kirusi cha corona

Fahamu kuhusu kirusi cha korona

Fahamu kuhusu kirusi cha korona Kirusi cha Korona Kirusi cha korona (Coronavirus), ni kimelea chenye gamba na kutunza vinasaba vyake katika malighafi za RNA. Corona virus nikisababishi cha magonjwa mbalimbali na vimelea hivyo vina makabila mbalimbali. COVID-19 Corona Virus Disease 2019 yaani; Ugonjwa utokanao na virusi vya korona vilivyogunduliwa mwaka Read more…