Njia za uzazi wa mpango ndiyo chanzo kushuka umri na saratani ya matiti 1

Njia za uzazi wa mpango ndiyo chanzo kushuka umri na saratani ya matiti

Njia za uzazi wa mpango ndiyo chanzo kushuka umri na saratani ya matiti Njia uzazi wa mpango chanzo kushuka umri saratani ya matiti – Daktari Aveline Kitomary- Dar es salaam DAKTARI bingwa wa saratani kutoka Taasisi ya Saratani ya Ocean Road (ORCI), Heleni Makwani, amesema moja ya sababu za umri wa wanawake wanaougua saratani ya matiti kuendelea kushuka, ni matumizi… Soma zaidi »

faida za siagi ya karanga

Faida 12 za Siagi ya Karanga

Faida 12 za Siagi ya Karanga Siagi ya Karanga ni moja ya vitu mhimu jikoni katika nyumba nyingi siku hizi, inapendwa na kila mtu watoto na watu wazima. Mimi napenda zaidi kuitumia kwenye mkate lakini pia unaweza kuongeza siagi ya karanga kwenye karibu kila mboga ya majani, samaki na kadharika. Ukiacha radha yake nzuri na tamu, siagi ya karanga ni… Soma zaidi »

Magonjwa hatari 18 yanayotibika kwa kutumia mbegu za maboga

Magonjwa hatari 18 yanayotibika kwa kutumia mbegu za maboga

MAGONJWA HATARI 18 YANAYOTIBIKA KWA KUTUMIA MBEGU ZA MABOGA Mbegu za maboga zina protini na madini ya kutosha na ya mhimu zaidi mwilini kama madini ya zinki, kopa, maginizia, manganizi na chuma. Mbegu za maboga ni tamu na zinaweza kutafunwa nyakati zozote na mahali popote hasa kwa wapenda kutafuna-tafuna kama mimi. Tafiti mbalimbali zimethibitisha pasipo na shaka kuwa mbegu za… Soma zaidi »

faida za mayai kiafya

Faida 10 za mayai kiafya

FAIDA 10 ZA MAYAI KIAFYA Mayai ni moja ya vyakula vichache ambavyo naweza kuviweka katika kundi la vyakula ‘bora zaidi’ kuliko vyote. Mayai yamejaa viinilishe mhimu na vingi kati ya hivyo viinilishe havipatikani kirahisi katika vyakula vingi vya kisasa. Zifuatazo ni faida 10 za kiafya zitokanazo na kula mayai kama zilivyothibitishwa katika tafiti nyingi duniani: 1. Mayai yana virutubisho vya… Soma zaidi »

faida za mafuta ya nazi

Faida 39 zitakazokushangaza za mafuta ya Nazi kiafya

FAIDA 39 ZITAKAZOKUSHANGAZA ZA MAFUTA YA NAZI KIAFYA Zaidi ya tafiti 1500 zimethibitisha kuwa mafuta ya nazi ndiyo mafuta bora zaidi chini ya jua. Hili halishangazi sababu karibu kila mtu anajua mafuta ya nazi ni dhahabu kwa afya ya mwili na ngozi kwa ujumla. Bidhaa nyingi za vipodozi ukizichunguza utagundua huongezwa pia mafuta ya nazi ndani yake. Ili upate faida… Soma zaidi »

Hii ndiyo tiba kwa kutumia masaji ambayo wengi hawaifahamu 3

Hii ndiyo tiba kwa kutumia masaji ambayo wengi hawaifahamu

HII NDIYO TIBA KWA KUTUMIA MASAJI AMBAYO WENGI HAWAIFAHAMU Wakati tunakabiliwa na mfadhaiko mkubwa kiakili na kimwili wa muda mrefu wengi wetu huwa tunatafuta msaada. Hata hivyo moja ya tiba ya matatizo haya ambayo wengi hawaijuwi ni tiba kwa kutumia masaji, tiba ambayo ina uhakika wa uponyaji kwa karibu ya asilimia 100 bila kutumia dawa yoyote na bila madhara yoyote…. Soma zaidi »

Kitunguu swaumu

Kitunguu swaumu hutibu magonjwa 30

Mungu anaposema watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa hamaanishi maarifa ya kutengeneza au kuendesha ndege, ni maarifa ya kawaida tu katika maisha yetu ya kila siku ambayo yanaweza kubadilisha afya na ustawi wetu. Moja ya mmea ambao umependelewa sana na Mungu kwakuwa na viinilishe vingi na mhimu sana kwa ajili ya kuimarisha kinga ya mwili ni kitunguu swaumu. Kitunguu swaumu… Soma zaidi »

