Dawa ya asili kwa ajili ya kurejesha uke mkubwa au uliolegea 1

.

Dawa ya asili kwa ajili ya kurejesha uke mkubwa au uliolegea

Jinsi gani ya kukaza uke au ni namna gani kufanya uke uwe mdogo tena ni mada au somo lisilopendwa kuzungumzwa na watu wengi.

Ikiwa wewe ni mmoja wa waathirika na tatizo hili basi tumia muda wa kutosha kusoma makala hii sasa hivi, irudie mara nyingi mpaka umeielewa.

Kwenye makala hii nakwenda kukueleza juu ya dawa kwa ajili ya kurudishia tena uke mkubwa au uliolegea na kuwa mdogo tena.

Soma hii pia > Dawa ya asili ya kuongeza hamu ya tendo la ndoa kwa mwanamke

KINACHOSABABISHA UKE KULEGEA

Uke kulegea au kuwa mkubwa zaidi unaweza kutokea kutokana na sababu nyingi.

Kumbuka pia kushiriki tendo la ndoa mara chache siyo suluhisho la kuwa na uke mdogo.

Hakuna uhusiano wa moja kwa moja wa kuwa na uke mkubwa na kushiriki tendo la ndoa mara nyingi.

Pia hakuna uhusiano wa umri na ukubwa wa uke.

Wapo wamama watu wazima wana uke mdogo pia kuna wasichana wadogo kabisa wana uke mkubwa kupitiliza.

Watu wengine huamini kuwa mwanamke mwenye uke mkubwa na mlegevu ametembea na wanaume wengi sana, jambo hilo sio kweli kwani hakuna uume unaoweza kufanya hivyo ila mwanamke aliyezoea uume mkubwa anaweza kupata shida kufurahia tendo la ndoa akipata mwanaume mwenye uume mdogo.

Kama ilivyo kwa uume kwamba wanaume wana uume wenye ukubwa tofauti tofauti kadharika wanawake nao kila mwanamke ana uke wa ukubwa tofauti tofauti tofauti.

Kwa kawaida hakuna mwanaume anayependa kushiriki tendo la ndoa na mwanamke mwenye uke mkubwa.

Kuna tetesi zisizo rasmi kuwa hata wanaume wanaopenda kushiriki tendo la ndoa kinyume na maumbile na wake zao huanza tabia hiyo mara baada ya kuona uke umelegea kiasi cha kutokuwa na radha tena.

Uke kulegea ni matokeo ya asili ya kuchakaa na kupanuka kwa kuta zake.

Mfano mara baada tu ya kujifungua misuli ya uke inalegea na kama hutachukua hatua mapema uke unaweza kupoteza hali ya kujibana tena na kurudi kwenye saizi yake ya awali.

Je kuna njia za kugundua kama una uke mdogo au mkubwa?

Wanawake wengi hawajui ukubwa wa uke wao kwa kuwa hawawezi kujipima au kuona umuhimu wa kufanya hivyo.

Uke unapokuwa katika hali yake ya kawaida kuta zake zinalaliana na kwa wengi kipenyo cha uke hakizidi inch 1 na nusu na urefu wake kati ya inch 3 hadi 4, hata hivyo ukubwa wake hubadilika mwanamke anapokuwa tayari kwa tendo la ndoa.

Unaweza kuwa inch 1 au moja na nusu ni ndogo kwa mwanaume kupitisha uume wake, ukweli ni kwamba uke una uwezo wa kutanuka ili uweze kumeza uume.

Ukiingia ndani ya uke ukubwa huongezeka zaidi hadi kufikia inch 3.

Kwa wanawake waliozaa hawana budi kukabiliana na ongezeko la ukubwa wa uke wao, kadri watoto wanavyozidi kuongezeka ndivyo ukubwa wa uke uongezekavyo, hali hii hutokana na uharibifu wa misuli iliyomo katika kuta za uke.

Kama uke wako umepanuka zaidi na umekuwepo ulegevu mkubwa matokeo yafuatayo yatakukabili;

1. Hutafurahia tendo la ndoa

2. Mpenzi au mumeo atapata shida kuridhika nawe kutokana na hali ya kupwayapwaya.

3. Unaweza kupata tatizo la hewa kuingia ndani ya uke na kusababisha hali inayofanana na kujamba,jambo linalowakuta wanawake wengi.

Baada ya kujifungua yanakuwepo mabadiliko ya vichocheo muhimu, kichocheo cha Estrogen na Progesterone hupungua na hili husababisha upungufu wa majimaji ya kupunguza msuguano wakati wa kufanya mapenzi.

UTAJUAJE KUWA UKE WAKO UMELEGEA AU KUONGOZEKA UKUBWA?

Wanawake wengi wanagundua kuwa uke wao umebadilika pale mpenzi au mume anapoanza kulalamika au kupoteza hamu ya kufanya mapenzi.

Wengine wanashindwa kujua kwanini wapenzi wao au waume zao wamepoteza msisimko wa kufanya mapenzi kama zamani, hapa ndipo unapoonekana umuhimu wa wapenzi kushirikishana mambo mbalimbali katika mahusiano yao bila woga.

