Je unatafuta dawa ya asili nzuri na yenye uhakika ya kutibu aleji?

Umechoka kutumia dawa zenye kemikali zinazokuacha na madhara mengine baada ya kuzitumia?

Kama ni ndiyo basi mafuta ya manjano yanaweza kuwa mbadala mzuri wa kuuendea ili kujitibu na aleji.

Ni mhimu kwamba unafanikiwa kujitibu aleji mapema kabla haijawa sugu. Hata hivyo mafuta ya manjano ni dawa nzuri ya asili kwa kutibu aleji.

Unahitaji kufahamu zaidi namna inavyofanya kazi?

Endelea kusoma ….

Dawa ya aleji > Mafuta ya manjano

Dawa ya aleji

Mafuta ya manjano (Turmeric essential oil) ni dawa yenye nguvu ya asili ya kutibu aleji sababu ina vitu vinavyoweza kudhibiti dalili mbalimbali za aleji.

Mafuta ya manjano yana kitu kinaitwa ‘curcumin’ ambacho ndicho kinahusika katika kudhibiti dalili mbalimbali za aleji

Dawa hii inafanya kazi kama mdhibiti wa asili wa histamini (natural antihistamine). Hii inamaanisha dawa hii inao uwezo mahususi wa kuzuia kutolewa kwa histamini katika mwili wako na hivyo kuzuia dalili na ishara za aleji.

Mafuta ya manjano ni mdhibiti mzuri dhidi ya maambukizi mbalimbali, dhidi ya bakteria, na hivi vyote kwa pamoja vinasaidia kuondoa dalili za aleji.

Mafuta ya manjano yanaweza kuongeza kinga ya mwili ambayo huwa inapotea kama matokeo ya dalili za aleji.

Dawa hii kwa asili kabisa inaweza kuzuia kuongezeka kwa ‘leukotriene’. Leukotriene inahusiana na aina fulani za aleji kama pumu ya koo na matatizo mengine mengine mapafu.

Mafuta ya manjano yanaweza kutumika kutibu aleji zote ile aleji sugu na hata aleji ya kawaida. Unahitaji tu uyatumie kwa kipindi kirefu mpaka umeanza kuona unapona.

Matumizi ya mara kwa mara ya dawa hii hayana madhara yoyote mabaya kwa afya.

Matumizi: Kunywa kijiko kidogo kimoja cha chai kutwa mara 2 baada ya chakula cha mchana na usiku kwa siku 30.

Unaweza kutumia mafuta ya manjano kama dawa yako ya nguvu mbadala ya kujitibu aina mbalimbali za aleji. Ni dawa salama na inaweza kutumika kwa namna nyingi mbalimbali.

Ni matumaini yangu dawa hii imekusaidia, nipe mrejesho wa hali yako baada ya kuijaribu dawa hii kupitia comment hapo chini.

Kuna dawa nyingine ya asili umeitumia kujitibu aleji na umepona? Kama ndiyo nitajie hapo chini na mimi niendelee kujifunza.

Kama unahitaji dawa ya asili ya kutibu aleji niachie ujumbe WhatsApp +255714800175

Naweza pia kukuletea ulipo ndani ya Dar naweza pia kukutumia popote ulipo nje ya Dar

Tafadhali SHARE kwa ajili ya wengine.

Naitwa Fadhili Paulo, ni Tabibu wa Tiba Asili na ni mTanzania.

Ofisi yangu inaitwa Victoria Home Remedy ipo Sigara Yombo Vituka Temeke Dar Es Salaam.

Jiunge na mimi na watu wengine zaidi ya 94000 kwenye ukurasa wangu wa facebook kwa kubonyeza hapa

Imehaririwa mara ya mwisho

Niulize swali nikujibu

Categories: Aleji

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WhatsApp Chat na mimi kwenye WhatsApp