Mawasiliano

Naitwa Fadhili Paulo, Ni Tabibu wa tiba asili. Ni MTanzania.

Ninayo ofisi yangu binafsi Jijini Dar Es Salaam.

Ofisi yangu inaitwa Tumaini All Natural Store, ipo Mwanagati Kitunda Ilala Dar Es Salaam, lakini pia bado nafanya kazi kwa njia ya mtandao.

Ikiwa unahitaji kuonana na mimi uso kwa uso weka miadi (appointement) kupitia fomu hii hapa chini nami nitakujibu.

Anza kwa kuchagua tarehe utakayokuja kwenye fomu hii chini kisha jaza muda chini yake na ujaze sehemu zingine zote za fomu hapo chini:

Calendar is loading...
- Available
23
- Booked
23
- Pending
captcha

.

Nahusudu Afya, Kompyuta na Teknolojia. Napendelea Kujisomea, Kuandika, Kupika na Kusafiri.

www.fadhilipaulo.com

Mawasiliano 1

.

Sambaza Upendo. Usisambaze Chuki.

Imesomwa mara 2,017