Jinsi ya kuongeza uume bila kutumia dawa

by Fadhili Paulo
0 (0)
Overview
Curriculum
Reviews

Jinsi ya kuongeza uume bila dawa

Nimekuandalia kozi maalumu kwa ajili hiyo.

Ukubwa wa uume unategemea vitu kama kiwango cha mhemuko, muda, hali ya hewa na unashiriki tendo la ndoa mara ngapi.

Si wanawake pekee ambao huwa bize kuona wanakuwa na maumbile mazuri na kwamba wanakuwa ni wenye kuvutia muda wote.

Ni kawaida kukuta chumbani kwa mwanamke vipodozi vingi vya kila namna na ukakuta mafuta ya aina moja tu kwenye chumba cha mwanaume.

Wapo wanaume wachache sana ambao wamebarikiwa kuwa na uume mkubwa kwa asili.

Aina ya maisha unayoamua kuishi yanaweza kuathiri ukubwa na uimara wa uume wako.

Kwahiyo ikiwa una shaka kidogo juu ya ukubwa wa uume wako na unapenda kujifunza njia za kufanya ili uume wako uweze kuongezeka bila kutumia dawa, chukua kozi hii yangu hapa kwenye mtandao itakayokupa majibu yote ya maswai yako kuhusu jambo hili.

Ili kujiunga na kusoma kozi hii kwanza unatakiwa kuwa na akaunti kwenye blog hii.

Ukishakuwa na akaunti bonyeza mistari ya menyu kuu juu kulia na bonyeza neno courses na ujiunge.

Ili kufungua akaunti kwenye blog hii bonyeza hapa.

Karibu darasani sasa!

Jinsi ya kuongeza uume bila kutumia dawa

Curriculum

  • 1 Section
  • 1 Lesson
  • 0 Quizzes
  • 3h Duration
Expand All
SOMO LA KWANZA
1 Lesson 0 Quizzes
  1. Somo la kwanza
0 out of 5

0 user ratings

Deleting Course Review

Are you sure? You can't restore this back
Scroll to top
WhatsApp WhatsApp +255714800175