faida za mafuta ya nazi

Faida 39 zitakazokushangaza za mafuta ya Nazi kiafya

FAIDA 39 ZITAKAZOKUSHANGAZA ZA MAFUTA YA NAZI KIAFYA Zaidi ya tafiti 1500 zimethibitisha kuwa mafuta ya nazi ndiyo mafuta bora zaidi chini ya jua. Hili halishangazi sababu karibu kila mtu anajua mafuta ya nazi ni dhahabu kwa afya ya mwili na ngozi kwa ujumla. Bidhaa nyingi za vipodozi ukizichunguza utagundua huongezwa pia mafuta ya nazi ndani yake. Ili upate faida… Soma zaidi »

Dawa ya vidonda 1

Dawa ya vidonda

Dawa ya vidonda Kama umekuwa ukisumbuliwa na tatizo la vidonda iwe ni miguuni, mikononi au sehemu nyingine yoyote ya mwili dawa yake ni rahisi kama kumsukuma mlevi Pakaa (mimina kwenye kidonda) mafuta orijino ya nazi mara mbili mpaka tatu kwa siku na kidonda chako kitaanza kupona na kufunga siku chache tangu uanze kutumia dawa Mafuta original kabisa ya nazi yale… Soma zaidi »

maumivu wakati wa hedhi

Vyakula vinavyoondoa maumivu wakati wa hedhi kwa wanawake

VYAKULA VINAVYOONDOA MAUMIVU WAKATI WA HEDHI KWA WANAWAKE KILA mwanamke hupitia hatua ya kupatwa na hedhi mara moja kwa mwezi, ikiwa ni maumbile ya kawaida waliyoumbwa nayo. Lakini wanawake wengi husumbuliwa na matatizo kadhaa siku chache kabla au wakati wa siku zao, matatizo hayo hutofautiana kati ya mtu na mtu kutegemeana na afya ya muhusika. DALILI ZA MATATIZO YA HEDHI… Soma zaidi »

Dawa ya fangasi, mba, chunusi, upele na ngozi kavu 6

Dawa ya fangasi, mba, chunusi, upele na ngozi kavu

DAWA YA FANGASI, MBA, CHUNUSI, UPELE NA NGOZI KAVU Kama hujawahi kuisikia hii dawa kongwe ya mafuta ya mbegu za mwarobaini, basi ni wakati muafaka sasa upate kufahamu habari zake hasa kwa matatizo ya ngozi Mwarobaini ni mti wenye asili ya India hujulikana pia kama Indian lilac, Azadirachta Indica, au ‘Neemba’ na umekuwa ukitumika katika tiba asili za kihindi (Ayurvedic… Soma zaidi »