saratani ya tezi dume Katika hali ya kawaida inaelezwa kushiriki tendo la ndoa kuna faida nyingi kiafya, hata hivyo kushiriki tendo la ndoa mara nyingi kupita kiasi kunaweza kusababisha matatizo ya msingi ambayo huleta madhara kwa watu wanaoiendekeza. Mtu anaweza kuwa na mwenzi na kujikuta kila siku anatumia […]

Vitu 14 vinavyosababisha mimba kuharibika

Vitu 14 vinavyosababisha mimba kuharibika Mimba kuharibika ni tukio linalowatokea wanawake na mamalia wengine wa kike kutokana na shida mbalimbali katika ukuaji wa mimba tumboni mwa mama. Ni tukio tofauti na utoaji mimba ambalo linasababishwa na binadamu kwa makusudi. Matukio yote mawili kwa kawaida yanaleta matatizo mbalimbali kwa mama. Kuharibika kwa kijusi au kiinitete pengine […]

Mambo 9 ya kushangaza na usiyoyajuwa kuhusu mbegu za kiume

Mambo 9 ya kushangaza na usiyoyajuwa kuhusu mbegu za kiume Una elimu au uelewa wa kiasi gani kuhusu mbegu za kiume yaani shahawa? Kuna uwezekano mkubwa hujawahi kuwa na muda wowote wa kupeleleza au kujifunza mengi kuhusu mbegu zako. Kama hujawahi kupata shida kutungisha mimba unaweza usiwaze lolote kuhusu mbegu zako na ukaendelea kuzichukulia poa […]

Kama una stress ni vigumu kupata ujauzito

Kama una stress ni vigumu kupata ujauzito   Ni ukweli usiopingika kuwa ndoa nyingi zimepoteza furaha kutokana na watoto kukosekana miongoni mwa wanandoa. Wanawake na wanaume wamejikuta wakiangukia katika mikono ya matapeli wanaojiita waganga na kufanyiwa mambo mengi ya ajabu, ikiwa ni pamoja na kufanya mapenzi na mizimu au na watu ambao hawakuwatarajia ili tu […]

Dalili 18 zinazoashiria una ujauzito wa mtoto wa kiume

Dalili 18 zinazoashiria una ujauzito wa mtoto wa kiume Awali ya yote nitoe pongezi kwa mama K na Baba K wote popote walipo kwa kazi nzuri na baraka ambayo wanaisubiri kutoka kwa Mungu (mtoto). Mojawapo ya mambo ambayo yanatia furaha katika maisha ya ndoa ni pale wanandoa wanapokuwa wapo kwenye kipindi cha kutegemea mtoto. Mambo […]

Mimba huanza kuonekana baada ya siku ngapi

Mimba huanza kuonekana baada ya siku ngapi Haya ni maswali ninayoulizwa mara kwa mara; Dalili za kupata mimba ni zipi Muda gani mimba inajulikana Mimba inaonekana muda gani Mimba hupimwa muda gani Mimba huanza kuonekana muda gani Mimba hugundulika baada ya siku ngapi Mimba hujulikana baada ya siku ngapi Mimba inajulikana baada ya muda gani […]

Ukosefu wa usingizi unaweza kuleta ugumba

UKOSEFU WA USINGIZI UNAWEZA KULETA UGUMBA KITENDO cha kukosa usingizi mara kwa mara wakati wa kulala kuna weza kuonekana ni jambo ambalo halina madhara kiafya, lakini ukweli ni kwamba unapokosa usingizi, hasa kwa muda mrefu, kuna athari kubwa katika afya yako yote, hata kama unakula na kufanya mazoezi vizuri. Madhara ya ukosefu wa usingizi huathiri […]

Namna wanawake wanavyochangia upungufu wa nguvu za kiume kwa waume zao

Namna wanawake wanavyochangia upungufu wa nguvu za kiume kwa waume zao Wanawake wanahusika pia na upungufu wa nguvu za kiume Kesi ya wanaume kupungukiwa nguvu za kiume zimezidi kushika kasi, kiasi cha kufanya dawa za kuongeza nguvu hizo kuwa maarufu na zenye mahitaji makubwa katika jamii Waganga wa kienyeji wamekuwa wakitumia dawa hizo kama tiba […]

Vitu vya kuacha unapotafuta ujauzito

Wakati unatafuta ujauzito chakula au vinywaji unavyotumia vina mchango mkubwa katika kufanikisha wewe upate ujauzito. Ulivyo ni kile unachokula kila siku. Unahitaji kuwa makini sana miezi mitatu mpaka sita kabla hujapata ujauzito. Uangalizi pia uendelee hata baada ya kuwa umepata ujauzito. Watu wengi niliokutana nao kwa habari ya matatizo ya kutopata ujauzito na nikawashauri juu […]

Chakula cha mwanaume anayetafuta ujauzito

Chakula cha mwanaume anayetafuta ujauzito Wakati uliopita tulisoma vyakula hivyo upande wa mwanamke na msisitizo ilikuwa ni vyakula vyenye folate au folic acid. Kumbe kwa upande wa mwanaume msisitizo ni vyakula vinavyotoa sumu mwilini. Tutaona vyanzo vya sumu kwenye miili yetu wanaume na namna ya kuidhibiti. Hakuna namna unaweza kuepuka sumu lakini tutaona vyakula vinavyoweza […]

Mimba kuharibika maswali na majibu

MIMBA KUHARIBIKA MASWALI NA MAJIBU Hapo kabla tulisoma kuhusu dawa ya kuzuia mimba kuharibika, tuliona nini husababisha hali hiyo, dalili zake na vitu vinavyosababisha tatizo hili. Leo tutaangalia baadhi ya maswali na majibu kuhusiana na mimba kuharibika na ikiwa unalo swali lingine tofauti na haya liulize tu hapo chini. Soma hii pia > Dawa ya […]

