Faida 20 za mafuta ya mbegu za mlonge

Published by Fadhili Paulo on

Last Updated on 31/05/2021 by Fadhili Paulo

Faida 20 za mafuta ya mbegu za mlonge

Wakati sehemu nyingi za mti wa mlonge zinasemwa kuwa na faida nyingi kiafya, hata hivyo mbegu zake ambazo ndizo hutumika kutengeneza mafuta ya mbegu za mlonge ndiyo zenye faida nyingi zaidi kuliko sehemu nyingine yoyote ya mti wa mlonge.

Mafuta ya mlonge ni mafuta yatokanayo na mbegu za mti wa mlonge ambayo yameandaliwa kitaalamu kwa ajili ya matumizi ya kibinaadamu.

Mafuya haya unaweza ukayatumia kwa kupikia kama unavyotumia maguta ya korie, samli, alizeti au mafuta mengine yeyote, tofuati yake ipo kwenye gharama, mafuta haya yana gharama kubwa sana ukilinganisha na mafuta mengine, ukiweza kumiliki lita moja kwa ajili ya kupikia ujifunge mkanda kweli.

.

Faida 20 za mafuta ya mbegu za mlonge

1. Mafuta ya mbegu za mlonge hutumika kama kiuaji sumu na pia hutibu uvimbe.

2. Hutibu maumivu ya kwenye mishipa, baridi yabisi, gauti, kukamaa mishipa, magonjwa ya ngono na majipu.

3. Mafuta ya mbegu za mlonge husaidia watu wanaoshindwa kuzalisha mkojo.

4. Hutumika pia kumtuliza au kumfanya mtu mwenye kifafa atulie (a-‘relax’).

5. Mafuta ya mbegu za mlonge ni kinga dhidi ya vijidudu (bakteria) wasababishao magonjwa na kuathiri ngozi ikiwemo fangasi.

6. Mafuta ya mbegu za mlonge husaidia kusafisha mwili na damu

7. Mafuta ya mbegu za mlonge pia huongeza kwa kiasi kingi kinga ya mwili (CD4), Kama una tatizo la kinga ya mwili wako kushuka basi tumia Mafuta ya mbegu za mlonge kwa mwezi mmoja mpaka mitatu na kinga yako itaimarika sana.

8. Mafuta ya mbegu za mlonge husaidia kutibu kansa mbalimbali

9. Mafuta ya mbegu za mlonge huimarisha afya ya mifupa

10. Mafuta ya mbegu za mlonge huzuia matatizo kwenye mfumo wa upumuwaji

11. Mafuta ya mbegu za mlonge yanatibu pumu

12. Mafuta ya mbegu za mlonge husaidia kuponya majeraha

13. Mafuta ya mbegu za mlonge ni dawa nzuri ya shinikizo la juu la damu

14. Huweka sawa lehemu (cholesterol)

15. Huongeza uwezo wa macho kuona

16. Husaidia kuongeza damu

17. Mafuta ya mbegu za mlonge ni dawa bora ya nguvu za kiume pia huongeza hamu ya tendo la ndoa kwa wanawake

18. Mafuta ya mbegu za mlonge yanapunguza uzito wa mwili

19. Ni dawa nzuri ya kutibu Malaria

20. Mafuta ya mbegu za mlonge huotesha na kukuza nywele

Namna ya kutumia mafuta ya mbegu za mlonge:

*Kunywa kijiko kidogo kimoja cha chai kutwa mara 1 kila siku.

*Matatizo ya ngozi pakaa moja kwa moja juu ya ngozi yako kila baada ya kuoga.

*Unaweza kutumia mafuta haya hata kama huumwi chochote

*Mhimu: Mama mjamzito asitumie mafuta ya mbegu za mlonge

Ikiwa unahitaji mafuta halisi ya mbegu za mlonge niachie tu ujumbe WhatsApp +255714800175

Fadhili Paulo
(Visited 77 times, 1 visits today)

Fadhili Paulo

Naitwa Fadhili Paulo, ni Tabibu wa Tiba asili. Ninayo ofisi yangu binafsi Jijini Dar Es Salaam. lakini nafanya pia kazi kwa njia ya mtandao. Ofisi yangu inaitwa TUMAINI HERBAL LIFE, Ipo Kibugumo Mji Mwema Kigamboni Kama unahitaji kuonana na mimi uso kwa uso weka miadi (appointment) kupitia WhatsApp +255714800175 Nifuate kwenye > Twitter

0 Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published.

WhatsApp WhatsApp +255714800175