dawa ya gauti

Dawa mbadala 14 zinazotibu maumivu ya gauti

Dawa mbadala 14 zinazotibu maumivu ya gauti Gout au maumivu ya jongo kwa Kiswahili ni aina mojawapo ya maumivu ya mishipa na yanaweza kuleta maumivu makubwa katika maungio hasa katika kidole gumba cha mguu. Ishara kubwa za maumivu ya jongo ni maumivu ya uvimbe nyakati za usiku, kupatwa na hasira, na maumivu katika kidole kikubwa cha mguu. Unaweza pia kujisikia… Soma zaidi »

Njia za uzazi wa mpango ndiyo chanzo kushuka umri na saratani ya matiti 1

Njia za uzazi wa mpango ndiyo chanzo kushuka umri na saratani ya matiti

Njia za uzazi wa mpango ndiyo chanzo kushuka umri na saratani ya matiti Njia uzazi wa mpango chanzo kushuka umri saratani ya matiti – Daktari Aveline Kitomary- Dar es salaam DAKTARI bingwa wa saratani kutoka Taasisi ya Saratani ya Ocean Road (ORCI), Heleni Makwani, amesema moja ya sababu za umri wa wanawake wanaougua saratani ya matiti kuendelea kushuka, ni matumizi… Soma zaidi »

Magonjwa hatari 18 yanayotibika kwa kutumia mbegu za maboga

Magonjwa hatari 18 yanayotibika kwa kutumia mbegu za maboga

MAGONJWA HATARI 18 YANAYOTIBIKA KWA KUTUMIA MBEGU ZA MABOGA Mbegu za maboga zina protini na madini ya kutosha na ya mhimu zaidi mwilini kama madini ya zinki, kopa, maginizia, manganizi na chuma. Mbegu za maboga ni tamu na zinaweza kutafunwa nyakati zozote na mahali popote hasa kwa wapenda kutafuna-tafuna kama mimi. Tafiti mbalimbali zimethibitisha pasipo na shaka kuwa mbegu za… Soma zaidi »

Kitunguu swaumu

Kitunguu swaumu hutibu magonjwa 30

Mungu anaposema watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa hamaanishi maarifa ya kutengeneza au kuendesha ndege, ni maarifa ya kawaida tu katika maisha yetu ya kila siku ambayo yanaweza kubadilisha afya na ustawi wetu. Moja ya mmea ambao umependelewa sana na Mungu kwakuwa na viinilishe vingi na mhimu sana kwa ajili ya kuimarisha kinga ya mwili ni kitunguu swaumu. Kitunguu swaumu… Soma zaidi »

Chanzo cha saratani ya matiti 2

Chanzo cha saratani ya matiti

Chanzo cha saratani ya matiti Hakuna kitu kingine kizuri kama mwili wa mwanamke kwakuwa unaweza kuleta kiumbe binadamu kingine. Mwili wa mwanamke unazo ovari ambazo hutengeneza mayai na homoni maalumu ambazo hudhibiti mwili wake wakati wa ujauzito kuanzia wakati yai linaporutubishwa mpaka mwishoni mwa wastani wa miezi tisa (wakati wa kujifunguwa). Mfumo huu maalumu huanza kazi mara mwanamke anapoanza mzunguko… Soma zaidi »

Namna saratani inavyojitokeza mwilini 3

Namna saratani inavyojitokeza mwilini

Namna saratani inavyojitokeza mwilini Kama wewe ni mvivu kusoma pita hivi kwanza nenda ka-like mapicha ya rafiki zako wengine huko kwenye facebook. Siku hizi tunaambiwa mtu mmoja kati ya watu watatu atakuwa na mojawapo ya aina za saratani, miaka 65 iliyopita ilikuwa mtu mmoja kati ya watu elfu kumi. Saratani ni nini? Saratani ni mgawanyiko usio sawa na usiodhibitika wa… Soma zaidi »

Tendo la ndoa hupunguza hatari ya kupata saratani ya tezi dume 5

Tendo la ndoa hupunguza hatari ya kupata saratani ya tezi dume

Tendo la ndoa hupunguza hatari ya kupata saratani ya tezi dume Katika hali ya kawaida inaelezwa kushiriki tendo la ndoa kuna faida nyingi kiafya, hata hivyo kushiriki tendo la ndoa mara nyingi kupita kiasi kunaweza kusababisha matatizo ya msingi ambayo huleta madhara kwa watu wanaoiendekeza. Mtu anaweza kuwa na mwenzi na kujikuta kila siku anatumia ‘chakula cha usiku’ kwa sababu… Soma zaidi »

Dawa ya asili ya kutibu saratani ya tezi dume 6

Dawa ya asili ya kutibu saratani ya tezi dume

Dawa ya asili ya kutibu saratani ya tezi dume MAFUTA YA HABBAT SODA NI DAWA BORA YA SARATANI YA TEZI DUME Mafuta ya habbat soda yana sifa ya kudhibiti vivimbe na seli za kansa. Dawa hii ya asili imeshafanyiwa majaribio mengi na kila mara matokeo yake yamethibitika wazi kwamba ni dawa bora kwa kansa karibu zote. Ni dawa pia kwa… Soma zaidi »

Dawa ya saratani ya tezidume 8

Dawa ya saratani ya tezidume

Dawa ya saratani ya tezidume Tezi ya prostate ni tezi yenye umbile la donati, iliyoko chini ya kibofu cha mkojo. Tezi hii huzungukwa na  mirija  ya mkojo na  uhusika uzalishaji wa maji maji yanayohusika na urutubishaji na usafirishaji wa mbegu za kiume (semen). Mabadiliko ya kimaumbile katika tezi dume kama; uvimbe au ongezeko la ukubwa  huleta  hitilafu katika mfumo mzima… Soma zaidi »