Njia za uzazi wa mpango ndiyo chanzo kushuka umri na saratani ya matiti 1

Njia za uzazi wa mpango ndiyo chanzo kushuka umri na saratani ya matiti

Njia za uzazi wa mpango ndiyo chanzo kushuka umri na saratani ya matiti Njia uzazi wa mpango chanzo kushuka umri saratani ya matiti – Daktari Aveline Kitomary- Dar es salaam DAKTARI bingwa wa saratani kutoka Taasisi ya Saratani ya Ocean Road (ORCI), Heleni Makwani, amesema moja ya sababu za umri wa wanawake wanaougua saratani ya matiti kuendelea kushuka, ni matumizi… Soma zaidi »

Magonjwa hatari 18 yanayotibika kwa kutumia mbegu za maboga

Magonjwa hatari 18 yanayotibika kwa kutumia mbegu za maboga

MAGONJWA HATARI 18 YANAYOTIBIKA KWA KUTUMIA MBEGU ZA MABOGA Mbegu za maboga zina protini na madini ya kutosha na ya mhimu zaidi mwilini kama madini ya zinki, kopa, maginizia, manganizi na chuma. Mbegu za maboga ni tamu na zinaweza kutafunwa nyakati zozote na mahali popote hasa kwa wapenda kutafuna-tafuna kama mimi. Tafiti mbalimbali zimethibitisha pasipo na shaka kuwa mbegu za… Soma zaidi »

makosa wafanyayo wanawake kitandani

Makosa makubwa kabisa 6 wafanyayo wanawake kitandani

Makosa makubwa kabisa 6 wafanyayo wanawake kitandani   Nimewahi kuandika huko siku za nyuma makosa makubwa manne wafanyayo wanaume kitandani, ni makala ilipendwa sana na wote na unaweza kuiona na kuisoma wakati wowote kwa kubonyeza hapa. Baadhi ya watu walinitafuta na kunitaka niandike pia na makosa wafanyayo wanawake kitandani ili kupata balansi. Na leo nimeona niwatolee uvivu na kuwaletea hii… Soma zaidi »

kukosa siku zako

Sababu 9 zinazosababisha ukose au uchelewe kuona siku zako

Sababu 9 zinazosababisha ukose au uchelewe kuona siku zako Kwa mwanamke kuchelewa kupata hedhi huwa hakushitui iwapo mwanamke anajua ni nini tatizo au sababu iliyopelekea yeye kukosa hedhi. Na majibu ya kuchelewa kwa hedhi hupatikana pindi hedhi hiyo inapochelewa. Mfano kama ulikua unategemea kupata mimba, ikichelewa inakua ni dalili ya kwanza ya wewe kuanza kufikiria jambo ulilolitaka linaelekea kutimia na… Soma zaidi »

Hii ndiyo tiba kwa kutumia masaji ambayo wengi hawaifahamu 3

Hii ndiyo tiba kwa kutumia masaji ambayo wengi hawaifahamu

HII NDIYO TIBA KWA KUTUMIA MASAJI AMBAYO WENGI HAWAIFAHAMU Wakati tunakabiliwa na mfadhaiko mkubwa kiakili na kimwili wa muda mrefu wengi wetu huwa tunatafuta msaada. Hata hivyo moja ya tiba ya matatizo haya ambayo wengi hawaijuwi ni tiba kwa kutumia masaji, tiba ambayo ina uhakika wa uponyaji kwa karibu ya asilimia 100 bila kutumia dawa yoyote na bila madhara yoyote…. Soma zaidi »

Aina 4 za wanawake ambao hawawezi kuolewa 4

Aina 4 za wanawake ambao hawawezi kuolewa

AINA 4 ZA WANAWAKE AMBAO HAWAWEZI KUOLEWA Makala hii inaeleza juu ya aina 4 za wanawake ambao hawawezi kuolewa au wanaolewa kwa kuchelewa sana. Vitu vingi ninavyojadili hapa ni tabia na zinaweza kurekebishika iwapo mhusika atakuwa tayari kubadilika. Kwenye maisha hakuna kitu kizuri au hakuna silaha kubwa unaweza kupata kama kupata ufahamu na uwezo wa kutambua udhaifu wako. Watu wengi… Soma zaidi »

