fadhilipaulo.com

  • Makala
  • Vifaa
  • Vitabu
  • Kuhusu Mimi
  • Night Mode

Uzito na Unene

Uzito na Unene

Jinsi ya kupunguza uzito huku unacheka

Jinsi ya kupungua uzito huku unacheka Ndiyo upungue uzito, unene kupita kiasi, kitambi na mafuta mwilini huku unatabasamu Watu wengi wakitaka kupungua uzito wanawaza kuhusu mazoezi, kufunga kula, kuacha vyakula vyenye mafuta na kutumia dawa kila mara tena dawa chungu na zingine zinauzwa gharama sana Hayo yote huhitaji ili kupungua Read more…

By Fadhili Paulo, 1 month1 month ago
faida za mayai kiafya
Afya ya Wanaune

Faida 10 za mayai kiafya

FAIDA 10 ZA MAYAI KIAFYA Mayai ni moja ya vyakula vichache ambavyo naweza kuviweka katika kundi la vyakula ‘bora zaidi’ kuliko vyote. Mayai yamejaa viinilishe mhimu na vingi kati ya hivyo viinilishe havipatikani kirahisi katika vyakula vingi vya kisasa. Zifuatazo ni faida 10 za kiafya zitokanazo na kula mayai kama Read more…

By Fadhili Paulo, 5 months5 months ago
Afya ya Wanaune

Ulaji wa chipsi umetajwa kuwa hatari kwa afya ya binadamu

ULAJI WA CHIPS umetajwa kuwa HATARI kwa afya ya Binadamu. ULAJI WA CHIPS umetajwa kuwa HATARI kwa afya ya Binadamu, kwani husababisha maradhi mengi yasiyo ya kuambukiza hasa FIGO, MOYO , SHINIKIZO LA DAMU,KISUKARI NA SARATANI za aina zote. SAHANI moja ya CHIPS kavu huwa na MAFUTA yanayokaribia NUSU kikombe Read more…

By Fadhili Paulo, 7 months7 months ago
Uzito na Unene

Madhara 10 ya uzito na unene kupita kiasi

MADHARA YA UZITO NA UNENE KUPITA KIASI Magonjwa hatari unayoweza kupata kutokana na uzito wako kuwa mkubwa ni pamoja na yafuatayo: 1. Magonjwa ya moyo. 2. Shinikizo la juu la damu 3. Kiharusi (Stroke) 4. Kisukari aina ya pili 5. Baadhi ya aina za saratani 6. Ugumba 7. Msongo wa Read more…

By Fadhili Paulo, 8 months7 months ago
madhara ya kukaa kwenye kiti masaa mengi
Afya ya Wanaune

Kukaa muda mrefu kwenye kiti husababisha kufa mapema

Kukaa muda mrefu kwenye kiti husababisha kufa mapema Pengine tayari unafahamu kuwa kutokujishughulisha na mazoezi ya viungo mara kwa mara ni hatari kwa afya yako. Ndiyo hilo ni jambo ambalo kila mtu analijuwa (common sense). Vipi lakini ikiwa ni kweli unajitahidi kila siku kutimiza jukumu hilo la kufanya mazoezi dakika Read more…

By Fadhili Paulo, 1 year7 months ago
Kupunguza uzito na unene bila mazoezi wala kufunga kula
Uzito na Unene

Mbinu 11 za kupunguza uzito na unene bila mazoezi wala kufunga kula

MBINU 11 ZA KUPUNGUZA UZITO NA UNENE BILA MAZOEZI WALA KUFUNGA KULA Kuendelea kutegemea mazoezi au kufunga kula au kupunguza kula kunaweza kusiwe msaada kwa baadhi ya wengine wanaotaka kupunguza uzito na unene wa miili yao. Hata hivyo zipo mbinu chache unazoweza kuzitumia na ukaweza kudhibiti uzito wako. Bila kukupigisha Read more…

By Fadhili Paulo, 1 year7 months ago
Afya ya Wanaune

Jinsi ya kuongeza uzito na unene bila kudhuru mwili wako

JINSI YA KUONGEZA UZITO AU UNENE BILA KUDHURU MWILI WAKO Kuna wakati mtu unajiona wazi kuwa uzito wako upo chini na pengine ungehitaji ungeongezeka kidogo uzito na unene wako kwa ujumla. Tuachane na wale wanaotaka kuongeza sehemu za kukalia na mapaja kwanza, nitaleta dawa kwa ajili hiyo siku nyingine. Nazungumzia Read more…

By Fadhili Paulo, 1 year7 months ago
Dawa ya kupunguza unene
Uzito na Unene

Dawa ya asili ya kupunguza uzito, unene na kitambi

Dawa ya asili ya kupunguza uzito, unene na kitambi Kuna watu hudhani ukiwa mnene au mwenye uzito mkubwa ndiyo kuwa na afya na ndiyo maana wengine wakikonda basi huchanganyikiwa kabisa. Lakini uzito au unene uliozidi ni ugonjwa tena ugonjwa mubaya kabisa ambao unapaswa kuwa makini nao sana kwani ni chanzo Read more…

By Fadhili Paulo, 2 years3 weeks ago
Bonyeza kitufe ili kubadili rangi ya blog

Yaliyomo
  • Afya ya Nywele
  • Afya ya Wanaune
  • Bawasiri
  • Kinga ya mwili
  • Kisukari
  • Matatizo ya Ngozi
  • Matatizo ya Uzazi
  • P.I.D
  • Pumu
  • Shinikizo la damu
  • TeziDume
  • U.T.I
  • Uzito na Unene
  • Vidonda vya tumbo
Siku ya kupata Ujauzito

Tafuta siku zako za hatari

Siku ya kwanza uliopoona hedhi ya mwisho

Mzunguko wako ni wa siku ngapi

POKEA DONDOO ZA AFYA

WhatsApp Messenger - Apps on Google Play

Pokea dondoo na makala mbalimbali kuhusu afya hususani zinazohusu tiba asili kupitia WhatsApp BURE

Jiunge na Group langu la AFYA KILA SIKU WhatsApp kwa kubonyeza hapa

Karibu

  • Makala
  • Vifaa
  • Vitabu
  • Kuhusu Mimi
  • Night Mode
Copyright © 2021 fadhilipaulo.com | * *