Dawa ya kuongeza nguvu za kiume, kuimarisha mbegu za kiume na kutibu saratani ya tezi dume

Published by Fadhili Paulo on

Dawa ya kuongeza nguvu za kiume, kuimarisha mbegu za kiume na kutibu saratani ya tezi dume

Dawa ya kuongeza nguvu za kiume, kuimarisha mbegu za kiume na kutibu saratani ya tezi dume – Msamitu

Msamitu ni mchanganyiko wa mimea na mitishamba mbalimbali ya asili.

Ni dawa nzuri sana katika kutibu tatizo la nguvu za kiume na pia inasaidia sana kwa wanaume wenye tatizo la nguvu za kiume hasa lililosababishwa na kujichua au kupiga punyeto kwa muda mrefu kwani inaimarisha sana mishipa ya uume.

Pia unaweza kuitumia hata kama unasumbuliwa na tatizo la kisukari au Shinikizo la juu la damu.

Msamitu inao uwezo mkubwa katika kuongeza hamu ya tendo la ndoa kwa wanaume hata wa umri mkubwa.

Ndiyo Msamitu ni dawa bora ya nguvu za kiume ambayo hakuna dawa nyingine ya kuifananisha nayo kwa uwezo wake wa kutibu tatizo la nguvu za kiume, kuwahi kufika kileleni, kuimarisha mbegu za uzazi na kutibu saratani ya tezi dume.

Vitu vifuatavyo vinafanya Msamitu kuwa dawa bora zaidi ya kuongeza nguvu za kiume, kuimarisha mbegu za kiume na kutibu saratani ya tezi dume mpaka sasa:

Msamitu

1. Msamitu inatibu tatizo la msongo wa mawazo (stress)

Mawazo na mfadhaiko huondoa mtiririko mzuri wa damu mwilini na kusababisha nguvu za mwili kupungua, nguvu za kiume kuwa chini na hata uume wenyewe unaweza kuwa legelege.

Kama una mfadhaiko wa akili (stress) ni vigumu sana wewe kuwa na nguvu za kiume.

Kama una msongo wa mawazo utawezaje kuwa na nguvu kitandani?

Hilo haliwezekani.

Ili uwe na nguvu za kiume unatakiwa usiwe na mawazo mawazo yoyote.

Uwe mtu uliyetulia kimwili, kiakili na kiroho.

You must be cool.

Chanzo namba 1 cha tatizo la nguvu za kiume na kuwahi kufika kileleni kwa wanaume karibu wote ni msongo wa mawazo (stress).

Jambo la kushangaza ni kuwa msamitu ni dawa bora ya kuondoa stress nzuri ya asili isiyo na madhara mengine mabaya.

Tafiti nyingi zimekuwa zikionyesha kuwa moja ya kisababishi kikubwa cha msongo wa mawazo (stress) ni kukosekana kwa viinilishe mhimu katika chakula.

Kukosekana huku kwa viinilishe mhimu katika chakula kunasababisha usawa usio sawa wa homoni mwilini (hormonal imbalance) jambo linalopelekea kutokea kwa msongo wa mawazo.

Msongo wa mawazo umeendelea kuwa tatizo kubwa kwa watu miaka ya sasa na wengi wao wakipatwa na tatizo la kukosa pia usingizi.

Hata hivyo, tatizo hilo linaweza kutibika kirahisi kwa kuongeza viinilishe sahihi kwenye mwili wako

Kwa bahati nzuri msamitu ina viinilishe vingi kuliko dawa nyingine yoyote ya asili uliowahi kuitumia au kuisikia ikiwa na viinilishe zaidi ya 120 ndani yake!

Msamitu ina kiasi cha kutosha cha vitamini A, B, C, E, Potasiamu, Kalsiamu, zinki na viinilishe vingine vingi mhimu kwa afya ya mwanaume.