Vitu 6 wanawake wanatakiwa kufanya ili kujikinga na uvimbe kwenye kizazi 6

Vitu 6 wanawake wanatakiwa kufanya ili kujikinga na uvimbe kwenye kizazi

Vitu 6 wanawake wanatakiwa kufanya ili kujikinga na uvimbe kwenye kizazi Inakadiriwa asilimia 70 mpaka 80 ya wanawake wanaweza kupatwa na ugonjwa huu katika safari yao ya kuishi. Hata hivyo si wanawake wote wenye uvimbe kwenye kizazi wanaweza kuonyesha dalili kwamba wanao au wanahitaji matibabu. Uvimbe katika mfuko wa kizazi wa mwanamke hujulikana kama ‘uterine myoma’ au fibroid. Uvimbe huu… Soma zaidi »

Chanzo cha kufunga au kupata choo kigumu wakati wa ujauzito 8

Chanzo cha kufunga au kupata choo kigumu wakati wa ujauzito

CHANZO CHA KUFUNGA AU KUPATA CHOO KIGUMU WAKATI WA UJAUZITO Kipindi cha ujauzito ni kipindi cha furaha kubwa kwa mwanamke yoyote. Hata hivyo kuna baadhi ya mabadiliko ya kiafya yanayoweza kukutokea unapokuwa na ujauzito ambayo yanaweza kukuondolea furaha hiyo ikiwemo tatizo la kupata choo kigumu sana au kufunga choo kabisa na kupelekea tatizo la ugonjwa wa bawasiri. Kwa afya nzuri… Soma zaidi »

Chanzo cha saratani ya matiti 9

Chanzo cha saratani ya matiti

Chanzo cha saratani ya matiti Hakuna kitu kingine kizuri kama mwili wa mwanamke kwakuwa unaweza kuleta kiumbe binadamu kingine. Mwili wa mwanamke unazo ovari ambazo hutengeneza mayai na homoni maalumu ambazo hudhibiti mwili wake wakati wa ujauzito kuanzia wakati yai linaporutubishwa mpaka mwishoni mwa wastani wa miezi tisa (wakati wa kujifunguwa). Mfumo huu maalumu huanza kazi mara mwanamke anapoanza mzunguko… Soma zaidi »

Ulaji wa chipsi umetajwa kuwa hatari kwa afya ya binadamu 10

Ulaji wa chipsi umetajwa kuwa hatari kwa afya ya binadamu

ULAJI WA CHIPS umetajwa kuwa HATARI kwa afya ya Binadamu. ULAJI WA CHIPS umetajwa kuwa HATARI kwa afya ya Binadamu, kwani husababisha maradhi mengi yasiyo ya kuambukiza hasa FIGO, MOYO , SHINIKIZO LA DAMU,KISUKARI NA SARATANI za aina zote. SAHANI moja ya CHIPS kavu huwa na MAFUTA yanayokaribia NUSU kikombe cha CHAI ambayo ni sawa na ujazo wa mililita 250…. Soma zaidi »

Chakula cha mama mjamzito 12

Chakula cha mama mjamzito

CHAKULA CHA MAMA MJAMZITO Kwa ajili afya ya mama na mtoto ni muhimu sana, mwanamke anatakiwa apate chakula bora kilicho na madini yote kama vitamini na protini. Mama mjamzito anatakiwa apate gramu 100 za protini kila siku. Ifuatayo ni mlo kamili anaotakiwa apate mama mjamzito kila siku ya ujauzito wake kwa afya bora. Nimeweza kukundalia vyakula 10 bora ambavyo mama… Soma zaidi »