Dawa ya vidonda 4

Dawa ya vidonda

Dawa ya vidonda Kama umekuwa ukisumbuliwa na tatizo la vidonda iwe ni miguuni, mikononi au sehemu nyingine yoyote ya mwili dawa yake ni rahisi kama kumsukuma mlevi Pakaa (mimina kwenye kidonda) mafuta orijino ya nazi mara mbili mpaka tatu kwa siku na kidonda chako kitaanza kupona na kufunga siku chache tangu uanze kutumia dawa Mafuta original kabisa ya nazi yale… Soma zaidi »

Jinsi ya kuimarisha afya ya mfumo wako wa mmeng’enyo wa chakula 5

Jinsi ya kuimarisha afya ya mfumo wako wa mmeng’enyo wa chakula

Jinsi ya kuimarisha afya ya mfumo wako wa mmeng’enyo wa chakula Ili kuimarisha mfumo wako wa mmeng’enyo wa chakula unahitaji kula zaidi vyakula vyenye bakteria wazuri. Tumboni kwako kuna bakteria wa aina mbili, bakteria wazuri na bakteria wabaya na kwa bahati mbaya mwili au tumbo lako linawahitaji bakteria wote wawili yaani bakteria wazuri na bakteria wabaya ili uendelee kuishi. Hata… Soma zaidi »

Chanzo cha saratani ya matiti 6

Chanzo cha saratani ya matiti

Chanzo cha saratani ya matiti Hakuna kitu kingine kizuri kama mwili wa mwanamke kwakuwa unaweza kuleta kiumbe binadamu kingine. Mwili wa mwanamke unazo ovari ambazo hutengeneza mayai na homoni maalumu ambazo hudhibiti mwili wake wakati wa ujauzito kuanzia wakati yai linaporutubishwa mpaka mwishoni mwa wastani wa miezi tisa (wakati wa kujifunguwa). Mfumo huu maalumu huanza kazi mara mwanamke anapoanza mzunguko… Soma zaidi »

Ulaji wa chipsi umetajwa kuwa hatari kwa afya ya binadamu 7

Ulaji wa chipsi umetajwa kuwa hatari kwa afya ya binadamu

ULAJI WA CHIPS umetajwa kuwa HATARI kwa afya ya Binadamu. ULAJI WA CHIPS umetajwa kuwa HATARI kwa afya ya Binadamu, kwani husababisha maradhi mengi yasiyo ya kuambukiza hasa FIGO, MOYO , SHINIKIZO LA DAMU,KISUKARI NA SARATANI za aina zote. SAHANI moja ya CHIPS kavu huwa na MAFUTA yanayokaribia NUSU kikombe cha CHAI ambayo ni sawa na ujazo wa mililita 250…. Soma zaidi »

Namna rahisi ya kuzuia na kudhibiti magonjwa ya virusi 9

Namna rahisi ya kuzuia na kudhibiti magonjwa ya virusi

Namna rahisi ya kuzuia na kudhibiti magonjwa ya virusi Mimi sijuwi ni virusi vya ugonjwa upi vimekuwa vikikusumbuwa au unasumbuliwa navyo bali katika makala hii nitakuonyesha namna rahisi kabisa ya kuzuia au kudhibiti ugonjwa wowote utokanao na virusi. ILI KUDHIBITI VIRUSI Tafuta namna unaweza kupunguza au kuondoa sumu katika mwili wako na hakuna kirusi wala ugonjwa wowote wa virusi utakusumbua… Soma zaidi »

Chanzo kikuu cha maumivu mbalimbali mwilini 10

Chanzo kikuu cha maumivu mbalimbali mwilini

CHANZO KIKUU CHA MAUMIVU MBALIMBALI MWILINI Ishara za mwanzo kabisa za asidi kuunguzwa ndani katikati ya seli au kwa maneno mengine asidi kuzidi kwenye seli za mwili na madhara ya kijenetiki ambayo yanaweza kujionesha, ni maumivu mbalimbali yanayozidi kujitokeza katika mwili. Kutegemea na kiasi cha asidi mwilini na namna na eneo lenyewe asidi ilipojijenga maumivu maalumu ya mwili hujitokeza. Maumivu… Soma zaidi »

