fadhilipaulo.com

  • Makala
  • Tuwasiliane

Vidonda vya tumbo

Bawasiri na Vidonda vya tumbo

Vitu 6 nilivyojifunza kuhusu vidonda vya tumbo

VITU 6 NILIVYOJIFUNZA KUHUSU VIDONDA VYA TUMBO   1. Vinaweza kumpata mtu yeyote. Mwanzoni  mwa miaka ya 1980 wakati madaktari na watu wengine wote walipokuwa wakiwaambia watu kwamba vidonda vya tumbo vilikuwa vinasababishwa na msongo wa mawazo (stress) na vyakula vyenye kusisimua (vyenye pilipili – spiced foods), wanasayansi wawili kutoka Read more…

By Fadhili Paulo, 2 years23/06/2020 ago
Dawa za asili ya vidonda vya tumbo
Bawasiri na Vidonda vya tumbo

Dawa ya vidonda vya tumbo

Dawa ya vidonda vya tumbo. Katika makala hii nitakueleza kiundani juu ya dawa ya vidonda vya tumbo. Vidonda vya tumbo ni majeraha au vidonda ndani ya kuta za tumbo. Vidonda vya tumbo husababishwa na nini? Kwa kawaida vidonda vya tumbo husababishwa na bakteria aitwaye Helicobacter pylori au kwa kifupi H. Read more…

By Fadhili Paulo, 3 years22/12/2018 ago
Naitwa Fadhili Paulo

Naitwa Fadhili Paulo, ni Tabibu wa Tiba asili.

Ninayo ofisi yangu binafsi Jijini Dar Es Salaam Tanzania.

Lakini nafanya pia kazi kwa njia ya mtandao.

Ofisi yangu inaitwa TUMAINI HERBAL LIFE, Ipo Kibugumo Mji Mwema Kigamboni.

Kama unahitaji kuonana na mimi uso kwa uso weka kwanza miadi (appointment) kupitia WhatsApp +255714800175

Muda wa kazi : Saa tatu asubuhi mpaka saa kumi na mbili kamili jioni, jtatu – ijumaa.

Pia nakujulisha kuwa sina wakala wala tawi popote duniani..

 

Yaliyomo
  • Afya ya Wanaume
  • Bawasiri na Vidonda vya tumbo
  • Kinga ya mwili
  • Matatizo ya Uzazi
  • Vipodozi vya asili
Makala Mpya
  • Dalili na ishara 50 zinazoonyesha una msongo wa mawazo (stress) 18/05/2022
  • Dawa asili na vyakula 20 vinavyotibu tatizo la msongo wa mawazo (stress) 06/05/2022
  • Kukaa muda mrefu kwenye kiti husababisha kufa mapema 03/05/2022
  • Nimepata mtoto wa kiume jana 24/04/2022
  • Ufahamu mti unaotumika kutengeneza dawa ya kuchelewa kufika kileleni vumbi la Congo 22/04/2022
Badili rangi 👇

  • Makala
  • Tuwasiliane
Copyright © 2022 fadhilipaulo.com | Fadhili