Usile vyakula hivi muda mchache kabla ya tendo la ndoa
Ni usiku wa mahaba leo. Wakati hujajipanga juu ya mavazi utakayovaa bila shaka kunaweza kuwa na chakula cha pamoja kabla ya kwenda kulala ili kuongeza kidogo hali ya kuwa pamoja.
Sasa kama hujuwi ni chakula kipi ule na kipi usile muda mchache kabla ya hiyo mechi unaweza kupata shida au ukasababisha sherehe isikamilike!
Haya mimi leo nakuwekea hapa vyakula ambavyo hutakiwi kula muda mchache kabla ya mechi ili uwe na ufanisi mzuri, navyo ni pamoja na;
1. Maharage
2. Pilipili
3. Kitunguu swaumu
4. Nyama nyekundu
5. Viazi
6. Soda
Kumbuka nimesema hivi hutakiwi kula muda mchache kabla ya tendo la ndoa. Kumbe nyakati nyingine unaweza kuvitumia
Kumbe hivi vifuatavyo ni vizuri ukila muda mchache kabla ya mechi;
1. Kiazi pori (beets),
2. Wali,
3. Chokoleti nyeusi,
4. Nanasi,
5. Mvinyo mwekundu
Karibu kwa maswali zaidi
Makala hii inaendelea kuongezwa maelezo zaidi na picha, endelea kuja
Imehaririwa