Dawa mbadala 11 zinazotibu kufunga choo au choo kigumu

Dawa mbadala 11 zinazotibu kufunga choo au choo kigumu

DAWA MBADALA 11 ZINAZOTIBU KUFUNGA CHOO AU CHOO KIGUMU Tatizo la kufunga choo au kupata choo kigumu ni jambo tunalolikwepa kwenye mazungumzo yetu ya kila siku. Hata hivyo ni tatizo kubwa katika jamii na mbaya zaidi wengi hawajuwi madhara yake ni nini ya kuendelea kulivumilia tatizo hili. Kupata choo kigumu au kufunga choo ni ishara ya tatizo lingine baya zaidi… Soma zaidi »

Kitunguu swaumu

Kitunguu swaumu hutibu magonjwa 30

Mungu anaposema watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa hamaanishi maarifa ya kutengeneza au kuendesha ndege, ni maarifa ya kawaida tu katika maisha yetu ya kila siku ambayo yanaweza kubadilisha afya na ustawi wetu. Moja ya mmea ambao umependelewa sana na Mungu kwakuwa na viinilishe vingi na mhimu sana kwa ajili ya kuimarisha kinga ya mwili ni kitunguu swaumu. Kitunguu swaumu… Soma zaidi »

Aina za vidonda vya tumbo 1

Aina za vidonda vya tumbo

Vidonda vya tumbo vimegawanyika katika makundi matatu makuu na leo nitajadili kwa kina aina hizo za magonjwa haya ya tumbo kama ifuatavyo: 1. Vidonda vya tumbo kubwa (Gastric Ulcers): Aina hii ya vidonda vya tumbo hutokea kwenye mfuko wa kuhifadhia chakula yaani tumbo. Vidonda hivi hutokea katika utumbo kwa sababu mbalimbali kama vile mtu kupata maambukizi ya bakteria aina ya… Soma zaidi »

Jinsi ya kuimarisha afya ya mfumo wako wa mmeng’enyo wa chakula 2

Jinsi ya kuimarisha afya ya mfumo wako wa mmeng’enyo wa chakula

Jinsi ya kuimarisha afya ya mfumo wako wa mmeng’enyo wa chakula Ili kuimarisha mfumo wako wa mmeng’enyo wa chakula unahitaji kula zaidi vyakula vyenye bakteria wazuri. Tumboni kwako kuna bakteria wa aina mbili, bakteria wazuri na bakteria wabaya na kwa bahati mbaya mwili au tumbo lako linawahitaji bakteria wote wawili yaani bakteria wazuri na bakteria wabaya ili uendelee kuishi. Hata… Soma zaidi »

Vitu 6 nilivyojifunza kuhusu vidonda vya tumbo 3

Vitu 6 nilivyojifunza kuhusu vidonda vya tumbo

VITU 6 NILIVYOJIFUNZA KUHUSU VIDONDA VYA TUMBO 1. Vinaweza kumpata mtu yeyote. Mwanzoni  mwa miaka ya 1980 wakati madaktari na watu wengine wote walipokuwa wakiwaambia watu kwamba vidonda vya tumbo vilikuwa vinasababishwa na msongo wa mawazo (stress) na vyakula vyenye kusisimua (vyenye pilipili – spiced foods), wanasayansi wawili kutoka Australia wakagundua kwamba pamoja na hayo kisababishi kikuu kingine cha vidonda… Soma zaidi »

Madhara ya Vidonda vya tumbo mwilini

Madhara 9 ya vidonda vya tumbo mwilini

Madhara 9 ya Vidonda vya tumbo mwilini Vidonda vya tumbo ni majeraha au vidonda ndani ya kuta za tumbo. Majeraha au vidonda hivyo huleta maumivu yanayokera na hutokea mara nyingi tumboni na yanaweza kutibika lakini kama hutachukuwa hatua mapema za kutibu yanaweza kukuletea majanga mengine mengi kiafya. Tumbo na utumbo mdogo vina kuta maalumu yenye ute ute wa ulinzi ambao… Soma zaidi »

Uhusiano wa vidonda vya tumbo na saratani ya tumbo 5

Uhusiano wa vidonda vya tumbo na saratani ya tumbo

Uhusiano wa vidonda vya tumbo na saratani ya tumbo . Kwa kawaida vidonda vya tumbo husababishwa na bakteria aitwaye Helicobacter pylori au kwa kifupi H. pylori. Watu wawili katika kila watu watatu hapa duniani wana huyu bakteria tumboni mwao Na ingawa wengi wa watu hawa wenye huyu bakteria hawaonyeshi dalili yoyote ya kuumwa vidonda vya tumbo bado baadhi yao wanatokewa… Soma zaidi »

