Dawa ya asili inayoondoa ganzi mwilini

Published by Fadhili Paulo on

Dawa ya asili inayoondoa ganzi mwilini

Ganzi mikononi na miguuni inamaanisha kukosekana kwa fahamu katika sehemu hizo.

Hisia ndiyo inakosekana sababu kunakuwa hakuna damu na neva zinakosa mawasiliano ya moja kwa moja na ubongo.

Ni jambo la kawaida linalowapata watu wengi sana miaka ya hivi karibuni.

Dawa ya kuondoa ganzi mwilini 1
Kinachosababisha ganzi mwilini ni pamoja na:
1. Mwili kuwa na sumu au asidi nyingi

2. Kuwa karibu na vitu vyenye baridi sana kwa kipindi kirefu

3. Mabadiliko ya muda mfupi kwenye neva

4. Ajali kwenye neva

5. Kunywa pombe kupita kiasi

6. Uvutaji wa sigara na bangi

7. Uchovu sugu

8. Kutokujishughulisha na mazoezi ya viungo mara kwa mara

9. Ukosefu wa vitamini B12 na Magnesiamu

10. Ugonjwa wa kisukari
.

Kwa kawaida ganzi inayotokea kwa dakika kadhaa na kupotea huwa haina shida yoyote lakini onana na daktari mapema ikiwa inakutokea mara kwa mara na pia ikiwa inakutokea na kudumu kwa muda mrefu.

Inaweza kuwa ni ishara ya ugonjwa fulani ambao unahitaji matibabu ya haraka.

Kuumwa ganzi kwenye miguu na mikono yako linaweza kuwa ni jambo linaloudhi sana hata hivyo hapa mimi leo nimekuandalia dawa za asili unazoweza kuzitumia kuondokana na tatizo hili.

Naitwa Fadhili Paulo.

Endelea kusoma …

Dawa ya asili inayoondoa ganzi mwilini > Unga wa majani ya mlonge

Dawa ya kuondoa ganzi mwilini

Unga wa majani ya mlonge
.

Unga wa majani ya mlonge ndiyo dawa pekee ya asili ya uhakika ya kuondoa ganzi mwilini.

Mti wa mlonge umekuwa ukijulikana kamamti wa miujuza (miracle tree) kutokana na kuwa na uwezo mkubwa wa kutibu maradhi mengi mbalimbali mwilini kuanzia kwenye kufunga choo mpaka kwenye saratani.

Kwa sababu hiyo Mlonge unakuja kuwa msaada mkubwa kwenye ogani yetu kubwa kuliko zote katika kazi za kusafisha mwilini ambayo ni INI.

Kwa kawaida Ini letu ndiyo ogani inayohusika na utoaji sumu na taka mbalimbali mwilini.

Ini huchuja kila kinachouingia mwili ili kuchambua na kuondoa vitu visivyohitajika na mwili yaani sumu na taka mbalimbali.

Ini lipo kwenye mawasiliano wakati wote na ogani zingine za mwili hasa zile zinazohusika na umeng’enyaji wa chakula.

Ini zuri lenye afya husaidia kuweka sawa mzunguko na mgawanyo wa damu mwilini.

Ini huihifadhi damu ili kwamba liweze kuupa mwili damu mpya na safi yenye afya wakati mwili unapokuwa umepatwa na majeraha na kuripea au kuziondoa seli za damu zilizodhurika ambazo zinapita kupitia Ini.

Ini ndiyo linahusika na kuganda kwa damu kazi ambayo ni mhimu sana inayosaidia miili yetu kujitibu tunapopatwa na majeraha.

Ini husaidia pia kuondoa damu sukari iliyozidi katika damu na kufanya kazi kwa karibu na kongosho kwa kudhibiti matendo na kazi za insulin.

Ini huzalisha nyongo ambayo kisha huhifadhiwa katika kibofu nyongo (gall bladder).

Nyongo husaidia mmeng’enyo wa chakula na uondoaji wa sumu au taka mwilini.

Sababu kuu ya mwili kupata ganzi ni matokeo ya kuzidiwa na sumu au asidi.

Mlonge ni dawa nzuri ya uhakika ya asili kwa ajili ya kuondoa sumu na kusafisha mwili kwa ujumla

Yote katika yote Ini ni ogani mhimu sana kwa kazi za mwili kwa ujumla.

Jambo lolote linaloathiri utendaji kazi wa Ini linaweza kusababisha shida nyingi mwilini ikiwemo matatizo kwenye mfumo wa mmeng’enyo wa chakula, homoni, kudumaa kwa ubongo na hata kukuletea ganzi maeneo mbalimbali ya mwili.

Kwa bahati nzuri mlonge unaweza kulirudishia Ini afya yake na hivyo kuliwezesha kufany akazi kwa kiwango chake cha juu kabisa katika kuondoa sumu na taka mbalimbali mwilini kwa njia 2 zifuatazo:

1. Mlonge unapunguza uharibifu uliojitokeza katika ini

Tafiti mbalimbali zimeonyesha kuwa mlonge unasaidia kutibu na kuzuia madhara katika Ini.

Tafiti kadhaa zimeonyesha mlonge kuwa na uwezo wa kupunguza madhara ambayo tayari yamejitokeza katika Ini.

Mlonge unao uwezo wa kuzuia Ini dhidi ya ugonjwa wa Ini (hepatitis) na tafiti zinahitimisha kwa pamoja kuwa unga wa majani ya mlonge husaidia pia kuzuia uharibifu katika Ini.