Tendo la ndoa hupunguza hatari ya kupata saratani ya tezi dume 14

Tendo la ndoa hupunguza hatari ya kupata saratani ya tezi dume

Tendo la ndoa hupunguza hatari ya kupata saratani ya tezi dume Katika hali ya kawaida inaelezwa kushiriki tendo la ndoa kuna faida nyingi kiafya, hata hivyo kushiriki tendo la ndoa mara nyingi kupita kiasi kunaweza kusababisha matatizo ya msingi ambayo huleta madhara kwa watu wanaoiendekeza. Mtu anaweza kuwa na mwenzi na kujikuta kila siku anatumia ‘chakula cha usiku’ kwa sababu… Soma zaidi »

Vitu 14 vinavyosababisha mimba kuharibika 15

Vitu 14 vinavyosababisha mimba kuharibika

Vitu 14 vinavyosababisha mimba kuharibika Mimba kuharibika ni tukio linalowatokea wanawake na mamalia wengine wa kike kutokana na shida mbalimbali katika ukuaji wa mimba tumboni mwa mama. Ni tukio tofauti na utoaji mimba ambalo linasababishwa na binadamu kwa makusudi. Matukio yote mawili kwa kawaida yanaleta matatizo mbalimbali kwa mama. Kuharibika kwa kijusi au kiinitete pengine kunatokana na mfadhaiko wa kiajali… Soma zaidi »

Mambo 9 ya kushangaza na usiyoyajuwa kuhusu mbegu za kiume

Mambo 9 ya kushangaza na usiyoyajuwa kuhusu mbegu za kiume

Mambo 9 ya kushangaza na usiyoyajuwa kuhusu mbegu za kiume Una elimu au uelewa wa kiasi gani kuhusu mbegu za kiume yaani shahawa? Kuna uwezekano mkubwa hujawahi kuwa na muda wowote wa kupeleleza au kujifunza mengi kuhusu mbegu zako. Kama hujawahi kupata shida kutungisha mimba unaweza usiwaze lolote kuhusu mbegu zako na ukaendelea kuzichukulia poa kila siku. Soma hii pia… Soma zaidi »

Kama una stress ni vigumu kupata ujauzito

Kama una stress ni vigumu kupata ujauzito

Kama una stress ni vigumu kupata ujauzito   Ni ukweli usiopingika kuwa ndoa nyingi zimepoteza furaha kutokana na watoto kukosekana miongoni mwa wanandoa. Wanawake na wanaume wamejikuta wakiangukia katika mikono ya matapeli wanaojiita waganga na kufanyiwa mambo mengi ya ajabu, ikiwa ni pamoja na kufanya mapenzi na mizimu au na watu ambao hawakuwatarajia ili tu waweze kupata watoto. Hakuna ubaya… Soma zaidi »

Jinsi ya kujua jinsia (gender) ya mtoto tumboni bila ultrasound

Dalili 18 zinazoashiria una ujauzito wa mtoto wa kiume

Dalili 18 zinazoashiria una ujauzito wa mtoto wa kiume Awali ya yote nitoe pongezi kwa mama K na Baba K wote popote walipo kwa kazi nzuri na baraka ambayo wanaisubiri kutoka kwa Mungu (mtoto). Mojawapo ya mambo ambayo yanatia furaha katika maisha ya ndoa ni pale wanandoa wanapokuwa wapo kwenye kipindi cha kutegemea mtoto. Mambo mengi huwa yanaleta hamasa na… Soma zaidi »

Mimba huonekana kwenye kipimo baada ya muda gani

Mimba huanza kuonekana baada ya siku ngapi

Mimba huanza kuonekana baada ya siku ngapi Haya ni maswali ninayoulizwa mara kwa mara; Dalili za kupata mimba ni zipi Muda gani mimba inajulikana Mimba inaonekana muda gani Mimba hupimwa muda gani Mimba huanza kuonekana muda gani Mimba hugundulika baada ya siku ngapi Mimba hujulikana baada ya siku ngapi Mimba inajulikana baada ya muda gani Mimba inaonekana siku ngapi Je… Soma zaidi »

