Madhara ya punyeto kwa wanaume

Published by Fadhili Paulo on

Madhara ya punyeto kwa wanaume

Madhara ya kupiga punyeto kwa wanaume

Tunahitaji mahusiano ili tuongezeke na hili haliwezi kufanikiwa bila kushiriki tendo la ndoa kati ya watu wa jinsia mbili tofauti.

Hisia hizi huanza kujitokeza pale mtu anapofikia wakati wa kubarehe.

Hapa ndiyo wakati mgumu na mbaya kwa kijana hasa kwa asiyejitambua na asiye na usimamizi wa karibu wa wazazi au walezi.

Ni wakati huu ndipo mbegu za kiume (manii) huanza kuzalishwa katika mwili wa kijana wa kiume na kupelekea kuanza kuona hitaji la kuwa na mchumba au hata mke.

Kutokana na maisha na tamaduni zetu wa afrika zilivyo hapo ndipo kijana huona hana namna zaidi ya kujichua pale anapokuwa hana mtu wa kujamiiana naye ili kupunguza hamu zake.

Kitendo hiki kimeathiri sehemu kubwa ya jamii.

Kupiga punyeto au kujichua hujulikana pia kwa Kiingereza kama “Masturbation”, ni kitendo ambacho huleta matatizo makubwa ya muda mrefu ambayo muathirika huchelewa sana kuyatambua.

Soma pia hii > Jinsi ya kuacha punyeto

Tuangalie sasa madhara 21 yafuatayo ambayo ni matokeo ya kujichua kwa mwanaume:

Madhara ya kupiga punyeto kwa wanaume

1. Punyeto hukufanya uwe dhaifu, inapoteza protini na kalsiamu ndani ya mwili wako.

2. Huleta matatizo kwenye neva nyurolojia ndani ya mwili

3. Ni moja ya kisababishi kikuu cha uhanithi (uume kushindwa kusimama)

4. Ni rahisi kuwa mtumwa wa kujichua (teja) unaweza kujaribu mara 1 tu na tayari ukawa teja wa jambo hilo kila mara

5. Huleta uchomvu sugu na kwa haraka zaidi, mara nyingi utahitaji kulala usingizi hata nyakati za mchana

6. Husababisha mfadhaiko (stress) kwenye akili na kwenye roho yako pia

7. Huleta matatizo ya kisaikolojia, hukusababishia majonzi na huzuni na kukufanya kujilaumu nafsi mara baada ya kumaliza kujichua

8. Punyeto haifanyiki kirahisi, unahitaji akili yako iwaze au itazame picha mbaya au chafu au kumfikiria kimapenzi mtu asiyekuwepo hapo ulipo.

Hili ni jambo baya zaidi kwa afya kwani picha hizo hazikuondoki haraka kichwani mwako tofauti na ukishiriki tendo la ndoa na binadamu mwenzio moja kwa moja.

9. Punyeto inakupelekea kufanya makutano haramu kwakuwa hiyo hamu yako ya kutaka kujichua kila mara itakupelekea kuanza kutafuta vijarida au picha za ngono jambo ambalo ni baya zaidi kwa afya yako ya mwili na roho

10. Punyeto inapelekea tatizo lingine kubwa zaidi nalo ni kuwahi kufika kileleni utakaposhiriki tendo la ndoa na mwenza wako, hii itakuletea shida kwenye mahusiano yako wewe mwenyewe na hata kwa mwenza wako.

11. Punyeto inapunguza uwingi wa mbegu (reduces your sperm count) kama matokeo yake mwanaume hataweza kumpa mwanamke ujauzito.

Hili la kuwa na mbegu chache ndilo chanzo kikuu cha ugumba kwa wanaume na ni matokeo ya kupiga punyeto mara kwa mara.

12. Kimaadili kabisa punyeto au kujichua ni jambo baya, unamuwaza fulani na kujikuta ukishiriki tendo la ndoa peke yako.

Hii inapunguza thamani yako na nidhamu kwa wengine.

Unaweza kuwa mzuri kwenye maeneo mengine mengi lakini utaishia kuwa na matatizo kama hutaiacha tabia hii haraka.

13. Punyeto inapoteza muda wako na kukufanya mtu usiye na faida

14. Raha ya kujichua haibaki akilini kwa kipindi kirefu kama vile ukishiriki tendo la ndoa kwa na mtu halisi

15. Punyeto husababisha ugonjwa wa kupoteza kumbukumbu, ni vigumu kuwa na akili ya utulivu na kukumbuka vitu kama tayari umeshakuwa teja wa punyeto.

16. Kujichua siyo soluhisho la mwisho la hitaji lako, yaani hutaona kuridhika katika kitendo hicho, kadri unavyofanya ndivyo unavyoendelea kuhitaji zaidi na zaidi mpaka mwisho unakuwa hanithi kabisa bila kujitambua

17. Punyeto haina faida yoyote kwenye maisha yako ya kimapenzi, huhitaji kwa ajili ya chochote

18. Punyeto inaongeza aibu, inapunguza uwezo wa kujiamini.

Wengi waliozoea kujichua hata kutongoza kwao huwa ni kazi kubwa mno kiasi wengine huona bora kuendelea kujichua kuliko kutongoza mwanamke.

