Dawa mpya ya uhakika ya u.t.i

Published by Fadhili Paulo on

Dawa mpya ya uhakika ya U.T.I

U.T.I ni kifupi cha maneno ya kiingereza: ‘Urinary tract infections’, ni maambukizi ya bakteria katika njia ya mkojo.

Ni moja ya ugonjwa unaowakumba sana wanawake kwa sehemu kubwa ingawa hata wanaume pia wanapatwa na ugonjwa huu.

Zaidi ya wanawake milioni 8 wanauguwa ugonjwa huu kila mwaka nchini Marekani peke yake.

U.T.I na dalili zake

Kama ulishawahi kupatwa na U.T.I basi hutazisahau dalili zake ambazo mara nyingi huanza kwa hitaji la ghafla la kutaka kwenda kupata haja ndogo na unapofika bafuni mara baada ya kutoa kiasi kidogo cha mkojo utaanza kusikia maumivu kwenye kibofu cha mkojo na hata kwenye urethra.

Katika dalili kubwa zaidi utaishia kujisikia

 • Homa,
 • Baridi kali,
 • Maumivu nyuma ya mgongo
 • Na hata damu kutoka pamoja na mkojo.

Habari njema ni kuwa kuna dawa ya asili unayoweza kuitumia na kujitibu na ukajikinga na ugonjwa huu.

Endelea kusoma ….

Kinachosababisha U.T.I:

1. Usafi duni
2. Kushiriki tendo la ndoa kinyume na maumbile
3. Kushikilia mkojo muda mrefu
4. Upungufu wa maji mwilini

Baadhi ya dalili za kawaida na zisizo za kawaida za U.T.I

1. Kusikia maumivu wakati wa haja ndogo
2. Kukojoa mara kwa mara
3. Kupatwa ghafla na hitaji la kutaka kukojoa
4. Maumivu kwenye kibofu cha mkojo
5. Mikojo kukutoka pasipo kutaka
6. Hali ya kusikia kuungua wakati wa kukojoa
7. Kukojoa damu
8. Harufu nzito au mbaya ya mkojo
9. Homa
10. Kusikia baridi
11. Kutokujisikia vizuri
12. Kujisikia uchovu

Dawa ya U.T.I > Lemonedi

Lemonedi ina sifa ya kuondoa sumu na bakteria wabaya mwilini.

Vimeng’enya hivi viwili ndivyo vinaweza kusemwa kuwa ndiyo sababu ya Lemonedi kuwa ni dawa kwa kila ugonjwa. Vinaimarisha moja kwa moja kinga yako ya mwili na kuifanya ipatikane wakati wowote itakapohitajika na mwili.

Lemonedi imekuwa ikitumika kwenye tiba asili karne nyingi zilizopita

Lemonedi inayo vitamini C ya kutosha

Some evidence shows that increasing your intake of vitamin C could protect against urinary tract infections.

Vitamin C is thought to work by increasing the acidity of the urine, thereby killing off the bacteria that cause infection (9Trusted Source).

A 2007 study of UTIs in pregnant women looked at the effects of taking 100 mg of vitamin C every day.

The study found that vitamin C had a protective effect, cutting the risk of UTIs by more than half in those taking vitamin C compared to the control group (10Trusted Source).

Another study looked at behavioral factors that affected the risk of UTIs and found that a high vitamin C intake decreased the risk

lemonedi inachukuliwa kama moja ya dawa za asili ya kutibu u.t.i bora zaidi kuwahi kutokea.

Maambukizi na matatizo mengi kwenye kibofu cha mkojo na njia ya mkojo kwa ujumla yanatibika na lemonedi ikiwemo ugonjwa wa U.T.I (yutiai) unaowasumbua watu wengi miaka ya karibuni.

Vitu vya kufanya kujikinga usipatwe na U.T.I

1. Ongeza unywaji maji kila siku au juisi za matunda, juisi uliyotengeneza mwenyewe nyumbani na utumie asali na siyo sukari katika hizo juisi
2. Epuka vinywaji baridi (soda), pombe, chai ya rangi na kahawa.
3. Penda kuwa msafi.
4. Mara zote jitawaze kutoka mbele kurudi nyuma (hasa kwa wanawake) na uepuke kuchangia na wengine vifaa vya bafuni.
5. Jisafishe vizuri mara baada ya tendo la ndoa.
6. Usiushikilie mkojo muda mrefu, mara usikiapo kutaka kupata haja ndogo mara moja nenda
7. Vaa nguo za ndani zilizotengenezwa kutokana na pamba.
8. Epuka kaffeina.
9. Epuka tendo la ndoa kinyume na maumbile.

10. Penda kula mtindi mara kwa mara

Kama utahitaji dozi kamili ya U.T.I nipigie simu 0714800175

 

Na ukinunua dawa hii kutoka kwangu na siyo sehemu nyingine utapata faida hizi nne zifuatazo:

 1. Utakuwa rafiki yangu
 2. Nitahakikisha tatizo lako linaisha na halijirudii tena
 3. Nitakupa maelezo zaidi kuhusu matumizi kulingana na umri na uzito wako
 4. Nitawajibika kwa lolote linaloweza kukutokea wakati unaendelea kutumia dawa

Mjulishe rafiki yako kwenye twitter naye asome post hii kwa kubonyeza ujumbe ufuatao:

Dawa mpya ya uhakika ya u.t.i Click To Tweet

Tafadhali SHARE kwa ajili ya wengine uwapendao

Fadhili Paulo
Categories: U.T.I

Fadhili Paulo

Naitwa Fadhili Paulo, ni Tabibu wa Tiba asili. Ninayo ofisi yangu binafsi Jijini Dar Es Salaam. lakini nafanya pia kazi kwa njia ya mtandao. Ofisi yangu inaitwa TUMAINI HERBAL LIFE, Ipo Kibugumo Mji Mwema Kigamboni Kama unahitaji kuonana na mimi uso kwa uso weka miadi (appointment) kupitia WhatsApp +255714800175 Nifuate kwenye Twitter

2 Comments

Philiph Nikki · 01/23/2021 at 3:47 pm

Naitaji dawa ya u.t i na yaupara

  Fadhili Paulo · 01/30/2021 at 5:50 am

  Tuwasiliane

Leave a Reply

Your email address will not be published.

WhatsApp Nipigie simu ya kawaida 0714800175