Matatizo ya Uzazi
Siku ya hatari kwa mwanamke kushika mimba
Siku ya hatari kwa mwanamke kushika mimba Tumia kikokotoo (calculator) hiki hapa chini kufahamu siku zako za hatari, andika tarehe ya siku ya kwanza ulipoona hedhi yako ya mwisho na ujaze mzunguko wako una siku ngapi kisha bonyeza TUMA na usubiri majibu. Ili kufahamu vizuri ni siku zipi ni hatari Read more…