Dawa ya asili ya kuzuia mimba kuharibika

Mimba kuharibika ni tukio linalowatokea wanawake na mamalia wengine wa kike kutokana na shida mbalimbali katika ukuaji wa mimba tumboni mwa mama. Ni tukio tofauti na utoaji mimba ambalo linasababishwa na binadamu kwa makusudi. Matukio yote mawili kwa kawaida yanaleta matatizo mbalimbali kwa mama.Kuharibika kwa kijusi au kiinitete pengine kunatokana na mfadhaiko wa kiajali au […]

Dawa ya kurekebisha mzunguko wa hedhi

Dawa ya kurekebisha mzunguko wa hedhi Hili ni tatizo linalowatokea karibu wanawake wote katika safari yao ya kuishi hapa chini ya jua. Tatizo la kuvurugika kwa mzunguko wa hedhi huanza ghafla au polepole ambapo mwanzo mwanamke alikuwa akipata siku zake katika utaratibu unaoeleweka lakini mara haelewi au hajielewi namna mzunguko wake unavyoenda. Kuvurugika kwa hedhi […]

Chakula cha Mwanamke anayetafuta Ujauzito

Chakula cha Mwanamke anayetafuta Ujauzito Fanya mabadiliko haya kwenye mlo wako ili kuboresha afya yako ya uzazi. Je unatafuta ujauzito? Unajuwa ni chakula kipi upendelee kula ili kuongeza uwezekano wa kupata ujauzito au kuimarisha afya ya ujauzito kwa ujumla? Kwenye makala hii naeleza vyakula mhimu unavyotakiwa kupenda kula ili kujiongezea afya yako ya uzazi. Kwa […]

Siku ya hatari kwa mwanamke kushika mimba

Siku ya hatari kwa mwanamke kushika mimba Tumia kikokotoo (calculator) hiki hapa chini kufahamu siku zako za hatari, andika tarehe ya siku ya kwanza ulipoona hedhi yako ya mwisho na ujaze mzunguko wako una siku ngapi kisha bonyeza TUMA na usubiri majibu. Ili kufahamu vizuri ni siku zipi ni hatari kwa mwanamke kupata mimba, unahitaji […]

Hadithi 15 za uongo kuhusu kushika ujauzito

Huenda umesikia hadithi fulani kuhusu jinsi ya kupata mimba au jinsi ya kuhakikisha hupati mimba. Kwa kweli, mbinu ya hakika ya kutopata mimba ni kutofanya mapenzi. Kutofanya mapenzi pia kutakuzuia kupata magonjwa ya zinaa. Watoto hutengenezwa wakati mbegu za kiume zimekutana na yai la mwanamke. Wakati mume na mke wanafanya mapenzi, mbegu za kiume huogelea […]

Dawa ya asili ya kupata mimba haraka

Hii ni dawa ya asili ya kupata mimba haraka inayosaidia pia kuweka sawa homoni, kuondoa uvimbe kwenye kizazi, kupevusha mayai, kuzuia ujauzito usitoke, kutibu chango la uzazi, kuzibua mirija ya uzazi, kutibu maambukizi kwenye kizazi (PID) na matatizo mengine mengi ya uzazi kwa pamoja. Ugumba ni hali ya mwanamke kushindwa kushika ujauzito. Linaweza kuwa tatizo […]

Dawa ya kuongeza mbegu za kiume

Dawa ya kuongeza mbegu za kiume Mwanaume mwenye uwezo wa kuzalisha anahitaji kuwa na mbegu zisizopungua milioni 20, chochote chini ya hapa kinaweza kuwa sababu ya kutokutungisha ujauzito. Ikitokea umegundulika kuwa na mbegu chache, ni nyepesi sana na hazina nguvu za kukimbia vya kutosha basi dawa hii itaweza kukusaidia kuongeza uwingi wa mbegu zako bila […]

Dawa ya kuweka sawa homoni

Homoni zina mchango mkubwa katika afya kwa ujumla katika mwili wa mwanamke hasa linapokuja suala la uzazi. Mara nyingi usawa usio sawa wa homoni husababishwa na mabadiliko katika homoni ya ‘estrogen’. Mabadiliko haya mara nyingi hutokea wakati wa kuvunja ungo, wakati wa hedhi, wakati wa ujauzito na wakati wa ukomo wa hedhi (menopause). Vitu vingine […]

Dawa ya asili ya kuongeza hamu ya tendo la ndoa kwa mwanamke

Dawa ya asili ya kuongeza hamu ya tendo la ndoa kwa mwanamke Hili ni tatizo ambalo nimekuwa nikiulizwa mara nyingi sana na wanawake wengi kwa muda sasa na mwanzoni nilikuwa nalichukulia poa lakini kadri siku zinavyoenda naendelea kuona wengi zaidi wakizidi kunitafuta kwa ajili hii. Wapo ambao wameshakuja hata kuniona kwa macho kwa ajili ya […]

Dawa ya P.I.D

Dawa ya P.I.D P.I.D ni ugonjwa gani? Maambukizi Katika Mfumo wa Uzazi wa Mwanamke (PID) Maambukizi katika via vya uzazi vya mwanamke hujulikana kwa kitaalamu kama ‘Pelvic Inflamatory Diseases’ yaani P.I.D P.I.D ni ugonjwa mpya katika jamii yetu na ni moja ya matatizo ambayo huwaathiri sana wanawake. Maambukizi haya huweza kuhusisha shingo ya uzazi, yanaweza […]

Scroll to top