Ukweli kuhusu chumvi na maajabu yake 12

Ukweli kuhusu chumvi na maajabu yake

  Ukweli kuhusu Chumvi na Maajabu yake Stori kuhusu chumvi: Tunaambiwa tunapata chumvi nyingi kwenye vyakula vyetu siku hizi. Tunaambiwa Chumvi nyingi itasababisha shinikizo la damu, uvimbe, matatizo kwenye kibofu cha mkojo, matatizo ya moyo na orodha inaendelea. Tunaambiwa chakula chenye chumvi kidogo au kisicho na chumvi kabisa ndicho bora kwa afya zetu. Ukweli kuhusu chumvi: Mpaka zama za pili… Soma zaidi »

kirusi cha corona

Mwenendo wa virusi vya corona dunia nzima

Mwenendo wa virusi vya corona dunia nzima Corona Virus Daily Updates Idadi ya waliopimwa na kuthibitika na virusi vya corona (cases) Idadi ya waliokufa (Deaths) Idadi ya waliopona dunia nzima (Recovered) Wenye hali mbaya zaidi (Critical) Takwimu za mwisho za kila siku kidunia na Tanzania Tafuta jina la nchi yako na upate takwimu zake pia zipo takwimu kwa nchi zingine… Soma zaidi »

kirusi cha corona

Fahamu kuhusu kirusi cha korona

Fahamu kuhusu kirusi cha korona Kirusi cha Korona Kirusi cha korona (Coronavirus), ni kimelea chenye gamba na kutunza vinasaba vyake katika malighafi za RNA. Corona virus nikisababishi cha magonjwa mbalimbali na vimelea hivyo vina makabila mbalimbali. COVID-19 Corona Virus Disease 2019 yaani; Ugonjwa utokanao na virusi vya korona vilivyogunduliwa mwaka 2019 Historia ya Virusi vya Corona Kirusi cha korona (coronavirus)… Soma zaidi »

Namna mfumo wa kinga unavyopambana na virusi vya Corona 15

Namna mfumo wa kinga unavyopambana na virusi vya Corona

Namna mfumo wa kinga unavyopambana na virusi vya Corona CoronaVirus: Wanasayansi nchini Australia wanaonyesha namna mfumo wa kinga unavyopambana na virusi. Wanasayansi nchini Australia wamesema kuwa wamegundua namna gani mfumo wa kinga mwilini unavyoweza kupambana na virusi vya Covid-19. Utafiti wao, uliochapishwa kwenye jarida la Nature siku ya Jumanne, unaonesha kuwa watu wanapona maambukizi ya virusi, kama ambavyo wanavyopona mafua…. Soma zaidi »

Dawa ya kuondoa ganzi mwilini 16

Dawa ya kuondoa ganzi mwilini

Dawa ya kuondoa ganzi mwilini Ganzi mikononi na miguuni inamaanisha kukosekana kwa fahamu katika sehemu hizo. Hisia ndiyo inakosekana sababu kunakuwa hakuna damu na neva zinakosa mawasiliano ya moja kwa moja na ubongo. Ni jambo la kawaida linalowapata watu wengi sana miaka ya hivi karibuni. Kinachosababisha ganzi mwilini ni pamoja na: 1. Mwili kuwa na sumu au asidi nyingi 2…. Soma zaidi »

Dawa mbadala 10 zinazotibu maumivu ya kichwa

Dawa za asili 10 zinazotibu maumivu ya kichwa

DAWA ZA ASILI 10 ZINAZOTIBU MAUMIVU YA KICHWA Je unasumbuliwa na maumivu ya kichwa kila mara? Inakupelekea kichwa kuuma na kujisikia kuchoka sana? Na je unahitaji kujua namna unavyoweza kuondoa maumivu haya haraka kadri inavyowezekana? Kama jibu lako ni ndiyo basi endelea kusoma makala hii hadi mwisho ambapo naenda kukuonyesha dawa za asili 10 unazoweza kuzitumia kujitibu na maumivu yako… Soma zaidi »