Kwahiyo kama utatumia Msamitu kujitibu tatizo la nguvu za kiume na kuwahi kufika kileleni itakuwa ni vigumu kwako kupata tatizo la msongo wa mawazo.

Ndani ya msamitu kuna magnesiamu ambayo ni madini mhimu yanayotumika kama dawa ya kutuliza akili (Tranquillizer) na kutibu matatizo kama msongo wa mawazo, sononeko, huzuni, hamaki na matatizo mengine ya mvurugiko wa akili.

2. Msamitu inaongeza kinga ya mwili

Sasa kama kinga yako ya mwili haipo sawa je utapata wapi nguvu za kiume?

Kumbuka, ile hali ya kuonekana umezeeka au mwili wako kuonekana umechoka mara zote huwa kuna uhusiano wa moja kwa moja na kushuka kwa kinga yako ya mwili hali ambayo inauacha mwili wako kushambuliwa kirahisi na vijidudu nyemelezi na magonjwa mbalimbali.

Kama unataka kuwa na nguvu za kiume kila siku basi jifunze namna kinga yako ya mwili inavyoweza kuongezwa na kuimarishwa.

Sasa unaweza kuwa unajiuliza ni nini kinachoifanya dawa hii kuwa kitu cha thamani SANA katika kuimarisha kinga yako ya mwili na hivyo kukuongezea nguvu za kiume, kujikinga na vijidudu nyemelezi, homa na magonjwa mbalimbali?

Kwanza kabisa Msamitu una viinilishe vingi ndani yake ukiwa na zaidi ya viinilishe 120, una vitamini nyingi, madini na viondoa sumu mwilini tofauti tofauti zaidi ya 46!

Vitamini C iliyomo kwenye dawa hii ni kitu mhimu katika kurejesha kinga ya mwili kwa sababu ni vitamini inayofanya kazi ya kuripea seli za mwili na kinga ya mwili.

Zaidi sana vitamini C huimarisha ngozi ya mwili, nywele, fizi, macho na kuongeza nguvu ya jumla ya mwili kwa kuyataja machache mazuri ya vitamini C

Vitamini A ni moja ya vitamini zilizomo kwa wingi kwenye Msamitu na ni vitamini mhimu sana katika kuimarisha kinga ya mwili.

Vitamini A ni mhimu pia kwa watu wanaosumbuliwa na matatizo kama ya kuharisha, upungufu wa kinga mwilini, surua na malaria.

Vilevile kuna madini ya chuma (Iron) kwenye Msamitu na ni kitu mhimu katika mfumo wa kinga ya mwili ambayo hukuwezesha usipatwe na magonjwa na homa mara kwa mara.

Msamitu inaimarisha usawa wa himoglobini katika damu jambo ambalo matokeo yake ni kuimarika kwa kinga yako ya mwili na msukumo wako wa damu kwenda kwenye uume.

Wakati unatumia Msamitu itakufanya ujisikie vizuri, ujisikie mpya (fresh) na mwenye nguvu.

Upungufu wa nguvu za kiume ni matokeo ya lishe yenye viinilishe duni au hafifu jambo linalopelekea kuwa na kinga ya mwili isiyo na nguvu kupigana na magonjwa mbalimbali na hivyo mwanaume kuwa na uume mlegevu.

Unaporekebisha usawa huo usio sawa wa kinga yako ya mwili hutakawia kuona matokeo mazuri kwenye uwezo wako wa kushiriki tendo la ndoa kwa ufanisi zaidi.

Uwezo wa Msamitu kuyaweza yote hayo ni kutokana na kuwa na vitamini, madini mbalimbali na viondowaji sumu vingi ndani yake.

3. Msamitu ina madini na vitamini zote mhimu kwa ajili ya nguvu za kiume

Msamitu ina madini ya Zinki madini ambayo ni mhimu sana linapokuja suala la nguvu za kiume.

Pia ndani ya msamitu kuna protini ya kutosha.

