Vifaa

Nakuwekea hapa vifaa vyote kimoja baada ya kingine kama ifuatavyo:
1. Siku ya hatari kupata ujauzito:
Je unahitaji au unataka kujuwa siku yako ya hatari kupata ujauzito?
Unataka kujuwa ni zipi hasa au siku ipi hasa unayoweza kupata ujauzito?
Tumia calculator hii hapa chini kufahamu hilo
a)Andika tarehe ya siku ya kwanza ulipoanza kuona siku zako katika hedhi yako ya mwisho
b)Andika mzunguko wako ni wa siku ngapi
c)Bonyeza kitufe chenye neno TUMA
Utapewa majibu hapa hapa
.
2. Uzito:
Unataka kujuwa ikiwa una uzito sawa au uliozidi?
Tumia kikokotoo cha BMI (BMI calculator) hiki hapa chini kwa kufuata hatua hizi:
a)Bonyeza Nataka Kupima Uzito
b)Kisha andika urefu wako katika sentimita na uzito katika kilogramu
c)Mwisho bonyeza KOKOTOA
Itakuambia kama una uzito sawa au umezidi au una uzito pungufu.
Your BMI is......Pima uzito hapa
require
require
BMI Classification
less than 18.5: Underweight
18.5 - 24.9: Normal weight
25 - 29.9: Overweight
30 - 34.9: Class I Obese
35 - 39.9: Class II Obese
40 upwards: Class III Obese
.
3. Mafuta mwilini:
Your body fat is ......Mafuta mwilini
require
require
require
Description Women Men
Recommended amount: 20-25% 8-14%
Adults in United States, average : 22-25% 15-19%
Obese : 30+% 25+%
.
4. Protini:
You should take ...... of protein per dayProtini kiasi gani nahitaji
age should be in 14 to 80 range
require
require
.
5. Maji ya Kunywa:
you should drink ...... of water per day Ninywe maji kiasi gani kila siku?
require
require
.
Na vingine vingi vinakuja haraka sana …
Endelea kuja …