Matatizo ya Uzazi
Vitu 6 wanawake wanatakiwa kufanya ili kujikinga na uvimbe kwenye kizazi
Vitu 6 wanawake wanatakiwa kufanya ili kujikinga na uvimbe kwenye kizazi Inakadiriwa asilimia 70 mpaka 80 ya wanawake wanaweza kupatwa na ugonjwa huu katika safari yao ya kuishi. Hata hivyo si wanawake wote wenye uvimbe kwenye kizazi wanaweza kuonyesha dalili kwamba wanao au wanahitaji matibabu. Uvimbe katika mfuko wa kizazi Read more…