Dawa ya saratani ya tezidume

Published by Fadhili Paulo on

Dawa ya saratani ya tezidume

Tezi ya prostate ni tezi yenye umbile la donati, iliyoko chini ya kibofu cha mkojo.

Tezi hii huzungukwa na  mirija  ya mkojo na  uhusika uzalishaji wa maji maji yanayohusika na urutubishaji na usafirishaji wa mbegu za kiume (semen).

Mabadiliko ya kimaumbile katika tezi dume kama; uvimbe au ongezeko la ukubwa  huleta  hitilafu katika mfumo mzima wa mkojo kutokana na ukaribu wa maumbile hayo.

Uvimbe katika tezi dume husukuma  mirija ya mkojo kwa kuibana na kufanya mkojo upite kwa shida, ukwame au kuchuruzika bila kukusidia. Hali hii  humpelekea mgojwa uhitaji wa kutumia bafu mara kwa mara.

Zaidi huwa vigumu kwa mgojwa  kuzuia mkojo usichuruzika  au kukwama . (Maumbile ya mwili, yamekadiriwa kulingana na nafasi iliyopo, hivyo umbile moja linapoongezeka ukubwa kinyume cha taratibu huleta hitilafu kwa mfumo mwingine jirani).

BAADHI  YA MATATIZO YA TEZI YA  PROSTATE

Prostate Cancer ( Saratani ya tezi ya Prostate ) Saratani ya prostate ni saratani inayowashambulia  wanaume hasa wa umri wa miaka 50 na kuendelea.

Saratani hii huweza kutibika kwa mionzi (radiation), upasuaji, chemotherapy au hormonal therapy.

Prostatitis (Uvimbe wa tezi ya Prostate); Hii ni hali ya uvimbe wa tezi ya prostate au eneo jirani inayosababishwa na vimelea maambukizi ( bacteria infection).

Hali hii  hutibika  kwa dawa za Antibiotics  chini ya mwongozo wa daktari.

Enlarge Prostate  au Benign Prostate Hypertrophy (BPH) Ongezeko la ukubwa wa tezi ya prostate  Hali hii  hutokea kwa wanaume wengi hasa waliopita  umri wa miaka 50 na kundelea na huwa  chanzo cha kusababisha hitilafu katika mfumo mkojo.

Ongezeko la size ya umbile la tezi ya prostate hufinya njia ya mkojo na hupelekea kizuizi katika mrija na kibofu cha mkojo (Chronic Bladder Obstruction) .

Hali hii hutibika kwa dawa au upasuaji

 Dalili za ongezeko la ukubwa wa tezi ya prostate;

  • Maambukizi ya mfumo wa mkojo mara kwa mara ( Urinary Tract Infection,UTI);
  • Mabaki ya mkojo kwenye kibofu au mkojo uliosimama kwa muda mrefu  ni chanzo cha maambukizi ya mfumo wa mkojo
  • Mawe katika njia ya mkojo
  • Mkojo wenye matone ya damu
  • Kukojoa mara kwa mara (mabaki ya mkojo katika kibofu hupelekea mtu kuhisi anahitaji kukojoa mara kwa mara japo mkojo unaopatikana ni kidogo sana)
  • Mkojo unaosita Mkojo unaoshindikana kuzuia wa haraka na ghafla Kuvuja kwa mkojo kidogo kidogo
  • Mkojo unaokatikakatika
  • Mkojo wa mara kwa mara usiku (Nocturia)
  • Mkojo unaokulazimu kujikakamua

Kama unatafuta dawa ya asili nzuri ya uhakika kwa ajili ya saratani ya tezi dume niachie tu ujumbe WhatsApp +255714800175. Maelezo yake zaidi unaweza kusoma kwa kubonyeza hapa

Tafadhali SHARE post hii na wengine Uwapendao

Categories: TeziDume

0 Comments

Leave a Reply

Avatar placeholder

Your email address will not be published.

error: Acha uvivu!
WhatsApp WhatsApp +255714800175