Mimba huanza kuonekana baada ya siku ngapi

Published by Fadhili Paulo on

Mimba huonekana kwenye kipimo baada ya muda gani
Mimba huonekana kwenye kipimo baada ya muda gani

Mimba huanza kuonekana baada ya siku ngapi

Haya ni maswali ninayoulizwa mara kwa mara;

 1. Dalili za kupata mimba ni zipi
 2. Muda gani mimba inajulikana
 3. Mimba inaonekana muda gani
 4. Mimba hupimwa muda gani
 5. Mimba huanza kuonekana muda gani
 6. Mimba hugundulika baada ya siku ngapi
 7. Mimba hujulikana baada ya siku ngapi
 8. Mimba inajulikana baada ya muda gani
 9. Mimba inaonekana siku ngapi
 10. Je mimba inaonekana baada ya siku ngapi
 11. Je mimba huonekana baada ya siku ngapi
 12. Mimba huanza kuonekana baada ya siku ngapi
 13. Mimba huonekana kwenye kipimo baada ya muda gani
 14. Mimba  hujulikana baada ya siku ngapi
 15. Tumbo la mimba huonekana miezi mingapi
 16. Mimba inaanza kuhesabiwa lini

Soma hii pia > Dawa ya asili ya kupata mimba haraka

Vipimo vya ujauzito vinaweza kutoa majibu ikiwa una ujauzito au la baada ya siku ya kwanza ya kukosa siku zako. Hata hivyo kuna baadhi ya vipimo vinaweza kutoa majibu ya kuwepo kwa mimba hata siku 4 au 5 kabla ya kuanza siku zako.

Kama una mzunguko ambao ni sawa yaani mzunguko mzuri ambao haubadiliki badiliki inaweza kuwa rahisi kwako kujua ni lini utaanza kuona siku zako.

Kama mzunguko wako haueleweki inashauriwa usubiri wiki 2 mpaka 3 ndiyo upime kuona kama umepata ujauzito au la kulingana na dalili utakazokuwa unaziona.

Mara nyingi ukipima ukapata majibu ya ndiyo unao ujauzito (positive) hilo huwa ndiyo jibu la kweli zaidi kuliko kama ukiambiwa hauna mimba (negative).

Hivyo wakati mwingine kuna uwezekano kipimo kikasema huna mimba lakini kumbe tayari unayo!

Ikiwa unahisi ni mjamzito halafu bado kipimo kinasema hauna nakushauri usubiri siku 7 hivi na upime tena.

Ikiwa hata baada ya kupima mara 2 au 3 na bado unapata majibu ya kuwa huna ujauzito ni vema ukafika hospitali na ufanye vipimo kwa vipimo vikubwa zaidi ikiwemo kipimo cha ‘Ultrasound‘ na ikiwa bado inaonekana huna ujauzito basi kuna uwezekano mkubwa homoni zako zikawa hazipo sawa.

Je lini hasa naweza kuwa nilipata ujauzito?

Vipimo vya ujauzito huangalia uwepo wa homoni ya mimba ijulikanayo kwa kitaalamu kama ‘Human Chorionic Gonadotrophin (HCG)’, kwenye mkojo wako.  

Mwili wako huanza kuizalisha homoni hii mara tu baada ya kuwa umepata ujauzito.

Ikiwa utafanya kipimo siku moja baada ya siku uliyokosa kuona siku zako na ukapata majibu ya kuwa ni mjamzito kuna uwezekano ukawa tayari na ujauzito wa wiki mbili hivi.  

Vipimo vikubwa zaidi vya ujauzito vinaweza kutoa majibu ya uhakika ikiwa ni mjamzito kuanzia siku ya 8 hivi tangu mimba ilipotungwa.

Baadhi ya vipimo vinaweza hata kukupa makadirio juu ya lini hasa unaweza kuwa ndiyo hasa ulipata ujauzito kutegemea na usawa wa homoni ya mimba kwenye mkojo wako.

Mimba huanza kuhesabiwa tangu siku ya kwanza ilipotungwa.

Dalili za kupata mimba ni zipi

Dalili za Mimba Changa

Dalili na ishara zingine za mwanzo za mimba ni pamoja na:

 • Mabadiliko ya kihisia
 • Kukojoa mara kwa mara
 • Kuumwa kichwa
 • Maumivu ya mgongo eneo la chini
 • Matiti kuuma
 • Chuchu kuwa nyeusi
 • Uchovu
 • Homa za asubuhi

Soma hii pia > Dalili 33 za mimba

Kama unatafuta dawa ya asili kwa ajili ya kupata ujauzito, nipigie simu 0714800175

Pokea dondoo nyingine za afya kama hii kupitia facebook BURE. Jiunge na mimi na watu wengine zaidi ya 94000 kwenye ukurasa wangu wa facebook kwa kubonyeza hapa .

Tafadhali SHARE post hii kwa ajili ya wengine.

Fadhili Paulo
Imesomwa mara 10,994

Fadhili Paulo

Naitwa Fadhili Paulo, ni Tabibu wa Tiba asili. Ofisi yangu inaitwa TUMAINI ALL NATURAL STORE, ipo Mwanagati Kitunda Ilala Dar Es Salaam. Kama unahitaji kuonana na mimi uso kwa uso weka miadi (appointment) kwa kubonyeza HAPA Pia napenda kukujulisha kuwa sina wakala au tawi mahali popote duniani.

1 Comment

Katteseng ikea · 02/29/2020 at 8:07 am

I am 15 and I want to start a fashion blog. What should I call it? Also, please tell me any tips you have for getting started and what I could do on it or how to do it..

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *