fadhilipaulo.com

  • Makala
  • Tuwasiliane

Image

makosa wafanyayo wanawake kitandani
Afya ya Wanaume

Makosa makubwa kabisa 6 wafanyayo wanawake kitandani

Makosa makubwa kabisa 6 wafanyayo wanawake kitandani   Nimewahi kuandika huko siku za nyuma makosa makubwa manne wafanyayo wanaume kitandani, ni makala ilipendwa sana na wote na unaweza kuiona na kuisoma wakati wowote kwa kubonyeza hapa. Baadhi ya watu walinitafuta na kunitaka niandike pia na makosa wafanyayo wanawake kitandani ili Read more…

By Fadhili Paulo, 2 years22/09/2020 ago
Usile vyakula hivi muda mchache kabla ya tendo la ndoa
Afya ya Wanaume

Usile vyakula hivi muda mchache kabla ya tendo la ndoa

Usile vyakula hivi muda mchache kabla ya tendo la ndoa Ni usiku wa mahaba leo. Wakati unajipanga juu ya mavazi utakayovaa bila shaka kunaweza kuwa na chakula cha pamoja kabla ya kwenda kulala ili kuongeza kidogo hali ya kuwa pamoja. Sasa kama hujuwi ni chakula kipi ule na kipi usile Read more…

By Fadhili Paulo, 2 years03/12/2019 ago
Jinsi ya kuacha kujichua
Afya ya Wanaume

Jinsi ya kuacha punyeto

JINSI YA KUACHA PUNYETO Punyeto ni tendo lolote la kujitafutia ashiki binafsi hasa kwa kuchochea viungo vya uzazi. Wanaochukua hatua hiyo ili wajipatie kionjo cha kuridhisha kinachofanana na kile cha tendo la ndoa kwa kawaida wanasukumwa na msisimko uliowapata, pamoja na aibu ya kujitafutia mtu na hofu ya kuambukizwa maradhi Read more…

By Fadhili Paulo, 3 years29/06/2019 ago
Makosa wafanyayo wanaume wengi wakiwa kitandani
Afya ya Wanaume

Makosa wafanyayo wanaume wengi wakiwa kitandani

Makosa wafanyayo wanaume wengi wakiwa kitandani 1.Kosa la kwanza : KUWA MBALI NA MWILI WA MWANAMKE Wakati unashiriki tendo la ndoa mwanamke anapata Raha zaidi Ikiwa mwanaume utamlalia mwili wako wote juu yake Wanaume wengi hawajuwi hili. Usiweke mikono yako Kama stendi na kubaki juu juu tu huku uko bize Read more…

By Fadhili Paulo, 3 years22/04/2019 ago
Madhara ya punyeto kwa wanaume
Afya ya Wanaume

Madhara ya punyeto kwa wanaume

Madhara ya kupiga punyeto kwa wanaume Tunahitaji mahusiano ili tuongezeke na hili haliwezi kufanikiwa bila kushiriki tendo la ndoa kati ya watu wa jinsia mbili tofauti. Hisia hizi huanza kujitokeza pale mtu anapofikia wakati wa kubarehe. Hapa ndiyo wakati mgumu na mbaya kwa kijana hasa kwa asiyejitambua na asiye na Read more…

By Fadhili Paulo, 3 years10/12/2018 ago
awa ya asili ya kuongeza hamu ya tendo la ndoa
Matatizo ya Uzazi

Dawa ya asili ya kuongeza hamu ya tendo la ndoa kwa mwanamke

Dawa ya asili ya kuongeza hamu ya tendo la ndoa kwa mwanamke Hili ni tatizo ambalo nimekuwa nikiulizwa mara nyingi sana na wanawake wengi kwa muda sasa na mwanzoni nilikuwa nalichukulia poa lakini kadri siku zinavyoenda naendelea kuona wengi zaidi wakizidi kunitafuta kwa ajili hii. Wapo ambao wameshakuja hata kuniona Read more…

By Fadhili Paulo, 3 years08/12/2018 ago
Naitwa Fadhili Paulo

Naitwa Fadhili Paulo, ni Tabibu wa Tiba asili.

Ninayo ofisi yangu binafsi Jijini Dar Es Salaam Tanzania.

Lakini nafanya pia kazi kwa njia ya mtandao.

Ofisi yangu inaitwa TUMAINI HERBAL LIFE, Ipo Kibugumo Mji Mwema Kigamboni.

Kama unahitaji kuonana na mimi uso kwa uso weka kwanza miadi (appointment) kupitia WhatsApp +255714800175

Muda wa kazi : Saa tatu asubuhi mpaka saa kumi na mbili kamili jioni, jtatu – ijumaa.

Pia nakujulisha kuwa sina wakala wala tawi popote duniani..

 

Yaliyomo
  • Afya ya Wanaume
  • Bawasiri na Vidonda vya tumbo
  • Kinga ya mwili
  • Matatizo ya Uzazi
  • Vipodozi vya asili
Makala Mpya
  • Dalili na ishara 50 zinazoonyesha una msongo wa mawazo (stress) 18/05/2022
  • Dawa asili na vyakula 20 vinavyotibu tatizo la msongo wa mawazo (stress) 06/05/2022
  • Kukaa muda mrefu kwenye kiti husababisha kufa mapema 03/05/2022
  • Nimepata mtoto wa kiume jana 24/04/2022
  • Ufahamu mti unaotumika kutengeneza dawa ya kuchelewa kufika kileleni vumbi la Congo 22/04/2022
Badili rangi 👇

  • Makala
  • Tuwasiliane
Copyright © 2022 fadhilipaulo.com | Fadhili