Mbinu nyingine zaidi ya kupata ujauzito wa watoto mapacha

Published by Fadhili Paulo on

kupata ujauzito wa mapacha

Mbinu nyingine zaidi ya kupata ujauzito wa watoto mapacha

Leo nimependa nikuletee elimu mpya kabisa ya uzazi ambapo mwanamke yeyote anaweza kupata ujauzito wenye watoto mapacha hata kama si asili ya ukoo wake.

Baadhi ya mila na desturi, hasa katika nchi za Kiafrika zinaamini kwamba, mwanamke kupata watoto mapacha kunatokana na urithi wa kizazi chake, kuanzia mababu wa upande mmoja kati ya wanandoa hivyo uzao huo hufuata mkondo kwa miaka na miaka.

Wengi wakipata mapacha huulizwa kama kwenye kizazi chake, kuna watoto mapacha.

Akitokea mama akasema hakuna, basi huaminika kwamba lazima upande wa mwanaume kuna waliowahi kuzaliwa mapacha hata kama si katika miaka ya karibuni.

Hata hivyo ukweli ni kwamba mwanamke yeyote mwenye sifa ya kushika mimba na kuzaa, anaweza kupata ujauzito na kuzaa mapacha bila kujali asili ya kizazi chake.

Kwa nchi zilizoendelea kama ukiwa na hela mwanamke anaweza kuzaa mapacha kwa kupandikiziwa mayai yaliyopevuka kwa kutegemea na idadi anayoitaka mwenyewe.

Nafahamu pia wapo baadhi ya wanawake wanaoenda kwa waganga wa kienyeji kwa lengo la kupatiwa dawa ya kuwasaidia kuzaa mapacha, jambo hilo si sahihi na halipo. 

Mbinu nyingine zaidi ya kupata ujauzito wa watoto mapacha :

Mbinu yenyewe ninayotaka kukueleza leo ili kupata ujauzito wa watoto mapacha ni hii ifuatayo;

  • Mwanamke anayetaka kushika ujauzito wa watoto mapacha wakati wa kulala awe na tabia ya kubadili staili au mkao wake wa kulala mara kwa mara.
  • Inashauriwa mwanamke unayetafuta ujauzito wa watoto mapacha ukishaingia kwenye siku zako za hatari kulingana na mzunguko wako wa hedhi, ukutane kimwili na mmeo.
  • Baada ya tendo la ndoa, mwanamke anashauriwa kulala kwa kujigeuzageuza kitandani. Hapa namaanisha kwamba, akiwa amelala, ajigeuze kuangalia juu, kulalia ubavu wa kulia, kushoto, kulala kifudifudi kwa usiku kucha.

Fanya hivi kwa kurudiarudia siku kadhaa katika kipindi hicho cha hatari, hapo uwezekano wa kushika mimba ya mapacha utakuwa mkubwa sana.

Mwisho wa siku usiache kumuomba Mungu kwani yeye ndiye muweza wa yote.

Kama umekuwa ukitafuta ujauzito kwa kipindi kirefu bila mafanikio na unahitaji dawa nzuri ya asili ya uhakika isiyo na gharama kubwa ya kukusaidia kupata ujauzito niachie tu ujumbe WhatsApp +255714800175. Maelezo yake zaidi unaweza kuyasoma kwa kubonyeza hapa.

Kabla hujaondoka soma na hii pia 👇

Je mimba huanza kuonekana baada ya siku ngapi?


0 Comments

Leave a Reply

Avatar placeholder

Your email address will not be published.

WhatsApp WhatsApp +255714800175