Usingizi na ugumba

Ukosefu wa usingizi unaweza kuleta ugumba

UKOSEFU WA USINGIZI UNAWEZA KULETA UGUMBA KITENDO cha kukosa usingizi mara kwa mara wakati wa kulala kuna weza kuonekana ni jambo ambalo halina madhara kiafya, lakini ukweli ni kwamba unapokosa usingizi, hasa kwa muda mrefu, kuna athari kubwa katika afya yako yote, hata kama unakula na kufanya mazoezi vizuri. Madhara ya ukosefu wa usingizi huathiri mfumo mzima wa mwili, mathalani,… Soma zaidi »

Namna wanawake wanavyochangia upungufu wa nguvu za kiume kwa waume zao 17

Namna wanawake wanavyochangia upungufu wa nguvu za kiume kwa waume zao

Namna wanawake wanavyochangia upungufu wa nguvu za kiume kwa waume zao Wanawake wanahusika pia na upungufu wa nguvu za kiume Kesi ya wanaume kupungukiwa nguvu za kiume zimezidi kushika kasi, kiasi cha kufanya dawa za kuongeza nguvu hizo kuwa maarufu na zenye mahitaji makubwa katika jamii Waganga wa kienyeji wamekuwa wakitumia dawa hizo kama tiba ya msingi ya kuwavutia wateja… Soma zaidi »

Jinsi ya kupata mtoto wa kiume 18

Jinsi ya kupata mtoto wa kiume

Jinsi ya kupata mtoto wa jinsia ya kiume Uzazi wa mpango ni jumla ya vitu vingi sana. Uzazi wa mpango hauhusu kuzuia kupata ujauzito tu bali hata kupangilia idadi na jinsia za watoto ni moja ya njia za uzazi wa mpango… Wanandoa wengi wamekua wakitamani kupata jinsia flani za watoto ili wapate watoto wachache. Hata hivyo wakati mwingine inatokea wanapata… Soma zaidi »

Dalili za mimba 19

Dalili za mimba

Kwenye makala hii nakuonyesha dalili za mimba zote za mwanzo na zile za baada ya miezi miwili hivi. Kama unataka kujuwa siku zako za hatari tumia kikokotoo (calculator) hiki hapa chini, andika tarehe ya siku ya kwanza ulipoona hedhi yako ya mwisho na ujaze mzunguko wako una siku ngapi kisha bonyeza TUMA na usubiri majibu. Dalili na ishara za mwanzo… Soma zaidi »

Vitu vya kuacha unapotafuta ujauzito

Vitu vya kuacha unapotafuta ujauzito

Wakati unatafuta ujauzito chakula au vinywaji unavyotumia vina mchango mkubwa katika kufanikisha wewe upate ujauzito. Ulivyo ni kile unachokula kila siku. Unahitaji kuwa makini sana miezi mitatu mpaka sita kabla hujapata ujauzito. Uangalizi pia uendelee hata baada ya kuwa umepata ujauzito. Watu wengi niliokutana nao kwa habari ya matatizo ya kutopata ujauzito na nikawashauri juu ya vyakula vya kuacha na… Soma zaidi »

Chakula cha mwanaume anayetafuta ujauzito

Chakula cha mwanaume anayetafuta ujauzito

Chakula cha mwanaume anayetafuta ujauzito Wakati uliopita tulisoma vyakula hivyo upande wa mwanamke na msisitizo ilikuwa ni vyakula vyenye folate au folic acid. Kumbe kwa upande wa mwanaume msisitizo ni vyakula vinavyotoa sumu mwilini. Tutaona vyanzo vya sumu kwenye miili yetu wanaume na namna ya kuidhibiti. Hakuna namna unaweza kuepuka sumu lakini tutaona vyakula vinavyoweza kupunguza hali hiyo na hivyo… Soma zaidi »

Mimba kuharibika maswali na majibu

Mimba kuharibika maswali na majibu

MIMBA KUHARIBIKA MASWALI NA MAJIBU Hapo kabla tulisoma kuhusu dawa ya kuzuia mimba kuharibika, tuliona nini husababisha hali hiyo, dalili zake na vitu vinavyosababisha tatizo hili. Leo tutaangalia baadhi ya maswali na majibu kuhusiana na mimba kuharibika na ikiwa unalo swali lingine tofauti na haya liulize tu hapo chini. Soma hii pia > Dawa ya asili ya kupata mimba haraka… Soma zaidi »

