Juisi ya Majani freshi ya mstafeli ni dawa ya saratani ya tezi dume kila mtu amekuwa akiizungumzia

Majani ya mti wa mstafeli yamekuwa yakitumika na watu kwenye misitu ya amazon kwa maelfu ya miaka iliyopita kutibu karibu kila ugonjwa.

Ndiyo hii inaweza kuwa ni habari mpya kwako hasa kama wewe siyo mfuatiliaji wa mambo haya ya tiba asili kwa ujumla lakini sasa habari unayo.

Mti huu wa mstaferi ndiyo tiba asili pekee inazungumziwa sana na watu wote duniani kwa sasa kuhusu maajabu yake ya kutibu saratani mbalimbali ikiwemo saratani ya tezi dume.

Na hiyo yote ni kwa sababu nzuri tu ….

Juisi ya Majani ya mti wa mstafeli inaziua seli za saratani mara 10000 zaidi ya mionzi.

Na jambo la ajabu zaidi ni kuwa dawa hii haizidhuru seli hata kidogo tofauti na tiba ya mionzi ambayo inaziua mpaka seli nyingine zenye afya wakati wa matibabu yake.

Yaani dawa hii Juisi ya majani ya mstafeli huziwinda seli za kansa na kuziua huku ikiacha seli zako zikiwa na afya bora zaidi.

Kama haitoshi Juisi ya majani ya mstafeli inaongeza pia idadi na uwingi wa seli zako nyeupe za damu na kuongeza kinga ya mwili kwa haraka sana.

Juisi ya tunda la mti huu hutumika kutibu Ukoma (leprosy)

Juisi ya Majani haya imethibitika siyo kutibu saratani au kansa ya tezi dume tu, bali inatibu pia aina nyingine za saratani zaidi ya 12 ambazo ni pamoja na:

1. Saratani ya damu
2. Saratani ya matiti
3. Saratani ya mlango wa kizazi
4. Saratani ya mapafu
5. Saratani ya ini
6. Saratani ya mdomo
7. Saratani ya kwenye ulimi
8. Saratani ya kongosho
9. Saratani ya kwenye mji wa uzazi
10. Na Saratani nyingine nyingi

Majani ya mstaferi 

Juisi ya Majani ya mstafeli ni dawa nzuri dhidi ya bakteria na fangasi mbalimbali mwilini na hivyo ni kinga dhidi ya maambukizi ya kila namna.

Dawa kubwa ya saratani ambayo watu wengi hawaifahamu …

Kuna wakati namtafakari Mungu na nashindwa kupata majibu kwamba kuna wakati watu wanateseka sana lakini bila sababu yoyote maalumu.

Kile nitakushangaza kidogo hapa ni kuwa uwezo huu wa majani ya mstafeli kutibu kansa uligundulika tangu mwaka 1976 na taasisi ya saratani ya Marekani lakini matokeo yake hayajawahi kuwekwa hadharani kwa watu!

Kwanini hawakutaka kutangaza kwa watu?

Hakuna mtu anayejuwa kwa hakika sababu ni nini iliyowafanya wabaki na matokeo hayo bila kutangaza kwa watu.

Hata hivyo wengi wanaamini ni kutokana na vipimo na matibabu ya kisasa ya ugonjwa huu kuwa ni biashara kubwa kwa viwanda vya madawa kote duniani.

Pamoja na hayo Mungu yupo na hatatuacha watu wote tuangamie. Wachache atatuokoa tu kwa namna yoyote. Hivyo watu wengi tayari wameanza kugeuka upande huu wa pili wa tiba za asili na tayari wanaona faida zake.

Majani ya mstaferi yanayotumika kutengeneza juisi ya kutibu saratani

Inatumikaje hii juisi ya majani ya mstafeli kama dawa?

Dozi yake ili ifanye kazi vizuri kunywa kikombe kimoja (robo lita) kutwa mara 2 kila nusu saa kabla ya chakula cha asubuhi na cha jioni kwa mwezi mmoja mpaka miwili.

Dawa hii inahitaji kuhifadhiwa katika friji ili siharibike.

Ni dawa nzuri kwa kansa karibu zote.

Dawa hii isitumike kwa watu wafuatao:

1. Wenye shinikizo la chini la damu
2. Wanaotumia dawa za hospitali za kutibu msongo wa mawazo (stress/depression)
3. Wajawazito
4. Watoto chini ya miaka miwili
5. Isitumike kwa kipindi kirefu mfululizo, iwe ni miezi miwili au mitatu na si zaidi ya hapo kwa mfululizo
6. Zingatia sana usafi wakati wa kuandaa juisi yake
7. Unaweza ukapatwa na uchovu au na hali ya kutojisikia vizuri au ukaharisha siku mbili au tatu za mwanzo wakati unaanza kuitumia hii dawa hali ambayo baadaye hutoweka

Kama unahitaji juisi freshi ya majani ya mstafeli tuwasiliane WhatsApp +255714800175.

Naweza pia kukuletea ulipo ndani ya Dar naweza pia kukutumia popote ulipo nje ya Dar

Pia kama UNA USHUHUDA WOWOTE KUHUSU DAWA HII basi usisite kuusema hapa kwenye comment ili kusaidia wengine zaidi.

Na kama umetumia dawa hii na ukapona na ulinunua kwangu, ukiwa tayari kuniletea ushuhuda nipo tayari kukurudishia robo ya hela uliyonunulia.

Tafadhali SHARE post hii kwa ajili ya wengine.

Naitwa Fadhili Paulo, ni Tabibu wa Tiba Asili na ni mTanzania.

Ofisi yangu inaitwa Victoria Home Remedy ipo Sigara Yombo Vituka Temeke Dar Es Salaam.

Jiunge na mimi na watu wengine zaidi ya 94000 kwenye ukurasa wangu wa facebook kwa kubonyeza hapa

Imehaririwa mara ya mwisho

Niulize swali nikujibu

Categories: TeziDume

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WhatsApp Chat na mimi kwenye WhatsApp