Dawa ya asili kwa ajili ya kurejesha uke mkubwa au uliolegea

.

Zifuatazo ni ishara za kujua kama huko chini kumelegea au kuwa kukubwa

1. Kama ukiingiza kidole chako ukeni inakuwa vigumu kukibana kwa uke wako

2. Unapokuwa bado hujapata hamu ya kufanya mapenzi,uke wako (tundu ambalo uume huuingia) linakuwa wazi yaani hupati pingamizi lolote ukiingiza kidole.

3. Unaweza kuingiza vidole vitatu au zaidi ndani ya uke wako bila kipingamizi kikubwa.

4. Unapata shida kubwa kufika kileleni.

Sababu kuu za uke kulegea na kuwa mkubwa

* Kuzaa mara kwa mara
* Uzito na unene uliozidi
* Kujifungua kwa upasuaji
* Kuinua vitu vizito mara kwa mara
* Mazoezi mazito ya mara kwa mara
* Misukosuko ya siku za nyuma katika nyonga
* Ukomo wa hedhi
* Maumivu sugu nyuma ya mgongo
* Kupiga chafya au kikohozi mara kwa mara
* Kufunga choo au kupata choo kigumu mara kwa mara

Mlolongo huu ni wa asili, hata hivyo bado kuna tumaini la kuweza kukirudisha kifaa chako katika hali ya kawaida kama msichana tena.

Baadhi ya wanawake hupendelea kufanya upasuaji maalumu ili kurudishia maumbile yao kuwa madogo jambo ambalo linaweza kuwa na athari kubwa kiafya hapo baadaye.

Ninayo dawa ya asili isiyo na madhara inayoweza kukusaidia kukaza tena kifaa chako bila kukuacha madhara yoyote hapo baadaye.

Dawa ya asili kwa ajili ya kurejesha uke mkubwa au uliolegea > Rosemeria
 • Rosemeria itakusaidia kujenga afya ya misuli na kuta za uke wako.
 • Inahamasisha uzalishwaji wa homoni ya estrogen ambayo ni homoni mhimu kwa afya ya via vya uzazi vya mwanamke.
 • Inaondoa bakteria na vijidudu nyemelezi ukeni na kukusaidia kuwa na harufu nzuri ukeni na kuwa na uke wenye afya.
 • Ina vitamini nyingi mhimu kwa afya ya uke zikiwemo vitamini A, B12, C, E, folic acid, choline na madini kama zinki, magnesiamu, kalsiamu na sodiamu vyote hivi ni mhimu katika kuhamasisha kukazika kwa uke kwa ujumla.
 • Dawa hii ya asili haina ugumu wowote katika matumizi yake.
 • Inatumika kama dawa bora ya kulainisha pia uke mkavu na kufanya tendo la ndoa lenye kuvutia sana.
 • Inao bakteria wazuri watokanao na mmea (plant based probiotics).  Unahitaji bakteria wazuri ili kuuacha uke katika afya nzuri muda wote.
 • Inatibu maambukizi mbalimbali katika uke.
 • Inatibu maambukizi ukeni yaliyosababishwa na fangasi.
 • Inaongeza hamu ya kushiriki tendo la ndoa

Kama unahitaji dawa hii, niachie ujumbe WhatsApp +255714800175

Na ukinunua dawa hii kutoka kwangu na siyo sehemu nyingine utapata faida hizi nne zifuatazo:

 1. Utakuwa rafiki yangu
 2. Nitahakikisha tatizo lako linaisha na halijirudii tena
 3. Nitakuelekeza juu ya vyakula mhimu kwa ajili ya kusaidia kutibu na kuzuia tatizo lako
 4. Nitakupa maelezo zaidi kuhusu matumizi
 5. Nitawajibika kwa lolote linaloweza kukutokea wakati unaendelea kutumia dawa
 6. Napatikana WhatsApp nyakati zote za mchana na unaweza kuchat na mimi mwenyewe mubashara (live) toka popote ulipo huhitaji kuonana na sekretari au msaidizi wangu kwanza.

Mjulishe rafiki yako kwenye twitter naye asome post hii kwa kubonyeza ujumbe ufuatao:

Dawa ya asili kwa ajili ya kurejesha uke mkubwa au uliolegea Click To Tweet

Tafadhali SHARE post hii kwa ajili ya wengine

Imesomwa mara 355

Fadhili Paulo

Naitwa Fadhili Paulo, ni Tabibu wa Tiba asili. Ofisi yangu inaitwa Victoria Home Remedy Ipo Sigara Yombo Vituka Temeke Dar Es Salaam. Kama unahitaji kuonana na mimi uso kwa uso weka miadi (appointment) kupitia WhatsApp +255714800175. Pia kama una semina au kongamano lolote na unahitaji mzungumzaji hasa kwa upande wa afya hususani tiba asili, tuwasiliane napatikana.

0 Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WhatsApp +255714800175