Dawa ya asili ya kuzuia mimba kuharibika 20

Dawa ya asili ya kuzuia mimba kuharibika

Mimba kuharibika ni tukio linalowatokea wanawake na mamalia wengine wa kike kutokana na shida mbalimbali katika ukuaji wa mimba tumboni mwa mama. Ni tukio tofauti na utoaji mimba ambalo linasababishwa na binadamu kwa makusudi. Matukio yote mawili kwa kawaida yanaleta matatizo mbalimbali kwa mama.Kuharibika kwa kijusi au kiinitete pengine kunatokana na mfadhaiko wa kiajali au sababu za kimaumbile. Mimba nyingi… Soma zaidi »

Dawa ya kurekebisha mzunguko wa hedhi

Dawa ya kurekebisha mzunguko wa hedhi

Dawa ya kurekebisha mzunguko wa hedhi Hili ni tatizo linalowatokea karibu wanawake wote katika safari yao ya kuishi hapa chini ya jua. Tatizo la kuvurugika kwa mzunguko wa hedhi huanza ghafla au polepole ambapo mwanzo mwanamke alikuwa akipata siku zake katika utaratibu unaoeleweka lakini mara haelewi au hajielewi namna mzunguko wake unavyoenda. Kuvurugika kwa hedhi ni kitendo cha mwanamke kuanza… Soma zaidi »

Chakula cha Mwanamke anayetafuta Ujauzito

Chakula cha Mwanamke anayetafuta Ujauzito

Chakula cha Mwanamke anayetafuta Ujauzito Fanya mabadiliko haya kwenye mlo wako ili kuboresha afya yako ya uzazi. Je unatafuta ujauzito? Unajuwa ni chakula kipi upendelee kula ili kuongeza uwezekano wa kupata ujauzito au kuimarisha afya ya ujauzito kwa ujumla? Kwenye makala hii naeleza vyakula mhimu unavyotakiwa kupenda kula ili kujiongezea afya yako ya uzazi. Kwa mwanamke anayetafuta ujauzito vyakula anavyopaswa… Soma zaidi »

Siku ya hatari kwa mwanamke kushika mimba

Siku ya hatari kwa mwanamke kushika mimba

Siku ya hatari kwa mwanamke kushika mimba Tumia kikokotoo (calculator) hiki hapa chini kufahamu siku zako za hatari, andika tarehe ya siku ya kwanza ulipoona hedhi yako ya mwisho na ujaze mzunguko wako una siku ngapi kisha bonyeza TUMA na usubiri majibu. Ili kufahamu vizuri ni siku zipi ni hatari kwa mwanamke kupata mimba, unahitaji kwanza kujifunza jinsi mzunguko wa… Soma zaidi »

Hadithi 5 za uongo kuhusu kushika ujauzito

Hadithi 15 za uongo kuhusu kushika ujauzito

Huenda umesikia hadithi fulani kuhusu jinsi ya kupata mimba au jinsi ya kuhakikisha hupati mimba. Kwa kweli, mbinu ya hakika ya kutopata mimba ni kutofanya mapenzi. Kutofanya mapenzi pia kutakuzuia kupata magonjwa ya zinaa. Watoto hutengenezwa wakati mbegu za kiume zimekutana na yai la mwanamke. Wakati mume na mke wanafanya mapenzi, mbegu za kiume huogelea kutoka kwa mwili wake hadi… Soma zaidi »

Dawa ya kusaidia kupata mimba haraka

Dawa ya asili ya kupata mimba haraka

Hii ni dawa ya asili ya kupata mimba haraka inayosaidia pia kuweka sawa homoni, kuondoa uvimbe kwenye kizazi, kupevusha mayai, kuzuia ujauzito usitoke, kuzibua mirija ya uzazi na matatizo mengine mengi ya uzazi kwa pamoja. Ugumba ni hali ya mwanamke kushindwa kushika ujauzito. Linaweza kuwa tatizo pia kwa mwanaume lakini katika makala hii tutaona nini kinasababisha tatizo hili kwa upande… Soma zaidi »