Protini ni mhimu katika suala zima la nguvu ya mwili

Vitamini nyingine mhimu kwa ajili ya nguvu za kiume zilizomo kwenye Msamitu ni pamoja na vitamini B6, B12, D na E

4. Msamitu inatoa sumu mwilini

Chanzo kingine cha kupungua nguvu za kiume miaka ya sasa ni sumu nyingi mwilini sababu ya vilevi na vyakula tunavyokula kila siku.

Habari njema ni kuwa hakuna sumu inaweza kubaki salama mbele ya Msamitu.

Kwa hiyo ni vigumu mtu utumie Msamitu halafu bado uwe huna nguvu kitandani kama Simba.

5. Msamitu inaongeza msukumo wa damu mwilini

Msukumo mzuri wa damu usiozuiliwa kusafiri kwa uhuru wote sehemu mbalimbali za mwili ni mhimu katika kutibu tatizo la nguvu za kiume.

Kwa ajili hii watu hushauri kunywa maji mengi na kufanya mazoezi ya viungo kila siku.

Jambo la ajabu ni kuwa hiyo kazi ya kuongeza msukumo wa damu sehemu zote za mwili ni kazi inayoweza kufanywa vizuri na Msamitu.

Bado sijaona ni namna gani Msamitu itashindwa kukutibu tatizo lako la nguvu za kiume na kuwahi kufika kileleleni.

6. Msamitu ina kiasi kingi cha magnesium

Moja ya madini ambayo ni mhimu sana ili kuwa na afya bora ya mbegu za mwanaume ni magnesium.

Magnesium ni madini ambayo ni mhimu sana katika kudhibiti msongo wa mawazo na yana uwezo pia wa kudhibiti vizuri sana shinikizo la damu na kuwasaidia wanaume kupata usingizi mzuri.

Kama tujuavyo kuepuka msongo wa mawazo (stress) ni njia moja nzuri sana ya kuwa na mbegu za kiume zenye afya na ubora wa hali ya juu.

7. Msamitu ni chanzo kizuri cha omega-3

Ili kuzalisha mbegu zenye ubora wa hali ya juu wanaume wanahitaji mafuta mazuri yenye Omega 3 ambayo hupatikana pia kwa baadhi ya samaki hasa samaki ajulikanaye kama samoni (salmon kwa kiingereza) ni samaki mkubwa mwenye mnofu mwekundu.

Lakini unafahamu pia kwamba unaweza kupata Omega 3 nzuri zaidi kwa kutumia Msamitu?.

Omega 3 siyo tu itakusaidia kuzalisha mbegu nzuri bali pia itakusaidia kuziweka sawa homoni zako na kuweka afya nzuri ya mwili wote kwa ujumla.

8. Msamitu ina Madini ya Zinki

Kama tujuavyo madini ya zinki huongeza sana afya ya uzazi hasa kwa wanaume na tunaweza kuyapata madini haya mhimu kupitia Msamitu.

Kiasi cha kutosha cha madini ya zinki ndiyo kitu mhimu sana ili kuwa na mbegu za kiume zenye afya.

Hakika afya ya uzazi ya mwanaume itaimarika sana kama matokeo ya madini haya.

9. Msamitu inaimarisha afya ya tezi dume

Afya ya tezidume na ubora wa mbegu ni vitu vinavyohusiana moja kwa moja.

Msamitu inasaidia mwanaume kuwa na afya nzuri ya tezidume zake na hivyo kuwa na mbegu nzuri mhimu kwa ajili ya uzazi.

Lipo tatizo la kiafya kwa mwanaume ambapo tezi dume zake moja au zote mbili zinaongezeka ukubwa tofauti na umbile lake la kawaida.

Msamitu inasaidia kuwapa wanaume tezidume zenye afya nzuri, inazuia na kutibu saratani ya tezi dume pia msamitu inaweza kumsaidia mwanaume mwenye matatizo ya kiafya kwenye kibofu cha mkojo.

