Kila kitu kuhusu nguvu za kiume

Published by Fadhili Paulo on

Kila kitu kuhusu nguvu za kiume

Hiki ni kitabu kinachoeleza kila unalohitaji kufahamu kuhusu nguvu za kiume

Kila kitu kuhusu nguvu za kiume 1

Kwenye hiki kitabu utajifunza vitu vifuatavyo;

 1. Nguvu za kiume ni nini
 2. Nini kinasababisha kushuka au kupungua nguvu za kiume
 3. Vyakula vinavyoongeza nguvu za kiume
 4. Mazoezi ya viungo yanayoongeza nguvu za kiume
 5. Dalili na ishara za mwanamke anayefika kileleni (Utajuwaje kama mke au mpenzi wako amefika kileleni)
 6. Namna wanawake wanavyochangia tatizo la kushuka kwa nguvu za kiume kwa wenza wao
 7. Dawa ya asili nzuri kwa kuongeza nguvu za kiume

Kitabu kina ukubwa wa kurasa 50 na mada zote zimeelezwa kwa kina zaidi.

Namna ya kukipata hiki kitabu; Kitabu kinatolewa BURE, hulipii hata shilingi 100 na kipo kwenye mfumo wa kieletroniki (PDF) na unaweza kukisoma kupitia simu yoyote janja (smartphone) au Kompyuta

Ili kukipata bonyeza neno DOWNLOAD NOW hapa chini na uendelea kukisoma

Download Now

Fadhili Paulo
Imesomwa mara 1,487

Fadhili Paulo

Naitwa Fadhili Paulo, ni Tabibu wa Tiba asili. Ofisi yangu inaitwa TUMAINI ALL NATURAL STORE, ipo Mwanagati Kitunda Ilala Dar Es Salaam. Kama unahitaji kuonana na mimi uso kwa uso weka miadi (appointment) kwa kubonyeza HAPA Pia napenda kukujulisha kuwa sina wakala au tawi mahali popote duniani.

2 Comments

LM · 05/06/2019 at 11:01 am

Mkuu nasumbuliwa na tatizo sugu la mzunguko wa damu kuwa mdogo pamoja na damu kuwa nzito. Naomba msaad juu ya hilo

  Fadhili Paulo · 05/20/2019 at 3:28 am

  Tuwasiliane zaidi WhatsApp +255714800175

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *