fbpx

Naitwa Fadhili Paulo, Ni Tabibu wa Tiba Asilia. Ninaishi Dar Es Salaam na ni Mtanzania.

Ninayo ofisi yangu binafsi Jijini Dar Es Salaam, ofisi yangu inaitwa Victoria Home Remedy ipo Sigara Yombo Vituka Temeke lakini pia bado nafanya kazi kwa njia ya mtandao, kwa tatizo lolote wasiliana na mimi kwenye WhatsApp +255714800175

Nahusudu Afya, Kompyuta na Teknolojia. Napendelea Kujisomea, Kuandika, Kupika na Kusafiri.

www.fadhilipaulo.com

Sambaza Upendo. Usisambaze Chuki.

Imesomwa mara 1,308