Ufahamu mti unaotumika kutengeneza dawa ya kuchelewa kufika kileleni vumbi la Congo

Published by Fadhili Paulo on

Vumbi hili lina majina mengi sana nayo ni Kasongo, Mundende, putururu, Mpesu, nk.

Vumbi hili si vumbi kama vumbi la stoo, barabarani, shambani nk.

Hili ni vumbi linalotokana mizizi au magome ya mti unaitwa MPESU au Violet tree (kitaalam unaitwa Securidaca Longipedunculata)

Basi mti huo husagwa na kuwa unga yaani vumbi.

Matumizi yake ya asili ilikuwa ni kupaka kwenye uume wa mtu ambae anataka kutahiriwa ili kumpa ganzi asipate maumivu wakati anatahiriwa wakati huo kabla hospitali hazijaja. 

Hii ni ganzi ya kienyeji iliyokuwa inatumiwa na Ngariba wa kienyeji nchini Kongo ila kwa sasa matumizi yake makubwa yamehamishiwa kwenye sekta ya tendo la ndoa. 

Ukweli ni kwamba vumbi la Congo haliongezi kabisa nguvu za kiume.

Yaani vumbi la Congo halina uwezo wa kuuchochea uume uliolala usimame imara.

Bali linafanya kichwa cha uume kupata ganzi (nusu kaputi), kwahiyo wakati unafanya mapenzi ule utamu mkali unaofanya ufike kileleni (umwage wazungu) unazuiwa na ile ganzi iliyoko Kwenye kichwa cha uume.

Mti unaotumika kutengeneza dawa ya asili ya vumbi la Congo

Kwahiyo, unaweza kumgegeda mwanamke kwa muda mrefu zaidi bila kupata ule utamu utakaokupelekea kumwaga wazungu na kwa mwanaume usipomwaga mpini unaendelea kuwa imara kama simba.

MATUMIZI YAKE

Ni mwanaume anaweka matone 2 ya maji au mate au mafuta kidogo kwenye kiganja (mafuta mgando ndiyo mazuri zaidi).

Kisha anachanganya na vumbi kidogo (Unga) anapaka kwenye uume kwa kuchua au kusugua (hasa kwenye kichwa).

Mkongo mara nyingi hupakwa dakika 30 kabla ya tukio lenyewe. 

Vumbi la Congo

FAIDA

Vumbi la Congo faida yake ni kumsaidia mwanaume kumfikisha mwanamke kileleni kwa kumsugua ipasavyo apate raha au kumkomesha (KUWEKA HESHIMA).

Ila kiuhalisa halina faida kwa mwanaume mhusika mwenyewe aliejipaka maana uume unakua Kwenye GANZI MODE (nusu kaputi) na mwanaume hauhisi utamu wowote. 

Yaani ni kama uko tu na lijipande la nyama unaingiza na kutoa ndani ya uke.

Vumbi la Congo mti

ATHARI ZAKE

Kitaalam hakuna tafiti yoyote iliyoonyesha kuwa na athari yoyote kwa mwanaume anaetumia zaidi tu ya kumpunguzia utamu wa tendo mhusika.

Athari inaonekana kwa mwanamke husika aliyegegedwa kwa mkongo.

Ambapo wakati wa tendo anakua anasikia joto Kali linafukuta sana uko ukeni ila ukichomolewa Uume mwanamke atasikia ubaridi flani mkali wa kuchomachoma ukeni.

Na ubaridi huu mara nyingi hukata nyege za mwanamke husika.

Husababisha mwanamke kupoteza hamu ya kurudia au kuendelea na tendo.

Ndiyo maana, kwa watumiaji wa mkongo mwanmke akiomba apumzike TU kidogo au aende kidgo chooni ule Ubaridi wa ganzi ukimpiga tu kidogo inakua NDIYO  IMETOKA HIYO na HATOTAMANI TENA KUENDELEA NA TENDO.

Na hali hii ya ubaridi wa ganzi ukeni inaweza kudumu kwenye uke wa mwanamke kwa siku 2 hadi 5 kutegemea na mwanaume husika alitumia mkongo kias gani.

Pia kwa baadhi ya wanawake, Mkongo huweza kuwaletea muwasho sana ukeni baada ya tendo maana Wakemia wengine wa MKONGO huuchanganya na unga wa pilipili kichaa, tangawizi au kitunguu saumu Au pia mwanaume mwenyewe husika kuamua kuuchua umme wake kwa mchanganyiko wa mkongo wenye matone kadhaa ya chill sauce ili kuongeza msisimko ukeni kwa mwanamke ili atake kugegedwa zaidi na zaidi

Vumbi la Kongo

(Visited 189 times, 1 visits today)

0 Comments

Leave a Reply

Avatar placeholder

Your email address will not be published.

WhatsApp WhatsApp +255714800175