Karibu sana mpendwa

Kama una ushuhuda wowote kama matokeo ya kutumia dawa kutoka kwangu na ukapona nitafurahi kama utaniandikia ushuhuda wako hapa ili uwe msaada kwangu na kwa wasomaji wangu wengine.

Jaza tu fomu hii hapa chini na nitaubandika ushuhuda wako ukutani kwa ajili ya wengine

Kama kweli upo makini kuwa wazi, acha mawasiliano yako hata watu wengine wawe huru kukupigia.

Nimepona Vidonda vya tumbo

Tatizo la vidonda vya tumbo lilinianza rasmi mwaka 2012. Nilikua nikitumia sindano za kutuliza maumivu makali kila nipatapo maumivu. Kipindi hicho sikuweka mkazo kujua hasa tatizo ni nini ilikua nikipata maumivu ni kukimbilia sindano – hasa Diclofenac Injection.

Tatizo lilipozidi nilifanyiwa kipimo Marie Stopes na kukuta nina Peptic Ulcers. Nikaandikiwa antibiotics bila mafanikio. Baadaye tatizo likazidi kuwa kubwa. Nikaenda Regency hospital na kufanyiwa kipimo cha endoscope ikifuatiwa na dawa zilizonigharimu hela nyingi. Sikutumia Heligo Kit, kwa sababu niliambiwa zina-resist bacteria wa vidonda vya tumbo badala yake nilitumia mchanganyiko wa dawa aina tatu bora kuliko Heligo Kit. Sikupata mafanikio!

Nikakata shauri kutafuta dawa mbadala mitandaoni. Nikaangukia kwenye website ya tabibu Fadhilli. Nilisita sana, lakini nikasema wacha nijaribu. Wakati huo maumivu yalipamba moto sikua nalala kikamilifu kwa uchungu wa maumivu.

Nilitumia dawa kikamilifu kwa muda mrefu kweli. Mwanzoni sikua naona mabadiliko kwa kweli ikafika wakati nikajiongezea kipimo cha dozi. Ninavyoongea hadi hivi leo nina hali nzuri na ni wazi nimepona. Naweza kula vyakula ambavyo awali sikua navila. Kujiridhisha nilifanya vipimo na kukuta sina tena peptic ulcers na kuta za tumbo zimepona. Ahsante sana tabibu. Mungu akubariki!

Naitwa Lensovic Wazambi, 0694056529

Nimepona Vidonda vya tumbo 1
Lensovic Wazambi
Imesomwa mara 430