Namna punyeto inavyosababisha kusinyaa kwa uume

Namna punyeto inavyosababisha kusinyaa kwa uume
Kudumaa, kusinyaa na kunywea au kurudi ndani kwa uume ni tatizo linalo wakabili wanaume wengi duniani.
Dalili za tatizo hili ni pamoja na kuwa na uume mdogo sana na uliodumaa, sinyaa na kurudi ndani kiasi cha kuyafanya uonekane kama ni uume wa mtoto mdogo.
Nini chanzo cha uume kusinyaa na kuwa mdogo?
Tafiti mbalimbali za kisayansi zinasema tatizo la kudumaa na kusinyaa kwa uume huchangiwa na mambo mbalimbali.
Baadhi ya mambo hayo ni pamoja na ;
- Kupiga punyeto kwa muda mrefu,
- Kuugua ngiri,
- Uzito na unene kupita kiasi,
- Kama matokeo ya kufanyiwa upasuaji wa tezi dume ,
- Uzee (miaka 50 kwenda juu) na
- Kuugua magonjwa yanayosababisha kupinda kwa uume
Katika makala hii ninaangazia namna tabia ya upigaji punyeto inavyosababisha kudumaa na kusinyaa kwa maumbile ya kiume.
Sababu kuu inayosababisha kudumaa, kusinyaa na kurudi ndani kwa uume ni kupungua ama kukosekana kabisa kwa homoni zinazohusika na kukua kwa mtu ambazo kitaalamu hujulikana kama ‘Human growth hormone’ na huzalishwa kwenye ini.
Pamoja na mambo mengine, ‘Human growth hormone’ ni homoni zinazohusika na kuchochea ukuaji wa seli zinazohusika na ukuaji wa misuli ya uume na uume kwa ujumla.
Mtu anayepiga punyeto hutumia akili, nguvu na nishati nyingi sana, jambo hili huaribu utendaji wa ogani nyingine muhimu katika mwili likiwemo ini.
Ini linapokosa nishati ya kutosha hushindwa kufanya kazi zake vizuri na moja kati ya kazi kubwa za ini ni pamoja na uzalishaji wa homoni za kukua ambazo kama ilivyo andikwa hapo juu, zinahusika na kuchochea ukuaji wa sehemu mbalimbali katika mwili wa mwanadamu ikiwemo misuli ya uume.
Kuna mambo makuu mawili yanayosababisha kupungua au kukosekana kwa homoni zinazosaidia kuhamasisha ukuaji wa misuli ya uume;
1. Kuongezeka kwa mafuta kwenye mishipa ya ateri inayopitisha damu kwenda kwenye misuli ya uume na hivyo kuzuia utirilikaji wa damu kwenda kwenye uume.
2. Kujengeka kwa tishu zisizovutika ndani ya mishipa ya ateri. Tishu hizi huzuia mishipa ya ateri kupanuka na hivyo kushindwa kuongezeka ukubwa.
Kupiga punyeto kwa muda mrefu huathiri na kuharibu mishipa na misuli ya uume na hivyo kusababisha kurundikana kwa mafuta na tishu zisizovutika katika mishipa ya ateri na hivyo kuzuia mishipa ya ateri kupanuka na kuongezeka pamoja na damu kutiririka kwenda kwenye uume.
Mambo hayo mawili yanapotokea huathiri uzalishaji wa homoni muhimu zinazo husika na ukuaji wa misuli ya uume, mwisho wake hufanya uume kudumaa, kusinyaa, kunywea na kurudi ndani kiasi cha kuufanya uonekane kama wa mtoto.
Mbali na kuathiri utendaji wa ogani nyingine mwilini, upigaji punyeto husababisha athari nyingine kwenye mwili wa mwanadamu kama vile;
- Uchovu sugu wa mwili.
- Kupoteza kumbukumbu,
- Kuwahi kufika kileleni ambako husababishwa
- Kulegea kwa mishipa ya ateri,
- Kushindwa kurudia tendo la ndoa,
- Kukosa hamu ya tendo la ndoa,
- Uume kusimama katika hali ya ulegelege,
- Maumivu wakati wa tendo la ndoa husuani wakati wa kurudia tendo la pili na mara baada ya tendo la ndoa la kwanza.
Unaweza kusoma madhara mengine zaidi ya punyeto kwa kubonyeza hapa.
Uzeofu unaonyesha asilimia kubwa ya wanaume ambao wamewahi kufanya punyeto kwa muda mrefu wanakabiliwa na tatizo la kuwa na uume uliodumaa, sinyaa na kurudi ndani.
Sababu kubwa ni kwamba vijana wengi wa kiume huanza kujihusisha na punyeto wakiwa na miaka 16, au 17 au hata chini ya hapo.
Hiki ni kipindi ambacho vijana hawa ndio wanakuwa wamebalehe.
Na kwa mujibu wa tafiti mbalimbali katika kipindi hiki cha balehe ndio kipindi ambacho homoni ambazo huhusika ukuaji wa sehemu mbalimbali za mwili ikiwemo uume huzalishwa kwa wingi.
Kama ulivyoona hapo juu, upigaji punyeto huathiri uzalishwaji wa homoni hizo.
Mwisho wa siku maumbile ya kiume ya wahusika hushindwa kukua na kuishia kudumaa na kusinyaa.
Na hii ndio sababu kubwa wanaume wanao kabiliwa na tatizo hili hubaki kuwa na maumbile yenye ukubwa ule ule wakati wa kubalehe.
Uume haukui wala kuongezeka hata baada ya miaka mingi baadaye.
Namna punyeto inavyosababisha kusinyaa kwa uume Click To TweetUkipata muda soma pia hii > Jinsi ya kuacha punyeto
0 Comments