Dawa ya kuongeza mbegu za kiume 21

Dawa ya kuongeza mbegu za kiume

Kwenye makala hii nitakueleza kwa kina juu ya dawa ya kuongeza mbegu za kiume rahisi na isiyo na gharama yoyote kubwa. Mwanaume mwenye uwezo wa kuzalisha anahitaji kuwa na mbegu zisizopungua milioni 20, chochote chini ya hapa kinaweza kuwa sababu ya kutokutungisha ujauzito. Ikitokea umegundulika kuwa na mbegu chache, ni nyepesi sana na hazina nguvu za kukimbia vya kutosha basi… Soma zaidi »

Dawa ya kuweka sawa homoni 22

Dawa ya kuweka sawa homoni

Homoni zina mchango mkubwa katika afya kwa ujumla katika mwili wa mwanamke hasa linapokuja suala la uzazi. Mara nyingi usawa usio sawa wa homoni husababishwa na mabadiliko katika homoni ya ‘estrogen’. Mabadiliko haya mara nyingi hutokea wakati wa kuvunja ungo, wakati wa hedhi, wakati wa ujauzito na wakati wa ukomo wa hedhi (menopause). Vitu vingine vinavyopelekea mabadiliko ya homoni ni… Soma zaidi »

awa ya asili ya kuongeza hamu ya tendo la ndoa

Dawa ya asili ya kuongeza hamu ya tendo la ndoa kwa mwanamke

Dawa ya asili ya kuongeza hamu ya tendo la ndoa kwa mwanamke Hili ni tatizo ambalo nimekuwa nikiulizwa mara nyingi sana na wanawake wengi kwa muda sasa na mwanzoni nilikuwa nalichukulia poa lakini kadri siku zinavyoenda naendelea kuona wengi zaidi wakizidi kunitafuta kwa ajili hii. Wapo ambao wameshakuja hata kuniona kwa macho kwa ajili ya tatizo hili. Kweli unaweza ukadhani… Soma zaidi »

Dawa asili ya kuondoa uvimbe kwenye kizazi

Dawa ya uvimbe kwenye kizazi

Dawa ya uvimbe kwenye kizazi Uvimbe katika mfuko wa kizazi wa mwanamke hujulikana kama ‘uterine myoma’ au fibroid. Uvimbe huu hutokea kwenye misuli laini ya mfuko wa uzazi. Uvimbe huu hutokea katika sehemu mbalimbali juu au ndani ya mji wa uzazi wa mwanamke. Ni uvimbe ambao hauhusiani na kansa na unaweza kubadilika rangi ukawa wa njano, unaweza kubadilika ukawa kama… Soma zaidi »

Dawa ya hedhi isiyoisha

Dawa ya hedhi isiyoisha

Siku za kuwa mwezini kwa kawaida kwa mwanamke huwa ni kati ya siku 3 mpaka 7. Hata hivyo hutokea kwa baadhi ya wanawake hasa wale wenye umri mkubwa wanapata hedhi kwa siku nyingi zaidi ya siku 7 na huambatana na kupata damu nzito na yenye mabonge mabonge sambamba na maumivu makali. Tatizo hili kitaalamu hujulikana kama ‘Menorrhagia’, na ni tatizo… Soma zaidi »

Dawa ya kupevusha mayai ya uzazi 23

Dawa ya kupevusha mayai ya uzazi

Dawa ya kupevusha mayai ya uzazi Kama mwanamke, afya nzuri ya mayai ya uzazi ni mhimu kwa ajili ya kuwa na mzunguko mzuri wa hedhi na kuwa na uwezo wa kushika ujauzito. Je ni dawa gani nzuri ya asili kwa ajili ya kuongeza afya ya mayai yako ya uzazi? Makala hii inajadili hilo kwa kina. Endelea kusoma …. Pamoja na… Soma zaidi »