faida za mayai kiafya

Faida 10 za mayai kiafya

FAIDA 10 ZA MAYAI KIAFYA Mayai ni moja ya vyakula vichache ambavyo naweza kuviweka katika kundi la vyakula ‘bora zaidi’ kuliko vyote. Mayai yamejaa viinilishe mhimu na vingi kati ya hivyo viinilishe havipatikani kirahisi katika vyakula vingi vya kisasa. Zifuatazo ni faida 10 za kiafya zitokanazo na kula mayai kama zilivyothibitishwa katika tafiti nyingi duniani: 1. Mayai yana virutubisho vya… Soma zaidi »

Ulaji wa chipsi umetajwa kuwa hatari kwa afya ya binadamu 1

Ulaji wa chipsi umetajwa kuwa hatari kwa afya ya binadamu

ULAJI WA CHIPS umetajwa kuwa HATARI kwa afya ya Binadamu. ULAJI WA CHIPS umetajwa kuwa HATARI kwa afya ya Binadamu, kwani husababisha maradhi mengi yasiyo ya kuambukiza hasa FIGO, MOYO , SHINIKIZO LA DAMU,KISUKARI NA SARATANI za aina zote. SAHANI moja ya CHIPS kavu huwa na MAFUTA yanayokaribia NUSU kikombe cha CHAI ambayo ni sawa na ujazo wa mililita 250…. Soma zaidi »

Madhara 10 ya uzito na unene kupita kiasi 3

Madhara 10 ya uzito na unene kupita kiasi

MADHARA YA UZITO NA UNENE KUPITA KIASI Magonjwa hatari unayoweza kupata kutokana na uzito wako kuwa mkubwa ni pamoja na yafuatayo: 1. Magonjwa ya moyo. 2. Shinikizo la juu la damu 3. Kiharusi (Stroke) 4. Kisukari aina ya pili 5. Baadhi ya aina za saratani 6. Ugumba 7. Msongo wa mawazo (Stress) 8. Matatizo ya mifupa 9. Maumivu ya mgongo… Soma zaidi »

madhara ya kukaa kwenye kiti masaa mengi

Kukaa muda mrefu kwenye kiti husababisha kufa mapema

Kukaa muda mrefu kwenye kiti husababisha kufa mapema Pengine tayari unafahamu kuwa kutokujishughulisha na mazoezi ya viungo mara kwa mara ni hatari kwa afya yako. Ndiyo hilo ni jambo ambalo kila mtu analijuwa (common sense). Vipi lakini ikiwa ni kweli unajitahidi kila siku kutimiza jukumu hilo la kufanya mazoezi dakika 30 hadi lisaa limoja na wakati huo huo unatumia masaa… Soma zaidi »

Kupunguza uzito na unene bila mazoezi wala kufunga kula

Mbinu 11 za kupunguza uzito na unene bila mazoezi wala kufunga kula

MBINU 11 ZA KUPUNGUZA UZITO NA UNENE BILA MAZOEZI WALA KUFUNGA KULA Kuendelea kutegemea mazoezi au kufunga kula au kupunguza kula kunaweza kusiwe msaada kwa baadhi ya wengine wanaotaka kupunguza uzito na unene wa miili yao. Hata hivyo zipo mbinu chache unazoweza kuzitumia na ukaweza kudhibiti uzito wako. Bila kukupigisha stori nyingi hapa chini nakuelezea mbinu hizo bila kuchelewa kama… Soma zaidi »

Jinsi ya kuongeza uzito na unene bila kudhuru mwili wako 4

Jinsi ya kuongeza uzito na unene bila kudhuru mwili wako

JINSI YA KUONGEZA UZITO AU UNENE BILA KUDHURU MWILI WAKO Kuna wakati mtu unajiona wazi kuwa uzito wako upo chini na pengine ungehitaji ungeongezeka kidogo uzito na unene wako kwa ujumla. Tuachane na wale wanaotaka kuongeza sehemu za kukalia na mapaja kwanza, nitaleta dawa kwa ajili hiyo siku nyingine. Nazungumzia mtu anayetaka kuongezeka uzito na unene wa mwili kwa ujumla…. Soma zaidi »

Dawa ya kupunguza unene

Dawa ya asili ya kupunguza uzito, unene na kitambi

Dawa ya asili ya kupunguza uzito, unene na kitambi Kuna watu hudhani ukiwa mnene au mwenye uzito mkubwa ndiyo kuwa na afya na ndiyo maana wengine wakikonda basi huchanganyikiwa kabisa. Lakini uzito au unene uliozidi ni ugonjwa tena ugonjwa mubaya kabisa ambao unapaswa kuwa makini nao sana kwani ni chanzo cha magonjwa mengine mengi mwilini. Kila mmoja anapaswa kuwa na… Soma zaidi »