fadhilipaulo.com

  • Makala
  • Vifaa
  • Vitabu
  • Kuhusu Mimi
  • Night Mode

TeziDume

Afya ya Wanaune

Kama una miaka 50 kwenda juu

KAMA UNA MIAKA 50 KWENDA JUU Mbegu za maboga zina protini na madini ya kutosha na ya mhimu zaidi mwilini kama madini ya zinki, kopa, maginizia, manganizi na chuma. Mbegu za maboga ni tamu na zinaweza kutafunwa nyakati zozote na mahali popote hasa kwa wapenda kutafuna-tafuna kama mimi. Tafiti mbalimbali Read more…

By Fadhili Paulo, 1 day1 day ago
Kinga ya mwili

Madhara ya chai na kahawa kiafya

MADHARA YA CHAI NA KAHAWA KIAFYA Kuna nini kibaya kwenye CHAI na KAHAWA?: Kwenye chai na kahawa kuna kitu kinaitwa CAFFEINA/KAFEINA. Kafeina ni nini?: Kafeina ni madawa ya kulevya kundi la ‘Stimulants drugs’. Utashangaa. Habari ndiyo hiyo. Hii ndiyo sababu kwa mtu aliyezoea kunywa chai hii kila siku au kahawa, Read more…

By Fadhili Paulo, 3 months3 months ago
dawa ya gauti
Afya ya Wanaune

Dawa mbadala 14 zinazotibu maumivu ya gauti

Dawa mbadala 14 zinazotibu maumivu ya gauti Gout au maumivu ya jongo kwa Kiswahili ni aina mojawapo ya maumivu ya mishipa na yanaweza kuleta maumivu makubwa katika maungio hasa katika kidole gumba cha mguu. Ishara kubwa za maumivu ya jongo ni maumivu ya uvimbe nyakati za usiku, kupatwa na hasira, Read more…

By Fadhili Paulo, 4 months4 months ago
Kinga ya mwili

Njia za uzazi wa mpango ndiyo chanzo kushuka umri na saratani ya matiti

Njia za uzazi wa mpango ndiyo chanzo kushuka umri na saratani ya matiti Njia uzazi wa mpango chanzo kushuka umri saratani ya matiti – Daktari Aveline Kitomary- Dar es salaam DAKTARI bingwa wa saratani kutoka Taasisi ya Saratani ya Ocean Road (ORCI), Heleni Makwani, amesema moja ya sababu za umri Read more…

By Fadhili Paulo, 4 months4 months ago
Magonjwa hatari 18 yanayotibika kwa kutumia mbegu za maboga
Afya ya Wanaune

Magonjwa hatari 18 yanayotibika kwa kutumia mbegu za maboga

MAGONJWA HATARI 18 YANAYOTIBIKA KWA KUTUMIA MBEGU ZA MABOGA Mbegu za maboga zina protini na madini ya kutosha na ya mhimu zaidi mwilini kama madini ya zinki, kopa, maginizia, manganizi na chuma. Mbegu za maboga ni tamu na zinaweza kutafunwa nyakati zozote na mahali popote hasa kwa wapenda kutafuna-tafuna kama Read more…

By Fadhili Paulo, 5 months5 months ago
Kitunguu swaumu
Afya ya Wanaune

Kitunguu swaumu hutibu magonjwa 30

Mungu anaposema watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa hamaanishi maarifa ya kutengeneza au kuendesha ndege, ni maarifa ya kawaida tu katika maisha yetu ya kila siku ambayo yanaweza kubadilisha afya na ustawi wetu. Moja ya mmea ambao umependelewa sana na Mungu kwakuwa na viinilishe vingi na mhimu sana kwa ajili Read more…

By Fadhili Paulo, 6 months6 months ago
Kinga ya mwili

Chanzo cha saratani ya matiti

Chanzo cha saratani ya matiti Hakuna kitu kingine kizuri kama mwili wa mwanamke kwakuwa unaweza kuleta kiumbe binadamu kingine. Mwili wa mwanamke unazo ovari ambazo hutengeneza mayai na homoni maalumu ambazo hudhibiti mwili wake wakati wa ujauzito kuanzia wakati yai linaporutubishwa mpaka mwishoni mwa wastani wa miezi tisa (wakati wa Read more…

By Fadhili Paulo, 7 months7 months ago
TeziDume

Namna saratani inavyojitokeza mwilini

Namna saratani inavyojitokeza mwilini Kama wewe ni mvivu kusoma pita hivi kwanza nenda ka-like mapicha ya rafiki zako wengine huko kwenye facebook. Siku hizi tunaambiwa mtu mmoja kati ya watu watatu atakuwa na mojawapo ya aina za saratani, miaka 65 iliyopita ilikuwa mtu mmoja kati ya watu elfu kumi. Saratani Read more…

By Fadhili Paulo, 8 months8 months ago
Afya ya Wanaune

Tendo la ndoa hupunguza hatari ya kupata saratani ya tezi dume

Tendo la ndoa hupunguza hatari ya kupata saratani ya tezi dume Katika hali ya kawaida inaelezwa kushiriki tendo la ndoa kuna faida nyingi kiafya, hata hivyo kushiriki tendo la ndoa mara nyingi kupita kiasi kunaweza kusababisha matatizo ya msingi ambayo huleta madhara kwa watu wanaoiendekeza. Mtu anaweza kuwa na mwenzi Read more…

By Fadhili Paulo, 9 months7 months ago
Afya ya Wanaune

Dawa ya asili ya kutibu saratani ya tezi dume

Dawa ya asili ya kutibu saratani ya tezi dume MAFUTA YA HABBAT SODA NI DAWA BORA YA SARATANI YA TEZI DUME Mafuta ya habbat soda yana sifa ya kudhibiti vivimbe na seli za kansa. Dawa hii ya asili imeshafanyiwa majaribio mengi na kila mara matokeo yake yamethibitika wazi kwamba ni Read more…

By Fadhili Paulo, 9 months8 months ago
TeziDume

Dawa ya saratani ya tezidume

Dawa ya saratani ya tezidume Tezi ya prostate ni tezi yenye umbile la donati, iliyoko chini ya kibofu cha mkojo. Tezi hii huzungukwa na  mirija  ya mkojo na  uhusika uzalishaji wa maji maji yanayohusika na urutubishaji na usafirishaji wa mbegu za kiume (semen). Mabadiliko ya kimaumbile katika tezi dume kama; Read more…

By Fadhili Paulo, 2 years8 months ago
Bonyeza kitufe ili kubadili rangi ya blog

Yaliyomo
  • Afya ya Nywele
  • Afya ya Wanaune
  • Bawasiri
  • Kinga ya mwili
  • Kisukari
  • Matatizo ya Ngozi
  • Matatizo ya Uzazi
  • P.I.D
  • Pumu
  • Shinikizo la damu
  • TeziDume
  • U.T.I
  • Uzito na Unene
  • Vidonda vya tumbo
Siku ya kupata Ujauzito

Tafuta siku zako za hatari

Siku ya kwanza uliopoona hedhi ya mwisho

Mzunguko wako ni wa siku ngapi

POKEA DONDOO ZA AFYA

WhatsApp Messenger - Apps on Google Play

Pokea dondoo na makala mbalimbali kuhusu afya hususani zinazohusu tiba asili kupitia WhatsApp BURE

Jiunge na Group langu la AFYA KILA SIKU WhatsApp kwa kubonyeza hapa

Karibu

  • Makala
  • Vifaa
  • Vitabu
  • Kuhusu Mimi
  • Night Mode
Copyright © 2021 fadhilipaulo.com | * *