Utafiti: Saratani ya tezidume inawapata zaidi wanaume wagumba

Published by Fadhili Paulo on

Utafiti: Saratani ya tezidume inawapata zaidi wanaume wagumba

Imethibitishwa saratani ya tezi dume inawapata zaidi wanaume wagumba.

Saratani ya tezi dume na tatizo la mwanaume kutokuwa na uwezo wa kutungisha mimba yaani ugumba ni matatizo ya kawaida ya kiafya yanayowakumba asilimia 8 mpaka 10 ya wanaume.

Wengi wetu tumekuwa tukijiuliza juu ya sababu ya kuongezeka kwa ugonjwa wa saratani ya tezi dume kwa wanaume miaka ya hivi karibuni.

Wengine tumekuwa tukipeleleza ni nini hasa kilicholeta ugonjwa huu miaka ya hivi karibuni.

Na kumekuwa na tafiti mbalimbali sehemu mbalimbali huko duniani kuhusu ugonjwa huu.

Sasa moja ya utafiti uliofanyika huko nchini sweden unatoa majibu kwamba wanaume wengi wanaougua ugonjwa huu wa saratani ya tezi dume wengi wao ni wale ambao ni wagumba au wamekuwa na tatizo la hapa na pale katika uwezo wao wa kuwapa ujauzito wake zao.

Sweden ni nchi ipo Ulaya maarufu sana kwa kutengeneza magari yanaitwa Volvo.

Je kuwa na watoto wengi kunawasaidia wanaume wasiugue saratani ya tezidume?

Je kuwa mgumba kunakuongezea hatari zaidi ya kupatwa na saratani ya tezidume?

Ikiwa una tatizo lolote kuhusiana na mbegu zako labda zimekuwa chache, hazina afya na uwezo wa kutungisha mimba nk tuwasiliane WhatsApp +255714800175

Tafiti mbalimbali za kutafuta uhusiano uliopo baina ya ugumba na saratani ya tezi dume zimekuwa zikifanyika katika nchi mbalimbali ndani ya miaka 20 iliyopita.

Kwenye utafiti huo uliofanyika huko nchini Sweden ukihusisha wanaume 1,181,490 uligundua kuwa asilimia 64 ya wanaume wenye saratani ya tezi dume ni wale ambao walipata tabu sana kupata watoto na wengi walilazimika kupata mtoto kwa njia ya upandikizaji (IVF).

Wanaume wagumba yaani wale wasioweza kuwapa wake zao ujauzito hasa wenye tatizo la kuwa na mbegu chache (low sperm count) wana hatari ya mara 3 zaidi ya kupatwa na saratani ya tezi dume kwenye maisha yao mbele ya safari.

Pengine unaweza kuunganisha habari hapa na ukapata ukweli wa jambo hili.

Ukipata muda soma na hii 👇

Tendo la ndoa hupunguza hatari ya kupata saratani ya tezi dume

Inajulikana wazi pia wanaume wengi wanaoshiriki tendo la ndoa mara kwa mara hawaugui saratani ya tezi dume.

Na wakati huo huo inajulikana wazi kuwa kitendo cha mwanaume kuwa mgumba au kutokuwa na uwezo wa kutungisha mimba ni moja ya sababu inayoweza kumfanya mwanaume apoteze hamu ya kutaka kushiriki tendo la ndoa.

Tunachohitaji sote kwa pamoja mimi na wewe ni kuendelea kufanya tafiti, tunatakiwa tuendelee kujisomea na kutafuta ukweli.

Kama unahitaji dawa nzuri ya asili kwa ajili ya saratani ya tezi dume niachie tu ujumbe WhatsApp +255714800175. Maelezo yake zaidi unaweza kuyasoma kwa kubonyeza hapa.

Share na wengine uwapendao.

(Visited 133 times, 1 visits today)

0 Comments

Leave a Reply

Avatar placeholder

Your email address will not be published.

WhatsApp WhatsApp +255714800175