Vyakula 14 vinavyoongeza nguvu katika ubongo

Published by Fadhili Paulo on

Kuongeza akili
Kuongeza akili

Vyakula 14 vinavyoongeza nguvu katika ubongo

Kuna wakati unaona wazi ubongo wako umechoka au ufanisi wake umepungua tofauti na zamani.

Au sababu tu ya kazi na misongamano mingi unajikuta kichwa kimechoka kufanya kazi.

Hakuna dawa yoyote hospitalini inayoweza kukurudishia nguvu zako za ubongo.

Dawa nyingi za kizungu za kuongeza nguvu za ubongo zina madhara makubwa baadaye katika mwili.

Kila mmoja wetu anapatwa na tatizo hili la kuhisi kushuka kwa nguvu za ubongo wake.

Takwimu zinaonyesha baada ya miaka 85 uwezekano wako wa kupata ugonjwa wa kupoteza kumbukumbu huongezeka kwa asilimia 50.

Hivyo ni wazi tunahitaji kujiwekea mazoea na tabia ya kula vyakula na kuishi namna ambazo zitakuwa zikiendelea kuupa nguvu ubongo kila siku.

Hapa nimekuandalia orodha ya haraka haraka ya vyakula hivyo, pia uhakikishe unapata usingizi wa kutosha kila siku:

1. Mafuta ya zeituni
2. Mafuta ya nazi
3. Samaki
4. Binzari
5. Mayai
6. Korosho
7. Kitunguu swaumu
8. Broccoli
9. Parachichi
10. Mvinyo mwekundu (glasi 1 au 2 kwa siku, ikizidi zaidi ya hapa inakuwa pombe)
11. Spinachi
12. Lozi (Almonds)
13. Unga wa mbegu za maboga

Vitu vingine mhimu kwa ajili ya kuongeza nguvu katika ubongo ni pamoja na mazoezi ya viungo na amani nafsini mwako.

Kama una swali lolote kuhusu post hii niulize hapo chini kwenye comment nitakujibu hapa hapa.

SHARE post hii kwa ajili ya wengine uwapendao

Fadhili Paulo
Imesomwa mara 496

Imehaririwa mwisho


Fadhili Paulo

Naitwa Fadhili Paulo, ni Tabibu wa Tiba asili. Ofisi yangu inaitwa TUMAINI ALL NATURAL STORE, ipo Mwanagati Kitunda Ilala Dar Es Salaam. Kama unahitaji kuonana na mimi uso kwa uso weka miadi (appointment) kwenye WhatsApp 0714800175. Pia kama una semina au kongamano lolote na unahitaji mzungumzaji hasa kwa upande wa afya hususani tiba asili, tuwasiliane WhatsApp +255714800175.

0 Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WhatsApp +255714800175