Usile vyakula hivi kama unaumwa Bawasiri

Usile vyakula hivi kama unaumwa Bawasiri

Usile vyakula hivi kama unaumwa Bawasiri Wagonjwa wengi ninaokutana nao wakitafuta dawa ya bawasiri baadhi yao wamekuwa wakisema nahitaji dawa kwa ajili ya rafiki au ndugu yangu fulani na siyo kujisema wao moja kwa moja kwamba ndiyo wanaoumwa! Uwe na amani haijalishi ni bawasiri au U.T.I au vidonda vya tumbo au nguvu za kiume, chochote utakachowasiliana na mimi kinabaki kuwa… Soma zaidi »

Vidonda vya tumbo husababisha upungufu wa nguvu za kiume 6

Vidonda vya tumbo husababisha upungufu wa nguvu za kiume

Vidonda vya tumbo husababisha upungufu wa nguvu za kiume Hapo kabla tumejifunza mengi kuhusu ugonjwa wa VIDONDA VYA TUMBO. Baadaye tukajadili kwa kirefu juu ya DALILI 21 ZA VIDONDA VYA TUMBO. Kama hukubahatika kupata somo hili pia unaweza kulisoma kwa kubonyeza hapa Kisha tukaja tukasoma juu ya DAWA MBADALA INAYOTIBU VIDONDA VYA TUMBO. Kama hukubahatika kusoma makala hii pia unaweza… Soma zaidi »

Vyakula vinavyosababisha vidonda vya tumbo

Vyakula ambavyo mgonjwa wa vidonda vya tumbo hatakiwi kula

Vyakula ambavyo mgonjwa wa vidonda vya tumbo hatakiwi kula Mgonjwa wa vidonda vya tumbo ni lazima uwe makini sana na chakula unachokula kila siku. Chakula unachokula kila siku kitaamua ikiwa dawa unayotumia kutibu vidonda vya tumbo itakuponya na kukuacha huna vidonda tena milele au ndiyo utapata nafuu ya muda mfupi tu na baadaye utaendelea kuumwa vidonda tena na tena mpaka… Soma zaidi »

Chakula cha mgonjwa wa vidonda vya tumbo

Vyakula vya asubuhi vya mgonjwa wa vidonda vya tumbo

Mgonjwa wa vidonda vya tumbo ni lazima uwe makini sana na chakula unachokula kila siku. Chakula unachokula kila siku kitaamua ikiwa dawa unayotumia kutibu vidonda vya tumbo itakuponya na kukuacha huna vidonda tena milele au ndiyo utapata nafuu ya muda mfupi tu na baadaye utaendelea kuumwa vidonda tena na tena mpaka utakapokata tamaa na kutoamini kama kuna kupona vidonda vya… Soma zaidi »

Chakula cha mgonjwa mwenye vidonda vya tumbo 7

Chakula cha mgonjwa mwenye vidonda vya tumbo

CHAKULA CHA MGONJWA WA VIDONDA VYA TUMBO Unachotakiwa ni kufanya utafiti au kujisomea mwenyewe sehemu mbalimbali aina ya vyakula na vinywaji vyenye alkalini nyingi, hivi ndiyo vyakula upendelee kula zaidi. Wakati huo huo wewe mwenyewe binafsi jisomee huko na huko ni vyakula gani vina asidi nyingi na hivi ndivyo vyakula utakiwa uvikwepe kabisa au ule mara chache sana pengine mara… Soma zaidi »

Dawa za asili ya vidonda vya tumbo

Dawa ya vidonda vya tumbo

Dawa ya vidonda vya tumbo. Katika makala hii nitakueleza kiundani juu ya dawa ya vidonda vya tumbo. Vidonda vya tumbo ni majeraha au vidonda ndani ya kuta za tumbo. Vidonda vya tumbo husababishwa na nini? Kwa kawaida vidonda vya tumbo husababishwa na bakteria aitwaye Helicobacter pylori au kwa kifupi H. pylori. Watu wawili katika kila watu watatu hapa duniani wana… Soma zaidi »

Dalili za vidonda vya tumbo

Dalili za vidonda vya tumbo

Katika makala hii nitakueleza kiundani dalili za vidonda vya tumbo. Vidonda vya tumbo ni majeraha au vidonda ndani ya kuta za tumbo. Vidonda vya tumbo husababishwa na nini? Seli ndani ya mwili lazima zibaki katika kiasi kidogo cha alkalini kutoka 7.2 mpaka 7.4, wakati 7.0 ni ya kati au husemwa sifuri katika kipimo cha PH yaani potential hydrogen. Chini ya… Soma zaidi »