19. Utapoteza hamu ya kushiriki tendo la ndoa kirahisi zaidi kama utaendelea kujichua

20. Punyeto huchochea mapenzi ya jinsia moja hasa mashuleni, vyuoni na kwenye mahoteli na mwishowe hupelekea kusambaa kwa magonjwa mengi ya zinaa.

21. Punyeto inamaliza nguvu za kiume, kama unapenda kujichua basi sahau kuwa na nguvu za kiume.

Upungufu wa nguvu za kiume ni janga la kitaifa miaka ya sasa lakini chanzo kikuu ni vijana wengi wa kiume kuanza kujichua tangu wakiwa mashuleni.

Je ufanye nini ili kuacha punyeto au usishiriki mchezo huu mchafu?

Madhara ya punyeto kwa wanaume

Kama muda na umri haukuruhusu kuwa na mke au mchumba, basi fanya yafuatayo:

•Kama bado unasoma kuwa bize na masomo na ujiepushe na makundi hatarishi.

•Jishughulishe na mazoezi ya viungo kila siku. Hii itauchosha mwili wako na hivyo hutapata muda tena wa kujichosha zaidi kwa kujichua kwani tayari utakuwa na uwezo wa kupata usingizi mtulivu sababu ya mazoezi

•Usikae peke yako muda mrefu bila kuwa bize na shughuli yoyote. Kichwa kitupu ni nyumba ya maasi mengi.

•Epuka vyakula vyenye mafuta mengi

•Tumia muda ambao huna kazi kwa kulala na hivyo utakuwa unaipumzisha pia akili yako

•Usikae muda mrefu maeneo kama ya bafuni au chooni

•Usipende kujishikashika na mkono wako sehemu zako za siri wakati wowote.

•Tafuta watu walioathirika na punyeto wakusimulie matatizo wayapatayo kama matokeo ya kujichua. Hii inaweza kukusaidia kuongeza juhudi kuachana na hiyo tabia.

•Futa picha zozote chafu iwe kwenye simu au computer yako na usitembelee blog au tovuti yoyote yenye picha hizo, kama upo kwenye magroup ya namna hiyo kwenye mitandao ya kijamii basi jiondowe haraka iwezekanavyo.

•Kama tayari umeshaoa basi ni dhambi kubwa sana kuendelea kupiga punyeto, utaishiwa nguvu na unaweza kukosa kumpa ujauzito mkeo siku za usoni.

Ikiwa unatafuta dawa ya kutibu madhara yatokanayo na punyeto, niachie tu ujumbe WhatsApp +255714800175

Rejea:

• Bosland MC. The etiopathogenesis of prostatic cancer with special reference to environmental factors. Advances in Cancer Research 1988;51:1–106.

• Brody&Costa, 2009; Das, Parish,&Laumann, 2009; Gerressu, Mercer, Graham, Wellings,&Johnson, 2008; Lau, Wang, Cheng, & Yang, 2005; Nutter & Condron, 1985. Masturbation frequency is so often associated with impaired sexual function in men.

• Masturbation, oral sex, and anal sex predictors of less satisfaction in relationships: Brody S, Costa RM. Satisfaction (sexual, life, relationship, and mental health) is associated directly with penile-vaginal intercourse but inversely with other sexual behavior frequencies. The journal of sexual medicine 2009;6:1947–54.

• Das A. Less happiness: Masturbation in the United States. Journal of Sex & Marital Therapy 2007;33:301–17.

• Sofikitis NV, Miyagawa I. Endocrinological, biophysical, and biochemical parameters of semen collected via masturbation versus sexual intercourse. Journal of Andrology 1993;14:366–73.

• Corona G, Ricca V, Boddi V, Bandini E, Lotti F, Fisher AD, Sforza A, Forti G, Mannucci E, Maggi M. Autoeroticism, mental health, and organic disturbances in patients with erectile dysfunction. Journal of Sexual Medicine. 2010;7:182–91.

Soma pia hii > Jinsi ya kuacha punyeto

(Visited 6,508 times, 1 visits today)

4 Comments

steveven · 01/04/2019 at 8:51 am

Naomba tuwasiliane Kwa email zaidi

  Fadhili Paulo · 21/04/2019 at 2:25 am

  Natumia WhatsApp tu ndugu, email mambo ya kizamani

   said · 02/11/2021 at 5:42 am

   natka dawa jamani duh

    Fadhili Paulo · 02/11/2021 at 6:16 am

    Tuwasiliane ndugu, WhatsApp +255714800175

Leave a Reply

Avatar placeholder

Your email address will not be published.

WhatsApp WhatsApp +255714800175