10. Msamitu inaongeza pia ujazo wa mbegu za mwanaume

Msamitu siyo kwamba inasaidia tu kuboresha nguvu za kiume kwa wanaume bali pia husaidia kuongeza ujazo (sperm count) wa mbegu hizo na ubora wake.

Kazi hii hasa huwezeshwa na msamitu kutokana na kuwa na kiasi cha kutosha cha protini, omega 3, zinki, magnesium, na vitamini E ndani yake.

Hivyo ni wazi lazima utaihitaji dawa hii kama wewe ni mwanaume unayejiandaa kupata mtoto.

11. Msamitu inasaida kuongeza kasi ya mbegu za kiume

Mbegu bora za kiume zinahitajika pia ziwe na uwezo wa kusafiri na kukimbia kwa kasi inayohitajika ili kuvifikia via vya uzazi vya mwanamke na yai tayari kwa kurutubishwa.

Bila mbegu kuwa na uwezo huu wa kukimbia ni ngumu kwa mbegu hizo kuogelea, kulifikia na kulirutubisha yai la mwanamke.

Katika kesi kama hii msamitu na madini yake mhimu, protini na vitamini mbalimbali utakusaidia kuboresha spidi au kasi ya kukimbia ya mbegu zako (sperm motility).

12. Msamitu inaongeza ujazo wa mbegu

Ukiacha ubora wa mbegu (quality), wingi wa mbegu (sperm count), na uwezo wake wa kukimbia (sperm motility), wanaume wanahitaji pia kiasi fulani cha mbegu (zisiwe chini ya milioni 20).

Ndiyo kiasi hicho cha wingi wa mbegu ni mhimu na kinahitajika ili kuziwezesha mbegu hizo kuweza kubeba na kusafirisha kirahisi mbegu za uzazi za mwanaume kwenda kwenye via vya uzazi vya mwanamke na kulifikia yai kwa ajili ya utungishaji wa mimba.

Viinilishe vilivyomo kwenye Msamitu vinauwezesha mfumo wa uzazi wa mwanume kutengeneza mbegu za kutosha na zenye ubora unaohitajika ili kutungisha ujauzito.

Msamitu ni mchanganyiko wa mimea na mitishamba mbalimbali ya asili.

Ni dawa nzuri sana katika kutibu tatizo la nguvu za kiume na pia inasaidia sana kwa wanaume wenye tatizo la nguvu za kiume hasa lililosababishwa na kujichua au kupiga punyeto kwa muda mrefu kwani inaimarisha sana mishipa ya uume.

Jaribu Msamitu na uniletee mrejesho

Kazi inabaki kuwa kwako tu kuanzia sasa …

Naitwa Fadhili Paulo, ni Tabibu wa Tiba asili. Ninayo ofisi yangu binafsi Jijini Dar Es Salaam. Lakini nafanya pia kazi kwa njia ya mtandao.

Kama unahitaji Msamitu kwa ajili ya kuimarisha nguvu za kiume, kuongeza nguvu za kiume, kutibu madhara yatokanayo na punyeto, kuimarisha afya ya mbegu za kiume au kutibu na kuzuia saratani ya tezi dume niachie tu ujumbe WhatsApp +255714800175.

Ofisi yangu inaitwa TUMAINI HERBAL LIFE, Ipo Kibugumo Mji Mwema Kigamboni.

Natuma pia popote ulipo nje ya Dar, tuwasiliane kwanza WhatsApp.

Tafadhali SHARE post hii kwa ajili ya wengine.


2 Comments

Henry Aswani · 06/10/2021 at 4:27 pm

Mimi niko Kenya na nimehitaji sana hii dawa, Mimi pamoja na mke wangu.

    Fadhili Paulo · 13/10/2021 at 2:58 pm

    Henry; Tuwasiliane WhatsApp +255714800175

Leave a Reply

Avatar placeholder

Your email address will not be published.

WhatsApp WhatsApp +255714800175