2. Mlonge Unavirudisha Vimeng’enya vya ini

Mlonge unasaidia kuvirudisha vimeng’enya (enzymes) kwenye Ini lililodhurika.

Ini ni ogani katika mwili inayohusika na kusafisha damu, uzalishaji wa nyongo, kumeng’enya mafuta na umeng’enywaji wa jumla wa viinilishe katika vyakula tunavyokula.

Kazi hizo zote za Ini zinawezekana kwa msaada wa vimeng’enya vyake.

Inapotokea Ini lina uchovu au limezidiwa na wingi wa kazi vimeng’enya vyake vyaweza kupungua na hivyo kulifanya Ini kutokuwa na msaada wowote katika kazi ya kutoa sumu na taka mwilini.

Mlonge unasaidia kuvirudisha vimeng’enya (enzymes) vyote kwenye Ini katika hali yake ya kawaida na kufanya kazi kama vinavyopaswa kuwa vinafanya katika ini zuri lenye afya.

Hii ni orodha ya viondoa sumu (antioxidants) 46 na zaidi vipatikanavyo katika mlonge:
Antioxidants (9, 11, 12, 13, 14, 15)
 1. β-carotene
 2. calcium
 3. potassium
 4. quercetin
 5. chlorogenic acid
 6. hydroxyanisole (BHA)
 7. butylated hydroxytoluene (BHT)
 8. tertiary-butylhydroquinones
 9. propyl gallate
 10. vitamin E (tocopherols)
 11. ascorbic acid (vitamin C)
 12. glucose oxidase
 13. reduced glutathione
 14. citric acid
 15. polyphospages
 16. aminopolycarboxylic acids
 17. vanillin
 18. moringine
 19. strophantidin
 20. 4-(α-l-rhamnosyloxy)
 21. benzyl isothiocyanate
 22. 4-(4’-O-acetyl-α-l-rhamnosyloxy)
 23. benzyl isothioyanate
 24. catechin
 25. 4-(β-d-glucopyranosyl-1→4-α-l-rhamnopyranosyloxy)
 26. benzyl thiocarboxamide
 27. epicatechin
 28. 4-O-(α-l-rhamnosyloxy)
 29. benzyl glucosinolate
 30. 4-(α-l-rhamnopyranosyloxy)-benzylglucosinolate
 31. Kaempferol
 32. Niazimicin
 33. 4-(α-l-rhamnosyloxy)
 34. benzyl acetonitrile (niazirin)
 35. O-ethyl-4-(α-l-rhamnosyloxy)
 36. benzyl carmate
 37. Gallic acid
 38. Glycerol-1-1-(9-octadecanoate)
 39. p-Coumaric acid
 40. 3-O-(6’-O-oleoyl-β-d-glucopyranosyl)-β-sitosterol
 41. Ferulic acid
 42. β-sitosterol-3-O-β-d-glucopyranoside
 43. Caffeic acid
 44. 3-Hydroxy-4-(α-l-rhamnopyranosyloxy)
 45. benzyl glucosinolate
 46. Protocatechuic acid
 47. 4-(2/3/4′-O-acetyl-α-l-rhamnopyranosyloxy)
 48. benzyl glucosinolate
 49. cinnamic acid
 50. glucosinalbin
 51. ellagic acid
 52. glucoraphanin
 53. glucoiber
.

Mlonge unasafisha mwili wako wote, unasafisha ini, figo, moyo, macho, unaimarisha meno, ngozi na nywele.

Mlonge una Kalsiamu mara 17 zaidi ya ile ya maziwa ya ng’ombe.

Mlonge UNA MADINI YA CHUMA MARA 25 ZAIDI YA ILE ILIYOMO KWENYE SPINACHI

Changanya matunda yote na mboga za majani zote bado viinilishe vyake kwa pamoja haviwezi kuvifikia vile vilivyomo kwenye mlonge!

Ni kusema mtu aliyekula matunda na mboga za majani zote bado hatakuwa na afya bora kama yule atakayetumia mlonge tu.

Kwahiyo tunaweza kuhitimisha kuwa unga wa majani ya mlonge ni dawa nzuri na ya uhakika kwa kuondoa ganzi mwilini.

*Usitumie dawa hii bila uangallizi wa karibu wa Tabibu.

Kama unahitaji unga wa majani ya mlonge kwa ajili ya kuondoa ganzi mwilini niachie ujumbe WhatsApp +255714800175

Unga wangu wa majani ya mlonge ni mzuri na naweza kusema pasipo na hofu kuwa huwezi kupata sehemu nyingine wenye ubora unaokaribia na wangu.

Ninauandaa kwa umakini mkubwa ili ubaki na viinilishe vyake na ni wa kijani kweli kweli.

Na ukinunua dawa hii kutoka kwangu na siyo sehemu nyingine utapatafaida hizi nnezifuatazo:

1. Utakuwa rafiki yangu

2. Nitahakikisha tatizo lako linaisha na halijirudii tena

3. Nitakupa maelezo zaidi kuhusu matumizi kulingana na umri na uzito wako

4. Napatikana WhatsApp nyakati zote za mchana na unaweza kuchat na mimi mwenyewe mubashara (live) toka popote ulipo huhitaji kuonana na sekretari au msaidizi wangu kwanza.

Share post hii na wengine uwapendao

(Visited 71 times, 1 visits today)

0 Comments

Leave a Reply

Avatar placeholder

Your email address will not be published.

WhatsApp WhatsApp +255714800175