Dawa za asili 13 zinazotibu pumu 18

Dawa za asili 13 zinazotibu pumu

DAWA ZA ASILI 13 ZINAZOTIBU PUMU Katika somo hili nitakufundisha dawa za ASILI 14 zinazoweza kuzuia au kutibu kabisa tatizo la pumu mwilini. Chagua unayoona ni rahisi kuipata na uitumie. Unaweza kutumia dawa 2 au 3 kwa pamoja. Endelea kusoma …. Vitu vinavyosababisha au kuamsha Pumu Aleji/mzio Tumbaku/sigara Sababu za kimazingira kama uharibifu wa hewa sababu ya viwanda Uzito uliozidi… Soma zaidi »

Dawa za Asili 10 zinazotibu Kikohozi

Dawa za Asili 10 zinazotibu Kikohozi

Dawa za Asili 10 zinazotibu Kikohozi Kikohozi ni moja ya ugonjwa ambao huwapata watu karibu wote. Kunapotokea kuzibika au muwasho kwenye koo lako ubongo hutambua kuwa kuna wavamizi kutoka nje na hivyo huuamrisha mwili wako kukohoa ili kuondoa hao wavamizi. Kukohoa pia kunaweza kuwa ni matokeo ya maambukizi ya virusi, homa, kuvuta sigara au matatizo ya kiafya kama pumu, kifua… Soma zaidi »

madhara ya kukaa kwenye kiti masaa mengi

Kukaa muda mrefu kwenye kiti husababisha kufa mapema

Kukaa muda mrefu kwenye kiti husababisha kufa mapema Pengine tayari unafahamu kuwa kutokujishughulisha na mazoezi ya viungo mara kwa mara ni hatari kwa afya yako. Ndiyo hilo ni jambo ambalo kila mtu analijuwa (common sense). Vipi lakini ikiwa ni kweli unajitahidi kila siku kutimiza jukumu hilo la kufanya mazoezi dakika 30 hadi lisaa limoja na wakati huo huo unatumia masaa… Soma zaidi »

jinsi ya kutoa sumu mwilini

Dawa ya kutoa sumu mwilini

Dawa ya kutoa sumu mwilini SUMU ni kitu chochote ambacho kinaweza kuingia mwilini na kusababisha mifumo ya mwili ishindwe kufanya kazi ipasavyo. Unafikiria kuwa una afya njema, lakini haujisikii vyema. Unapuuza, unaona ni vitu vidogo vidogo. Hivyo, haushughuliki kwenda hospitali au kwa wataalamu wa afya kwa ajili ya uchunguzi na matibabu. Hatimaye tatizo linakuwa kubwa. Unafika hospitali unaambiwa una saratani,… Soma zaidi »

Dawa ya asili ya kuimarisha kinga ya mwili

Dawa ya asili inayoongeza kinga ya mwili

Dawa ya asili inayoongeza kinga ya mwili Kumbuka, ile hali ya kuonekana umezeeka au mwili wako kuonekana umechoka mara zote huwa kuna uhusiano wa moja kwa moja na kushuka kwa kinga yako ya mwili hali ambayo inauacha mwili wako kushambuliwa kirahisi na vijidudu nyemelezi na magonjwa mbalimbali. Kama unataka kuishi vizuri kila siku basi jifunze namna kinga yako ya mwili… Soma zaidi »

Kuongeza akili

Vyakula 14 vinavyoongeza nguvu katika ubongo

Vyakula 14 vinavyoongeza nguvu katika ubongo Kuna wakati unaona wazi ubongo wako umechoka au ufanisi wake umepungua tofauti na zamani. Au sababu tu ya kazi na misongamano mingi unajikuta kichwa kimechoka kufanya kazi. Hakuna dawa yoyote hospitalini inayoweza kukurudishia nguvu zako za ubongo. Dawa nyingi za kizungu za kuongeza nguvu za ubongo zina madhara makubwa baadaye katika mwili. Kila mmoja… Soma zaidi »

Vyakula vinavyoongeza kinga ya mwili

Vyakula 16 vinavyoongeza kinga ya mwili

VYAKULA 16 VINAVYOONGEZA KINGA YA MWILI Watu wengi tumekuwa tukijiuliza kinga ya mwili ni kitu gani na je ni nini tufanye ili kuiongeza hiyo kinga ndani ya miili yetu. Suala la kuimarisha na kuiongeza kinga ya mwili linapaswa kuwa ni jambo endelevu la kila siku. Hakuna dawa au chakula cha kula siku moja na kuponya tatizo la kushuka kinga ya… Soma zaidi »